Sasa pic za satellite zinaonesha shells? Kweli hawana kaziHizo ni picha za satellite Mzee.., ulitaka uzione katika muonekano wa picha za selfie [emoji1702][emoji1702][emoji1702]??
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Baada ya bakhmut sehemu ngumu nyingine itakuwa ni zaidi ya kilometre 150 ndio wanaweza kuunda ngome ngumuMkuu kinachowaumiza kichwa majenerali wa Ukraine na NATO ni kimoja tu.
Bakhmut ikianguka hakuna kizuizi kikubwa kwenda Kramatorsk- Slovyiansk.
Hivyo wanajitahidi kuishikilia Bakhmut lakini itaanguka tu.
Kwaiyo hiyo hutuba inamuhusu mpaka juma njemba wa kigoma ?Mkuu nakusahihisha kwa heshima kubwa,umekosea sana,Tena sana.
Putin hatahutubia taifa,Bali atahutubia Dunia,ulimwengu.
Tatizo wanafukuzwa Bakhmut na kampuni ya ulinzi!!!Aibu iliyoje!Biashara imeisha .
Kama mtoa silaha na fedha kasema ,mtumiaji atabisha Nini?
Sasa kama jeshi la dikiteta limeshindwa ulitaka wafanye nini[emoji28]Tatizo wanafukuzwa Bakhmut na kampuni ya ulinzi!!!Auibu iliyoje!
![]()
Leopard tanks will burn – Wagner head to RT
The Wagner Group head assessed the importance of the capture of Artyomovsk, and promised to destroy Western military equipment sent to Kievwww.rt.com
Huko Kyiv hata nzi akichezea angani tu anakula kichapo..ndio maana ndege za super pawer hazinusi hata pua huko [emoji16][emoji298]️About 6 enemy air targets were detected over Kyiv, — Kyiv Regional Military Administration reported.
According to preliminary information, these were balloons that move under the influence of the wind. Most of the objects were shot down by air defense.
Na hii ndio Sababu haswa hilo kundi limewekwa kwenye list ya makundi ya kigaidi kutokana na matendo haya!!Ex-prisoner who joined Wagner when he arrived at front voluntarily escaped to Ukrainians. Wagner then caught him and punished him with a hammer.
If you want to join Wagner, then no escape View attachment 2518539
Studio ndio hii ambayo Aljazeera walikwenda kuwahoji watengenezajiHamna aisee., bwana vunjo video zako kaa nazo tu hata pro west wenzio hawako interested nazo maana zinatengenezwa studio badala zichukuliwe battlefield
Vita bado mbichi, kumbe artillery bado muhimu sana.[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] the USA army awarded 522 millions Dollars in orders to two companies to manufacture 155 mm artillery ammunition for Ukraine [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app