Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ila kama Ukrain ikianguka yote mikononi mwa Urusi basi Poland [emoji1200] atakuwa kwenye hali mbaya sana, maana atakuwa amezungukwa na Belarus [emoji1044], kwengine Urusi , na malighafi zote za kutokea Ukrain zitakuwa mikononi mwa Urusi ndo maana wanajitahidi Ukrain isianguke na kama ikianguka basi isiwe yote.
 
Nilishaiona hii somewhere,ila nika ignore nikiamini kwamba low IQs za JF zitasema ni conspiracy theory,lakini hii ni possibility kabisa.

Huo ndo uhalisia, Maana nchi za EU zimeanza kukinzana kuhusu kupeleka silaha uko Ukrain. Marekani kamuingiza kingi ujerumani apeleke Leopard ila yeye anasema Abram bado kwanza. Upande mwengine Norway [emoji1189] ametoa taarifa jana kuwa urusi amefungulia meli zake za nyuklia majini, imepita miaka 30 tangu tukio hilo lionekane kwenye vita ya dunia. Italy [emoji634] kagoma kupeleke, France [emoji632] ametoa ahadi ila bunge limeweka pingamizi. UK [emoji636] wamesoma hawana bajeti ya kuongeza uzalishaji wa silaha kwa huu mwaka kutokana na inflation. Vitu vinafall apart. Si ajabu ile taarifa ya kiongozi wa CIA ilivuja baada ya kwenda Moscow kutoa 20% ya Ardhi ya Ukrain[emoji3].
 
Duh! Hiki kifurushi kikitangazwa tukipatie jina gani wakuu.., maana ni wazi hakijawahi kutangazwa kifurushi Cha nanma hii tangu vita ianze[emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] the Biden administration is working with congress to approve 10 billion dollars in aid to Ukraine, the Washington Post reported

The New aid package will be announced next week [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vifurushi vya cheka time vya mchongo.
 
Huo ndo uhalisia, Maana nchi za EU zimeanza kukinzana kuhusu kupeleka silaha uko Ukrain. Marekani kamuingiza kingi ujerumani apeleke Leopard ila yeye anasema Abram bado kwanza. Upande mwengine Norway [emoji1189] ametoa taarifa jana kuwa urusi amefungulia meli zake za nyuklia majini, imepita miaka 30 tangu tukio hilo lionekane kwenye vita ya dunia. Italy [emoji634] kagoma kupeleke, France [emoji632] ametoa ahadi ila bunge limeweka pingamizi. UK [emoji636] wamesoma hawana bajeti ya kuongeza uzalishaji wa silaha kwa huu mwaka kutokana na inflation. Vitu vinafall apart. Si ajabu ile taarifa ya kiongozi wa CIA ilivuja baada ya kwenda Moscow kutoa 20% ya Ardhi ya Ukrain[emoji3].
Mkuu hii suggestion ya Marekani kwamba Ukraine itoe 20% ya ardhi yake ili kusitisha vita na hatimaye kukataliwa na both Ukraine na Urusi nayo nili iona mahali.Mkuu uko vizuri sana,dah!👍.

Nakumbuka Zelensky akisema hayuko tayari kutoa ardhi yake,na Putin akisema hana haja ya hiyo offer kwa kuwa atashinda vita anyway.
 
Ila kama Ukrain ikianguka yote mikononi mwa Urusi basi Poland [emoji1200] atakuwa kwenye hali mbaya sana, maana atakuwa amezungukwa na Belarus [emoji1044], kwengine Urusi , na malighafi zote za kutokea Ukrain zitakuwa mikononi mwa Urusi ndo maana wanajitahidi Ukrain isianguke na kama ikianguka basi isiwe yote.
Kusubir anguko la Ukraine ni sawa na kusubir embe chini ya mnazi [emoji16][emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] the united kingdom and other European countries have agreed an initial package of support from the international fund for Ukraine ( IFU) which will provide capability boost for the armed force of Ukraine [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] Russian's political leaders are aware that country's defense industry performance is failing to meet a needs of the Russian army to sustain the war against Ukraine [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]In turkey, rescuers with state of emergency service of Ukraine are already examined with the use of hi-end equipment 537 buildings damaged by earthquake in search of signs of life [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Fo75Q6GWYAIfoi2

The Armed Forces of #Ukraine garrison, which is around 1500 men, is completely surrounded.
 
Huo ndo uhalisia, Maana nchi za EU zimeanza kukinzana kuhusu kupeleka silaha uko Ukrain. Marekani kamuingiza kingi ujerumani apeleke Leopard ila yeye anasema Abram bado kwanza. Upande mwengine Norway [emoji1189] ametoa taarifa jana kuwa urusi amefungulia meli zake za nyuklia majini, imepita miaka 30 tangu tukio hilo lionekane kwenye vita ya dunia. Italy [emoji634] kagoma kupeleke, France [emoji632] ametoa ahadi ila bunge limeweka pingamizi. UK [emoji636] wamesoma hawana bajeti ya kuongeza uzalishaji wa silaha kwa huu mwaka kutokana na inflation. Vitu vinafall apart. Si ajabu ile taarifa ya kiongozi wa CIA ilivuja baada ya kwenda Moscow kutoa 20% ya Ardhi ya Ukrain[emoji3].
Mkuu...ume articulate vizuri sana.

Kwa sasa kila nchi ina priorities zake zakupambana nazo na kuweka sawa.

Pia, hizo resources wanazotoa zingekuwa zinaleta positive impact na Ukraine anasonga mbele, hapo ingekuwa inawapa confidence. Lakini Ukraine anazidi kupoteza maeneo.
 
Marekani hana jeuri ya kuingia Vitani na Mataifa yafuatayo:
Urusi
China
India
Iran
Sudan
North Korea
Venuzwela
Beralus
Wote hao ni washirika wa mwamba Putin.
Labda akaipige:
Mataifa ya Africa na Waarabu exclusive Sudan na Tanzania.
Tanzania tuna marafiki wengi wanaweza kutukingia kifua hususani China. (Wataoneana aibu]
Kuna taifa ambalo limeshawai kusaidiwa kivita na china miaka ya karibuni?

China unadhani anaweza kuweka rehani biashara yake na USA & Europe kisa nape, makamba, kipanya, madebe lidai, na bibi jampa wa mlole kigoma ?
 
Wewe jamaa bado sana kuijua dunia. Propaganda za wakoloni zimekula ubongo wako.
 
Back
Top Bottom