vunjo
JF-Expert Member
- Jun 2, 2011
- 1,323
- 2,609
Surrounded mwezi wa tatu huu wana saround kitu gani hawafiki tu
Surrounded mwezi wa tatu huu wana saround kitu gani hawafiki tu
Hakika!!Vita bado mbichi, kumbe artillery bado muhimu sana.
Tanzania tujifunze maana nina hakika artillery shells tulizo nazo hazifiki 200,000
Pitia Bradley uone kazi yake.
Kwani sheria ya Vita ikoje kuhusu msaliti?Na hii ndio Sababu haswa hilo kundi limewekwa kwenye list ya makundi ya kigaidi kutokana na matendo haya!!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwa tafsiri yako siwezi kukubishia!Kwani sheria ya Vita ikoje kuhusu msaliti?
Huoni kumpg nyundo wamemhurumia?[emoji3]
Ile protection yake Haina utofauti sana tanks!Pitia Bradley uone kazi yake.
Nimeangalia review yake ni hatari
Yenyewe uzuri wake ni kuwa ina anti tank za tow, ina bush master machine gun, inabeba watu.Ile protection yake Haina utofauti sana tanks!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sina shaka lugha hii ya wenzetu inakuchanganyaFashisti Putin anajaribu kukimbia kichapo.., lakini muda ukifika hata akijificha mashimoni atafuatwa hukohuko[emoji28][emoji28]View attachment 2518540
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unaongea kwa uhakika sana mpaka unaanza kusema uongo.Bwana mdogo, Russia alishaweka wazi siku nyingi kwamba yeye hana shida na huyo US kujipa au kupewa ukiranja wa Dunia na kusimamia Demokrasia ya Dunia. Wao wanachosimamia pekee ni mpuuzi yeyote asiwaingilie kwenye mambo yao.
Na kwa kuonyesha uwanamme kaenda kumbonda huyo kibaraka wao na hakuna yeyote anayefanya wala kusema chochote. Raia wa hizo nchi wameshaanza kulia hawataki kuona tax money zao zinaenda kuendesha vita ambayo wao haiwasaidii chochote. Biden ndio basi uchaguzi ujao hawezi kurudi.
Kama imekuuma pole! [emoji28]Sina shaka lugha hii ya wenzetu inakuchanganya
Wamegeuzwa chambo tuNimeona sehemu video inaonesha wagnerites wanavamia wanauawa ila hawakomi, nimeona kama 70 hivi wameuawa kwenye video
Tena sana inampiga chengaSina shaka lugha hii ya wenzetu inakuchanganya