Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huwa nablock mtu kama hana akili completely. Yani kama akichangia mada yoyote anakuwa hajaniongezea maarifa au kama anadeal na mada ambazo sigusi kabisa. Tofauti na hapo, mtu hata kama akiwa against me as long as kuna sehemu anakuwa smart naendelea nae. Na vilevile nachangia kulingana na tension, nikisema niwe smart 100% humu nitareply si zaidi ya mara mbili kwa siku na nitachangia mara moja kwa wiki. Mfano leo hakuna reply yoyote ningetoa. Sehemu za kuumiza akili nyingi zipo ila sio hapa.
Kila mtu ajibiwe kwa akili yake, kuna wengine hawawezi kuchangia lolote neno Ukraine lenyewe kalisikia 2022 sasa angalau umjibu kwa akili zake za apate amani.

Humu sasa kuna ushabiki, naweza kaa wiki sijachangia nikiignore notifications na nikirudi nakuta hamna kitu nimepoteza. Nilirudi tarehe 20 hadi 25 then nitoweke mpaka winter iishe kabisa hapo offensive ndio itakuwa kubwa na shifting of military balance itaonekana. Kuanzia March mwanzoni.
Sawa BOSS
 
Hii mitandao inatakiwa tuitumie vyema sana aseeee

Kuna jambo hapa unaweza ukalitaipu ukaona limepita kumbe likadumu milele ama likadumu miaka mingi

Halaf wewe utakua umeishajisahau watu wanakuja kufukua makaburi nandio linamgharibu jamaa kwasasa

Watu wanamfanyia mzaha ingawaje nimaneno ya kweli acc tu yeye mwenyewe ila sasa watu wamemfanya apanic

Nakweli tokea watu wapate ile post wanaitumia sana dhidi ya jamaa kiasi kwamba jamaa anahamaki sanaaa

Kuna mambo sio yakupost kwenye mitandao iwe unafanya ama hufanyi inatakiwa ukae nayo tu moyoni

BOSS T14 Armata anatakiwa akubaliane na hali tu kua aliteleza na sasa watu wanatumia yale yale aloyasema kumfanyia inda

Akae kwakutulia

Ila bado jamaa namkubali ingawaje kuna muda anazidiwa na hisia anatukanana na watu

Kwenye mitandao yakijamii sio sehem zakutukana nisehem zakufanya mambo yastarehe na burdan na mambo makubwa tuuu

Kuna ignore block nk ukiona mtu anakutukana na unashindwa deal nae piga block

SMO iendeleeeee.......
Wewe jamaa kama una kazi....niletee uthibitisho nikupe milion moja
 
kwa nini mkibananishwa mnakimbilia hoja ya ushoga ili kupata sehemu ya kijibanza? mnakuwa ka CCM wakati wa kujibu hoja za Lissu 😀 😀

Hivi kuna nchi duniani sasa hivi haina mashoga? mbona TZ mashoga yamejaa kibao, Urusi pia yapo tena kibao tu.
Ni tofauti na unavyofikiri Ndugu....West ni evils...utakuja kulifahamu Hilo siku moja....the west wants to destroy culture, values na political systems zote duniani ili dunia na watu wote duniani waabudu Western culture, values na political system...Kama hujui hata dini huko west inapungua ummarufu na heshima inashuka Kila siku...West inaiagamiza dunia....magonjwa mengi na hasa ya virus ni man-created kwa lengo la kupunguza watu duniani....
 
Huyo jamaa anayemwita sijui Rais wa wapiga nyeto sijui kiongozi wa wapiga nyeto kama kweli aliandika humu kwamba yeye ni mpiga nyeto hodari basi kwishney hiyo.

Bila shaka punyeto imeshaharibu uanaume wake na sasahivi hana uwezo wa kumridhisha mwanamke, kufikia hapo anakuwa inferior mbele ya mwanamke kitu ambacho sasa kinamfanya aanze kutamani yeye kukunwa. Hivi vitu tusichukulie kwa utani, yawezekana kuna machoko kweli kwenye huu uzi alafu sie twafanya utani. Na machoko hao wanaiandama Russia sababu imekataa dhahiri mambo ya kichoko. Huko nyuma jamaa alikuwa anaipenda sana Russia mpaka kufikia kujiita majina ya Kirusi. Naona baada ya Russia kukataa sera za kichoko ndio hizi povu anatoa humu..

Tutafute namna ya kumsaidia wakuu.. Uraaaaaah!!!
​
Huyu jamaa namjua vizuri nilisoma nae kupiga punyeto alifundishwa na jamaa mmoja hivi anaitwa Fabian wakyo
 
Wamarekani wamrudishe Huyu mwamba, huyu jamaa licha ya madhaifu yake yote ila jamaa ni mpenda amani sana na sisi wapenda amani tunamuunga mkono.

Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameahidi kuimaliza vita kati ya Ukraine na Urusi ndani ya saa 24 tu endapo akipewa tena Urais wa Marekani.

Trump ambaye tayari ameonesha nia ya kugombea tena Urais kwenye uchaguzi ujao wa mwakani 2024 ametoa kauli hiyo Florida, Marekani ambapo amesema ataimaliza vita hiyo akishatangazwa Mshindi tu hata kabla ya kuapishwa.

“Nikishinda tu sitosubiri hadi kuapishwa, nitampigia simu Rais wa Urusi, Putin na Rais wa Ukraine, Zelensky na kuwaambia tunapaswa kuonana, nawahakikishia nitamaliza vita hivi, nitamwambia Putin hivi na kumwambia Zelensky vile na tutakuwa na dili ya kumaliza vita ndani ya saa 24 tu”

Trump amekosoa pia kitendo cha Rais Biden kuidhinisha pesa za kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo na kusema kufanya hivyo ni kama Marekani inachochea vita zaidi na kufanya Watu wengi waendelee kupoteza maisha “Namjua Putin hawezi kukubali kushindwa vita kwa kumtunishia msuli au kumuonesha ubabe, bali kwa njia bora za mazungumzo, Urusi imeshinda vita nyingi ina silaha na mbinu kibao za vita huwezi kuishinda kirahisi kwa kutumia mabavu”
View attachment 2526025
Umeniwahi mkuu nlikuwa niilete hii. Chupa leo halijapooza wanasema [emoji1787]

Ila hapo mwishoni kaongea poa sana na ukweli mtupu. Inatakiwa washtuke. Kama mtu mshampa zaidi ya dola bilioni mia yaani mpk mnaishiwa ammunition kwa pamoja nchi zote na bado anashindwa tu hiyo inatakiwa iwe wake up call.

The only thing wanaweza kufanya kubadilisha mwenendo wa vita ni wao kuingia mzigoni moja kwa moja! Na hawawezi kufanya maamuzi ya namna hiyo maana wanajua wao ndio watakuwa wahanga nambari moja.

Wakubali tu Putin is undefeatable!!! Hawamuwezi kwenye uwanja wa vita. Hata watoe bilioni 500 dola still bado watapoteza tu. Wamuombe mazungumzo. Wamalize vita mezani. Trump yuko sahihi.
 
Mbona ninyi hamumuandikii barua Putin ampige Poland.... !!?? Si Kila mara mnakaa humu mkisema ajaribu aone ..vipi Mlimuandikia barua!!?? Mbona mwenzako anasema USA ampige Russia au N.K unasema aandike barua!?? Buraza umekuja kuwaje.....
Huyo jamaa ni mzuri wa simulizi ila kusimamia na kujenga hoja ni tatizo.. Naona wengi hawajaliona hilo kutoka kwake..
 
Akiamini vile, sawa. Ila katika mikataba aliyowahi kukubali si shauri lake nchi nyingine inashirikiana na nani.
Katika utaratibu wa haki ya kimataifa mataifa yanaheshimiana na kila moja lijiamulie.
Pamoja na hayo yote Putin anapata sasa kwanza jirani FInalnd kuwa mwanaNATO kwa sababu baada ya miaka mingi ya kutofungamana na yeyote Finland inaona sasa Putin kuwa jirani hatari; kabla ya mashambulio ya URusi wala NATO wala EU hawakuwa tayari kupokea Ukraine, sasa uwezekano mkubwa itapokelewa (ikifaulu kudhibiti rushwa)....
PUTIN hana shida na Finland kuingia NATO. ana shida na Ukraine kuingia NATO. hayo ameyasema mwenyewe. Kama Finland inataka kujiunga na NATO kila la kheri kwao na wala sio hatari wala hasara kwa Urusi. Ila Ukraine kujiunga NATO ni hatari na hasara kwa usalama wa urusi.

Ni scenario mbili tofauti na hazina uhusiano wowote.

Uhuru wa mmoja unaishia pale uhuru wa mwengine unapoanzia. Uhuru wako haupaswi kuingilia/kuathiri uhuru wa mwengine. Kwa lugha nyingine kila uhuru una mipaka na bila ya mipaka uhuru unakuwa ni uwendawazimu.
 
Ni tofauti na unavyofikiri Ndugu....West ni evils...utakuja kulifahamu Hilo siku moja....the west wants to destroy culture, values na political systems zote duniani ili dunia na watu wote duniani waabudu Western culture, values na political system...Kama hujui hata dini huko west inapungua ummarufu na heshima inashuka Kila siku...West inaiagamiza dunia....magonjwa mengi na hasa ya virus ni man-created kwa lengo la kupunguza watu duniani....
Hizi ndio akili za pro Russia.., aisee [emoji848] tuna safari ndeefu sana!
 
Mkuu USA haitaji nyukilia kumshambulia Russia ila Russia anahitaji nyukilia kumshambulia USA.
Kwasababu yeye amejenga bases Ulaya yote? Yeye anachotegemea ni kupambana na Russia akiwa Ulaya. Ni kama tu hii SMO wao WANATO wanapambana na Russia kwa mgongo wa Ukraine lakini hawatothubutu kushambilia mji wowote mkubwa wa Russia na ndio maana wanakwepa kupeleka Long Missile pale Ukraine maana wanajua impact ya kitakachotokea.

Russia kaonesha ukomavu kupambana nao tena kwa wao kumtumia jirani yake, ila USA aliufyata kimya pale Venezuela maana alijua vita haitoishia Venezuela tu bali itafika mpaka kwake.

Russia haitaji Nuclear kupambana na USA na NATO, hili jeshi la Ukraine ni complete set ya NATO maana limekuwa trained na NATO na wameenda nao kwenye operation nyingi tu kuanzia kule kwa Taliban, Iraq na sehemu nyingi tu pamoja na mafunzo ya pamoja.

Hii post ni ya Kapteni mmoja wa Ukraine aliyelambishwa mchanga pale Bahmut hivi karibuni. Post zake anaonyesha akiwa kwenye Operation nyingi za NATO.
6D106FFA-50FF-45D3-A406-2DD451B8F692.png

Hii Post ni ya miaka kadhaa huko nyuma, they knew everything. Ndio maana tunasema, pale Russia anapambana na mataifa karibia yote ya Ulaya na anayapelekea pumzi ya moto haswa. Hao viongozi wakuu wa serikali wa ulaya hawaendi pale Kyiv by default, wanashiriki hivi vita kwa kupeleka vifaa vita pamoja na personnel kwa mgongo wa mamluki.
 
PUTIN hana shida na Finland kuingia NATO. ana shida na Ukraine kuingia NATO. hayo ameyasema mwenyewe. Kama Finland inataka kujiunga na NATO kila la kheri kwao na wala sio hatari wala hasara kwa Urusi. Ila Ukraine kujiunga NATO ni hatari na hasara kwa usalama wa urusi.

Ni scenario mbili tofauti na hazina uhusiano wowote.

Uhuru wa mmoja unaishia pale uhuru wa mwengine unapoanzia. Uhuru wako haupaswi kuingilia/kuathiri uhuru wa mwengine. Kwa lugha nyingine kila uhuru una mipaka na bila ya mipaka uhuru unakuwa ni uwendawazimu.
Mkuu, kwa namna gani ilikuwa hatari kwa Urusi kama Ukraine ilijitahidi kujiunga na NATO? Umbali Finland-Moscow na Kyiv-Moscow ni sawa. Tena Finland iko karibu sana na mji wa pili wa Urusi yaani Peterburg. Na hapo Urusi iliwahi kushambulia Finland na kuiba ardhi yake tayari miaka 80 iliyopita.
Putin alivunja mikataba iliyokubaliwa na Urusi kama mapatano ya HElsinki ambako pande zote zilkubaliana ni uhuru wa kila kila nchi kushirikiana au kutoshirikiana na nchi nyingine.
Hadi sasa -ukiaacha Ujerumani wa zamni ando- ndiye Urusi aliyevamia nchi nyingine mara kwa mara tangu miaka 200 hadi leo. Hapo si ajabu kama nchi zinalenga kujiunga na wengine kwa utetezi.
Putin ana hofu nyingi, jinsi inavyoonekena katika matendo yake hata ndani ya Urusi.
Je kuna sababu gani kwamba ndoto mbaya za babu mwenye hofu zilete mvurugo kwa dunia?
 
Hebu nikuulize hivi wewe unajadili Kama mtu mzima?! Tangu lini?! Kuunga mkono imperialism na homosexuality ndio utu uzima huo?! Stupid, very stupid indeed..
Mkuu una uhakika matusi yatakusaidia?
Kuhusu ushoga sijali, Urusi ilihalalisha ushoga tangu karibu miaka 30. Sielewi kwa nini unaleta jambo hili tena, itakusaidia nini?
Na Imperiaism - je unamjua imperialist wa kushinda Urusi? Nchi inayondelea kutawala windo la koloni zake tangu miaka 300 tofauti na wengine waliondoka tayari? Halafu mtawala anayeua raia zake akitaka kurudisha imperialism ya awali tena?
 
Hakuna tusi hapo...because that is what you are...kwa kuwa unaonesha kutokomaa kwenye debates...how can you tell me ni-comment Kama mtu mzima...kwa kusema hivyo unadhani Hilo siyo tusi?!?! Stupid
 
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ameahidi kuimaliza vita kati ya Ukraine na Urusi ndani ya saa 24 tu endapo akipewa tena Urais wa Marekani.

Trump ambaye tayari ameonesha nia ya kugombea tena Urais kwenye uchaguzi ujao wa mwakani 2024 ametoa kauli hiyo Florida, Marekani ambapo amesema ataimaliza vita hiyo akishatangazwa Mshindi tu hata kabla ya kuapishwa.

“Nikishinda tu sitosubiri hadi kuapishwa, nitampigia simu Rais wa Urusi, Putin na Rais wa Ukraine, Zelensky na kuwaambia tunapaswa kuonana, nawahakikishia nitamaliza vita hivi, nitamwambia Putin hivi na kumwambia Zelensky vile na tutakuwa na dili ya kumaliza vita ndani ya saa 24 tu”

Trump amekosoa pia kitendo cha Rais Biden kuidhinisha pesa za kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo na kusema kufanya hivyo ni kama Marekani inachochea vita zaidi na kufanya Watu wengi waendelee kupoteza maisha “Namjua Putin hawezi kukubali kushindwa vita kwa kumtunishia msuli au kumuonesha ubabe, bali kwa njia bora za mazungumzo, Urusi imeshinda vita nyingi ina silaha na mbinu kibao za vita huwezi kuishinda kirahisi kwa kutumia mabavu”
 
anataka kuwapangia wa Ukraine nani awe rafiki yao na nani asiwe, hataki kabisa Ukraine kujihusisha na NATO kwa namna yoyote ile sababu kufanya hivyo ni kuhatarisha usalama wa Urusi.
Mimi huwa nikitafakali hila jambo huwa nakosa jibu! Kwamba hataki Ukraine kuwa na urafiki na West lakini anataka iwe na Urafiki na Russia? Yaani taifa huru ulipangie rafiki wa kuwa naye kweli inaingia kwenye ubongo? Ili jambo la kuchaguliana marafiki ndilo kila siku linapigiwa kelele, Kwanini Poland mwenye mpaka mkubwa na yeye hasiwe Tishio kwa usalama wake lakini Ukraine awe tishio?
 
Back
Top Bottom