Kalashnikov, vifaru kama T34 au pia T72 wakati wake. (ila si leo, wakati wake umepita..) Pia T90. Kama ungesoma chanzo ungeona hata Zirkon ina sifa zake.Nipe mfano wa Aina yoyote ya silaha ya kirusi ambayo West huisifu kwa umahiri wake.
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app