jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Na mmesema hamtaacha hata mita moja chukueni Sasa hayo maeneo.Kazi inaendelea [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]
#[emoji298][emoji298]In the past 24 hours, Ukrainian defenders have repelled more than 170 enemy attacks in the Kupiansk, Lyman, Bakhmut, Avdiivka and Shakhtarsk directions, where russian troops are focusing efforts and conducting active offensive operations.
Lugha ya malkia ni tatizo kwa panya nina imani hajaelewa vizuriYaani unapewa kichapo hadi unaanza kusifia namna unavyopigwa..... "... This offensive is of such quality..."
Hapa nashushia na mirinda nyeusi.Vikosi vya WARUSI sasa vipo km 3 karibu na mji wa Kupyansk.baada ya kuchukua vijiji vyote vilivyo karibu na mji wa Kupyansk sasa WARUSI wanajiandaa kushambulia mji wenyewe wa Kupyansk.
Ofu imeanza kutanda kwenye mji wa Kupyansk siku ya leo baada ya meya wa mji kutangaza raia kuondoka kwenye mji uwo uliyopo kwenye jimbo la Kharkiv.Meya amewataka watu kuondoka maana hali sio nzuri kwenye mji.View attachment 2534874
Kama pingu vle ,ukikaza inakaza zaidi ,sasa uliza anayepaya maumivu ni nani kati ya anaye kaza na pingu.Asante DubuNATO wenyewe wanasema,the only way to peace is more weapons!
Putin naye anasema kadri NATO watakavyozidi kutoa silaha,ndivyo Russia itaendelea kuwasukuma Ukraine mbali zaidi!Hii Inamaana Russia ataendelea kuvuna ardhi zaidi kadri Ukraine atakavyozidi kupewa silaha!
Ndio najiuliza Kama ukraine Ililipua daraja majibu yake ikawa vilio kwao je kwa hili tukio ukraine itafanywa nn 🤣President Putin is meeting with Individual Members of the Russian Security Council today to discuss what the Response should be for the Attacks in the Bryansk Region.
Ukraine tujipange leo Putin anaweza anza kichaa chake maana kasema majeshi ya Ukraine yamevamia Urusi na kuua watu.
Leo itakuwa leo
Hizo habari ya vifo kwa kiasi hicho tumesha zipuuzia na badala yake tunasonga mbele maana idadi ya maiti zinazopelekwa Ni ndogo Sana hata Mia kwa siku hawafiki Kama ingekuwa idadi hyo inapotea kwahyo magari mbele yanasonga yenyewe automatically?Zaidi ya mia Saba wamechinjwa ndani ya saa 24 tu 🥱🥱🥱View attachment 2534847
We subiri utaona within this week.Ndio najiuliza Kama ukraine Ililipua daraja majibu yake ikawa vilio kwao je kwa hili tukio ukraine itafanywa nn [emoji1787]
Kuna watu watapotea humuWe subiri utaona within this week.
Nasikia wanajeshi wengi waliozingirwa Hapo Ni was NATO na Russia watu wanajiuliza kwann anatumia nguvu nyingi bakhumut jibu Ni kwamba ka mji hako kana maveterani wengi kutoka NATO kwahyo tunahasira nao hao jamaa.
Pili Kuna silaha nyingi Sana za NATO za lengo kuondoa aibu maanawanajeshi wake wakijisalimisha Hapo wataaibika laakini tunashukuru Mungu mda wa kuwaabisha umefika tutawakama wazima wazima na tutashuka nao wazima wazima [emoji635][emoji635][emoji635]
Icho kitendo kitawagarimu mnooo..zelenskyPutin kakasirika huko