Je,bila msaada anaopewa Ukraine kuanzia silaha, intelejensia,pesa ya kuendeshea vita,mafunzo na misaada mingine ya kibinadamu,Je,Ukraine ingekuwa imesimama mpaka Leo?Jibu Hilo swali kutoka moyoni mwako na usiendeshwe na hisia na mahaba!Tumeona pia mercenaries wengi kutoka US,UK na nchi mbalimbali wakiwa battle field hapo Ukraine!Mkuu je una mashaka kwamba jeshi la Urusi lingeshapigwa kabisa kama lingepambana na vikosi vya NATO yenyewe? Kwa sasa tunaona tu jinsi gani jeshi kubwa la Urusi linajitahidi kushika mita chache hapa na pale dhidi ya jeshi la ukraine ambalo ni ndogo zaidi. Pia jeshi la Ukraine kimsingi hutumia silaha za kale za kisovyeti, pamoja na mifumo kadhaa ya silaha za kisasa kutoka NATO. Lakini bila askari au vikosi vya NATO, na bila kupewa silaha bora za NATO.
Kabla ya uvamizi watu wote waliamini Urusi ina jeshi la kutisha likiwa ni jeshi lenye uwezo mkubwa. Imani hiyo imepotea.
Ndiyo, nchi za NATO zinasaidia Urusi lakini hazipigi Urusi. Hata wanatuma pesa nyingi Urusi kwa kununua mafuta na gesi yake hadi leo. Na Urusi inawauzia mafuta wanayohitaji kuendesha viwanda vyao, pamoja na viwanda vya kuzalisha silaha zinazotumwa Ukraine.
Unaweza kusema ni ajabu, au kichaa, ila hivyo ndivyo dunia yetu.
Ila nchi za NATO hazikuanza kupiga Urusi. Hali ingekuwa tofauti sana.
Na tukumbuke nani alianza kushambulia maeneo ya nchi nyingine.
They will be welcomed in battle by Mr. Death[emoji631]The Pentagon has said that the USA and its allies have already trained over 4,000 Ukrainian servicemen. In particular, training Ukrainians to use Patriot air defence systems is expected to be completed soon, CNN has reported.[emoji298][emoji298]
Duh!! Wanatapatapa kweli [emoji2]Russian Marker robots will be sent to the NWO zone to fight German tanks
The Marker unmanned strike system is equipped with a large number of observation equipment.
February 28, 2023
Four Marker unmanned strike ground robots will be sent to the special military operation zone. This was announced by the executive director of the NPO Android Technology Evgeny Dudorov. According to him, the loading of robotic systems has already begun.
Experts note that one of the main tasks of the Markers will be the destruction of Leopard and Abrams tanks if they are delivered to the Ukrainian army. In addition, they will pose a serious threat to the unmanned aerial vehicles of the Armed Forces of Ukraine.
As military experts explain, the Marker unmanned strike system is equipped with a large number of observation equipment, which allows you to control ground territories and airspace at any time of the day under any weather conditions.
“Marker” is designed in two versions – wheeled and tracked. The wheeled platform allows the robotic complex to move without refueling for 60 hours. Such high performance is achieved due to low fuel consumption – only 3 liters per 100 kilometers.
A wheeled platform weighing three tons can carry not only machine guns and missiles, but also unmanned aerial vehicles. On the tracked version of the Marker, you can install the Utes or Kord machine guns, as well as several anti-tank grenade launchers. In addition, in this version, kamikaze drones can be installed on the platform.
Which variants of the “Marker” will go in the near future to the NVO zone, Yevgeny Dudorov did not specify. But, it is obvious that these vehicles will add headaches to the Ukrainian command.
https://twitter.com/intent/tweet?text=Russian+Marker+robots+are+sent+to+the+NWO+zone+to+fight+German+tanks&url=https://www.veteranstoday.com/2023/02/28/russian-marker-robots-are-sent-to-the-nwo-zone-to-fight-german-tanks/&via=veteranstoday
Russian Marker robots are sent to the NWO zone to fight German tanks | VT | Alternative Foreign Policy Media
[emoji28]Kumbe unaishi Russia
Wanavua nguo za magwanda na kutelekeza misilaha ya nato kisha wanajichanganya mitaani na kushangilia vikosi hatari vya mrusi vikiingiaMshauri wa Zelensky amewaambia wanamgambo wa Ukraine waliozungukwa huko Bakhmut kwamba, kwa hali ilivyo sasa, wanaweza kuanza kukimbia huko Bakhmut.
Amesema hiyo ndio njia pekee iliyobakia kwa sasa ili kuokoa maisha yao, otherwise Wagner Group watawaulia mbali.
Najiuliza:
Sasa umeshakuwa encircled, utakimbilia wapi?View attachment 2533646
Si karai lao la zege,what else could he do.Wanaosema urusi kafanikiwa kumzuia Ukraine kujiunga NATO amkeni kwenye ndoto yenu msije mkajikojolea[emoji2][emoji28][emoji116][emoji116]
[emoji298]️NATO Secretary-General Stoltenberg has officially invited President Zelensky to attend the NATO summit in Vilnius, Lithuania, in July this year, LRT reported.[emoji298]
Aloo nimegundua kumbe wana Nyato mnaishi kwa matumaini tu yani nyie ni watu mnao penda maneno matamu mnaridhikaWanaosema urusi kafanikiwa kumzuia Ukraine kujiunga NATO amkeni kwenye ndoto yenu msije mkajikojolea[emoji2][emoji28][emoji116][emoji116]
[emoji298]️NATO Secretary-General Stoltenberg has officially invited President Zelensky to attend the NATO summit in Vilnius, Lithuania, in July this year, LRT reported.[emoji298]
Tunatembea ndugu yangu kutafuta maisha narudi next weekKumbe unaishi Russia
Hapo wanajua mpka jully tayari watakuwa wamefanya mazungumzo yaani NATO wanajua kujiegesha.Wanaosema urusi kafanikiwa kumzuia Ukraine kujiunga NATO amkeni kwenye ndoto yenu msije mkajikojolea[emoji2][emoji28][emoji116][emoji116]
[emoji298]️NATO Secretary-General Stoltenberg has officially invited President Zelensky to attend the NATO summit in Vilnius, Lithuania, in July this year, LRT reported.[emoji298]
Maskini. Kwani US Wana lengo gani na Ukraine? Mbona Kama wanawadanganya wenzao wafe zaidi huku wakipoteza ardhi zaidi?A senior Pentagon official has said the US did not expect Russia to make significant territorial gains in Ukraine in the near termand described the frontlines of the war as a “grinding slog”. Colin Kahl, the US undersecretary of defence for policy, told a House of Representatives hearing: “I do not think that there’s anything I see that suggests the Russians can sweep across Ukraine and make significant territorial gains anytime in the next year or so.”
Source : The Guardian
Mbona juzi msemaji wao akatwambia Russia Wana missile za Calibre na Aina nyingine zipatazo 100 TU. Kwahiyo hizo za kwenye melivita ndo za mwisho?[emoji3554] The Russian Federation has deployed 5 missile carriers to the Black Sea, the total salvo of "Calibre" can reach 32 missiles. Alarm may be more frequent, warned in OK "Pivden" https://t.co/NYYhlHxavV
Counter offensive ya Ukraine itajibu maswali yoteMaskini. Kwani US Wana lengo gani na Ukraine? Mbona Kama wanawadanganya wenzao wafe zaidi huku wakipoteza ardhi zaidi?
Warusi wapo kule kupigana na kuhodhi ardhi afu huyo usemae senoir official anasema warusi hawatagain ardhi yoyote kubwa! Are they kidding?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Si Kwamba hawana but Ukraine Ni sehemu ambapo silaha za hadhi ya juu Kama Abrams zitadhalilishwa na warusi na hivyo kukosa soko na hadhi iliyopewa kwayo.Tunayasubiri haya mabati
[emoji631][emoji777]🪖[emoji1255][emoji635]"The US Army (ground forces) currently does not have M1 Abrams tanks that could be transferred to Ukraine. " - Pentagon