Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji631][emoji1255] "freedom; there is no sweeter word than freedom.there is no nobler goal than freedom . there is no higher asipiration than freedom,"
US president Biden said at the end of his speech in Warsaw [emoji298][emoji1255][emoji298]
 
IMG_20230221_220451_768.jpg
 
Haaa naona tangu wakuite kiongozi wa wapiga nyeto wa jf hasira zako zote umezihamishia kwa Putin una bwabwaja bwabwaja tu bila mipangilio.

Haaa kwamba super power anapigana na Talban ambayo hawana hata viatu kwa miaka zaidi ya 20 na bado wanawashindwa na kuwakimbia[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Shujaa muongoza njia alisha tahadharisha kuwa tuogope sana mungu na teknolojia hiyo Post yako kuhusu nyeto ni ya miaka mingi lakini sasa hivi wajuba wanaitumia kukuumiza kisaikolojia na wamefanikiwa maana siku hizi uwezo wako wa kufikiri umepungua kwa kasi ya ajabu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]nacheka kwa dharau.
Hiyo post ipo wapi 😂😂🤣🤣 Jamaa aliandika kwamba anapiga nyeto au ni nini?
 
Huyo jamaa anayemwita sijui Rais wa wapiga nyeto sijui kiongozi wa wapiga nyeto kama kweli aliandika humu kwamba yeye ni mpiga nyeto hodari basi kwishney hiyo.

Bila shaka punyeto imeshaharibu uanaume wake na sasahivi hana uwezo wa kumridhisha mwanamke, kufikia hapo anakuwa inferior mbele ya mwanamke kitu ambacho sasa kinamfanya aanze kutamani yeye kukunwa. Hivi vitu tusichukulie kwa utani, yawezekana kuna machoko kweli kwenye huu uzi alafu sie twafanya utani. Na machoko hao wanaiandama Russia sababu imekataa dhahiri mambo ya kichoko. Huko nyuma jamaa alikuwa anaipenda sana Russia mpaka kufikia kujiita majina ya Kirusi. Naona baada ya Russia kukataa sera za kichoko ndio hizi povu anatoa humu..

Tutafute namna ya kumsaidia wakuu.. Uraaaaaah!!!
​
 
Pamoja na yote...T14 Armata...anabakia kuwa ni mchangia mada mzuri sana...ninachopenda mimi anajitahidi sana kusoma na kufuatilia mambo in detail...tatizo lake ni moja tu ... ana chuki za wazi na Russia...kwake hakuna zuri lolote kutoka kwa Russia ama Putin..ila uwezo wake katika masuala na hasa zana za kijeshi bado ni mkubwa...,huyu ni tofauti na mbali kabisa na watu kama bwana .. Ki rat...hawana chochote cha maana wanachokielewa zaidi ya kubisha na ukiwachalenge matusi yanafuata..,,,naamini watu wengi humu ni matured...above 25 huko...hebu tuachane na hz ishu za kupiga nyeto..japo mwenyewe aliongea humu na kueleza bayana kama ni maarufu kwa ..,' upigaji Puchu'...naomba tumchukulie kwamba aliteleza na kuweka hadharani hz mambo zake binafsi...tujikite kwenye kuhabarishana mambo ya SMO...!!!..na tumstahi na hzo mambo zake za kupiga puchu...!!!

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Umetimia mwaka mmoja tangu chombo cha habari cha taifa cha Urusi kitudanganye siku nne kabla. Propaganda na uongo ni jadi yaoView attachment 2524866
Kuna source kibao mtandaoni za west wanadai US inaivamia Iraq kwa kuwa Iraq wana siraha za maangamizi. Je wewe katika pita pita zako kwenye taarifa za baada ya vita ulishawahi kuona uthibitisho wa uwepo wa hizi siraha mazafanta mkubwa!
 
Mkuu unaona kweli kuwa Babu Putin -aliyeogopa hadi leo kutembelea askari wake kwenye mapigano- anashika chochote??
Mpende usimpende Zelensky, alitembelea wanajeshi wake karibu na mapigano mara kwa mara.
Mpende usimpende Biden, anajiamini kwenda huko ambako Putin hawezi kufika (Kyiv) ..
Kila mmoja anastail yake ya kutimiza majukumu yake,sio kwa vile Zele kaenda kutoa hamasa kwa wapiganaj basi na mwamba aende hiyo si lazima.
 
GDP - TOP 15 Contries - Gross Domestic Product
  1. United States: $20.89 trillion
  2. China: $14.72 trillion
  3. Japan: $5.06 trillion
  4. Germany: $3.85 trillion
  5. United Kingdom: $2.67 trillion
  6. India: $2.66 trillion
  7. France: $2.63 trillion
  8. Italy: $1.89 trillion
  9. Canada: $1.64 trillion
  10. South Korea: $1.63 trillion
  11. Russia: $1.48 trillion
  12. Brazil: $1.44 trillion
  13. Australia: $1.32 trillion
  14. Spain: $1.28 trillion
  15. Indonesia: $1.05 trillion
Tanzania - $167 billion
Uchumi wa makaratasi us atadumu miaka 200

Ila uhalisia smo angalia mfumuko wa bei nani anaumia
Pamoja na vikwazo 7000 rusia amekuwa bora kuliko jana
 
Huyo jamaa anayemwita sijui Rais wa wapiga nyeto sijui kiongozi wa wapiga nyeto kama kweli aliandika humu kwamba yeye ni mpiga nyeto hodari basi kwishney hiyo.

Bila shaka punyeto imeshaharibu uanaume wake na sasahivi hana uwezo wa kumridhisha mwanamke, kufikia hapo anakuwa inferior mbele ya mwanamke kitu ambacho sasa kinamfanya aanze kutamani yeye kukunwa. Hivi vitu tusichukulie kwa utani, yawezekana kuna machoko kweli kwenye huu uzi alafu sie twafanya utani. Na machoko hao wanaiandama Russia sababu imekataa dhahiri mambo ya kichoko. Huko nyuma jamaa alikuwa anaipenda sana Russia mpaka kufikia kujiita majina ya Kirusi. Naona baada ya Russia kukataa sera za kichoko ndio hizi povu anatoa humu..

Tutafute namna ya kumsaidia wakuu.. Uraaaaaah!!!
​
Jamaa yetu huyu tupunguze kumkazia asije akafanya maamuz magumu tukajuta sote humu ndan
 
Kila mmoja anastail yake ya kutimiza majukumu yake,sio kwa vile Zele kaenda kutoa hamasa kwa wapiganaj basi na mwamba aende hiyo si lazima.
Mkuu ni kweli hakuna ambacho ni lazima. Ila imeonekana kwa wengi mzee Putin ni babu mdhaifu anayeogopa mengi (hadi kukutana na majenerali wake kwa umbali wa mita kadhaa), hata kukutana na raia wake mjini ameshaacha tangu miaka.
Maazimio yake ya ajabu kuanzisha vita iliyoandaliwa vibaya inaeleweka vizuri zaidi tukimwona kama mtu mwenye hofu nyingi anayetegemea watu wachache wanaomwambia kile wanachoamini atapenda.
Maana ushauri wake ulikuwa mbali sana na hali halisi.
Bahati mbaya tu Warusi wengi na pia Waukraine wanakosa afya na uhai kutokana na maazimio hayo.
Na watu wengi pamoja Tanzania wanaona kupanda kwa bei kwa sababu vita pumbafu inaleta vurugu katika uchumi wa dunia.

(Ila kwa washabiki wake kosa bila shaka liko upande wa hao wanaojitetea badala ya kukubali kupigwa na kuporwa na upande wa hao wanaomsaidia aliyeshambuliwa....)
 
Unaonaje ukamuandikia hivi Bwana Utam aliyekuwa anabeza Biden kutoa taarifa kwa Russia, eti naomba ruhusa. Na yule aliyebeza Biden kutumia treni. Au ushabiki unauona kwangu tu.

Lt. Col. Putin alifeli alipokuwa East Germany na ukuta wa Berlin ukaanguka. He served well in a failed mission
Br Ni mjinga tu atabisha ukweli Kwamba Moscow ilipata taarifa za uwepo wa Biden mjini Kiev na ndo maana hawakujaribu kufanya uchizi wowote ambao bila shaka ungeileta dunia kwenye mgogoro wa silaha nzito zaidi za kinyuklia.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kuna source kibao mtandaoni za west wanadai US inaivamia Iraq kwa kuwa Iraq wana siraha za maangamizi. Je wewe katika pita pita zako kwenye taarifa za baada ya vita ulishawahi kuona uthibitisho wa uwepo wa hizi siraha mazafanta mkubwa!
Mkuu ajabu ni nini kama pande zote hucheza michezo michafu?? Sadam alikuwa Mchafu; Bush2 alitumia alitumia uwongo kumwingilia na kumwondoa (Bush 1 alitetea haki za Kuwait pamoja na maslahi yake ya mafuta dhidi ya Saddam aliyeanzisha vita kwa ujinga).

Putin alijaribu mchezo mchafu wa kupasua Ukraine akiamini Waukraine wenye lugha ya kirusi walimpenda. Alipoona kwamba alifeli (na Waukraine wenye lugha ya kirusi walipendelea kuwa Waukraine) alianza kutafuta waasi wachache na kuwakuza kwa pesa, silaha na majasusi, hadi alipopaswa kuingia kwa jeshi lake na kuvamia Krimea na sehemu za Donbas 2014...

Sasa anajaribu uwongo eti Nato au nani walimshambulia . . . . . . (ana uzoefu katika shughuli za uwongo maana alihitimu chuo cha uwongo wa KGB , zamani alisambaza uwongo eti ukomunisti ni ukombozi wa dunia.... ila hata huko alishindwa, alipofanya kazi Ujerumani hakufaulu...)
 
Back
Top Bottom