Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] volodymyl zelensiky will meet with Joe Biden in Poland.dziennik gazeta prawna reported [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Habari ni kwamba, Zelensky anaenda kukutana na Biden kwa ajili ya ku present a peace plan.

Kama utakumbuka wiki 2 nyuma, CIA Director alikuja hapo Ukraine na US proposal kwa ajili ya US proposed peace plan, including kuachia 20% ya Ukraine.

Kwa hiyo hivi ni vikao ambavyo agenda zinakuwa tayari pre determined (kama hiyo agenda ya Peace plan).

Lakini hata hiyo Poland imesema bado haiwezi ku confirm icho kikao.

Screenshot_20230215-201806_Telegram.jpg
 
Waziri wa Ulinzi wa UK - Ben Wallace analalamika kwamba hii SMO ya Russia imewa take by surprise. Kwa hiyo hawakuwa wamejiandaa.

Halafu akaongeza kwamba, kwa namna ya upiganaji wa Russia wa kutumia many ammunitions ni tofauti kabisa na upiganaji wa NATO. Na inawawia vigumu ku match hizo ammunitions.

Swali:

Je, haya ndio wanayajua leo? Au ndio wanatafuta sababu ya kumtema mla maunga..?View attachment 2518564
Hao wanatafuta Tundu lakutokea tu
Safari hii Wamekutana Na Kidume Hawana Hamu
 
Waziri wa Ulinzi wa UK - Ben Wallace analalamika kwamba hii SMO ya Russia imewa take by surprise. Kwa hiyo hawakuwa wamejiandaa.

Halafu akaongeza kwamba, kwa namna ya upiganaji wa Russia wa kutumia many ammunitions ni tofauti kabisa na upiganaji wa NATO. Na inawawia vigumu ku match hizo ammunitions.

Swali:

Je, haya ndio wanayajua leo? Au ndio wanatafuta sababu ya kumtema mla maunga..?View attachment 2518564
Mamaae walijua urusi malawi,,
 
Habari ni kwamba, Zelensky anaenda kukutana na Biden kwa ajili ya ku present a peace plan.

Kama utakumbuka wiki 2 nyuma, CIA Director alikuja hapo Ukraine na US proposal kwa ajili ya US proposed peace plan, including kuachia 20% ya Ukraine.

Kwa hiyo hivi ni vikao ambavyo agenda zinakuwa tayari pre determined (kama hiyo agenda ya Peace plan).

Lakini hata hiyo Poland imesema bado haiwezi ku confirm icho kikao.

View attachment 2518569
Hizo habari mtakuwa mnahabarishana nyie wenyewe pro Russia,hakuna independent source yoyote iliyoripoti kitu kama icho!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hiyo Tarehe 21 Nisiku ya Mapumziko Rais wa Dunia Atakuwa Mubashara Kuihutubia Dunia
Na Kwavile Dunia Inamuh
itaji sana Neno lake Kwetu Ni Dawa!
Putin Mwenyezimungu Akupe Maisha Marefu zaidi Dunia Bado Inakuhitaji

#BREAKING The Kremlin has ordered Russia’s main TV channels to broadcast Putin’s message to the Federal Assembly on February 21.

It will be around an hour according to Peskov.
 
Tulishasema,kule Kyiv hapatakiwi kuruka hata nzi[emoji91][emoji91]

[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] About six Russian air targets were detected in airspace of Kyiv today, most of which were shut down , Kyiv regional military administration reported [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Fashisti anazidi tu kubanwa mbavu [emoji116][emoji116]

[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] European commission has officially announced a tenth package of sanctions against Russia [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Biden anafatilia proposal yake ya peace plan. Russia wachukue 20% ya Ukraine.

Lakini Russia hawataki.
Hali ni ngumu kwani Financial Times wameripoti kwamba Russia sasa wameamua kutumia helikopta, makombora mazito na ndege za kijeshi.

Russia ilikuwa haitaki kutumia vifaa hivi iliweka akiba kubwa.

Hii ndo yawafanya NATO na US kuhangaika kwani muda wafukuzana nao na supply imekuwa ndogo.
 
Endeleeni kujitekenya na kucheka mwenyewe huku vijana wakakamavu wa rais zelensiky wakizidi kumpelekea moto huyo super pawer wa kwenye makaratasi!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
European commission's sanctions to Russia [emoji116][emoji116]

[emoji1255][emoji298] sanctions against 4 Russian banks and cutting them off from SWIFT [emoji298][emoji1255]

Back
Top Bottom