T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Basi sawa apigane kisa ni kiranja wa dunia. Je ampige nani?Yeye si ni kiranja wa dunia?
Iraq na Vietnam alienda kupigana kwa sababu gani?? Somalia je?
Basi sawa apigane kisa ni kiranja wa dunia. Je ampige nani?Yeye si ni kiranja wa dunia?
Iraq na Vietnam alienda kupigana kwa sababu gani?? Somalia je?
Acha porojo ilisha wahi kukutana na hali hiyo nchini Vietnam na ndio maana alipigwa kipigo cha mbwa koko akakimbia kama kichaa.
Super power una pigana na Talban miaka 20 na bado wana kushinda mwisho unawakimbia.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2]
Kwanini wewe usitaje la maana kwako lililotajwa pale kuhusu vita. Mimi kwangu ni hilo, kama hutakiDa ila wewe jamaa unajiona una akili kuliko Putin?
Aisee ukapimwe akili sio Bure.
Kwamba eti uliloona la maana ni hilo TU!
Aisee we jamaa hauko sawa,jichunguze.
Kama rambo vile au kamando joniKwa hiyo anaenda kukomboa ardhi iliyoshikiliwa na Urusi.
Baada ya kutuma silaha weee zimeshindwa, Sasa kaona Bora aende yeye mwenyewe front.
Hawana habar na hutuba.[emoji57][emoji42]View attachment 2525215
Umepoteza mwelekeo ndugu,toka kua mchambuzi mahili Hadi kua mchambuzi wa vijembe.Kwanini wewe usitaje la maana kwako lililotajwa pale kuhusu vita. Mimi kwangu ni hilo, kama hutakiView attachment 2525413
Ushauri wangu TU,ni kwamba zamani hukua hivi.Kwanini wewe usitaje la maana kwako lililotajwa pale kuhusu vita. Mimi kwangu ni hilo, kama hutakiView attachment 2525413
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mbwa kajificha naona anaogopa kuwa mambo gani tena haya
Ama Chuck Norris.
Akampige North Korea au Russia..Basi sawa apigane kisa ni kiranja wa dunia. Je ampige nani?
Wao kwao vita ndio maana akaiita hivyo ila kwake ni SMOPutin amelaumu West Countries kwa kuanzisha hii VITA na siyo SMO
Jeshi la machoko haliwezi kwenda kupambana na wanaume.. Hao wanaishia kupambana na wanamgambo wanaovaa kobazi wanajificha kwenye milima na AK-47 na RPG tu.. Tena hapo wanaenda msululu wa machoko kibao kutoka Amerika mpaka Ulaya yoteHapa namsikiliza kibabu Biden, anabwabwaja hiki na kile...Mimi nangojea aseme majeshi ya USA yanaingia Ukraine kuisadia...maneno ninayosikia ni democracy freedom, thank you all, may God bless the heroes...dah..duh...Putin kweli amewashika vibaya au pabaya...
Malengo yake yapi!!!??Mkuu huchoki tu, tangu malengo uanze kuyasema hadi leo hayatimii na yanabadilika. Mashabiki wenzako tunaowaamini kabisa wako wanalalamika hukuView attachment 2525081
Ila hiyo comment ya mwisho ni ukweli wake
Haaa naona tangu wakuite kiongozi wa wapiga nyeto wa jf hasira zako zote umezihamishia kwa Putin una bwabwaja bwabwaja tu bila mipangilio.View attachment 2525407Russian Special Military Scrapeyard
Mara ya mwisho marekani kuvamia nchi ilikua mwaka gani !!!??Mtazamo wako ni mzuri sana na uko sahihi, ila mwaka jana mimi niliandika humu kwamba Russia itapoteza wateja wa silaha kutokana na sanctions Warusi wakabisha. Niliandika ilipoanza Egypt kusitisha, ikaja nchi nyingine sikumbuki kama ni Indonesia au nani jirani yake, ikaja India kwenye deal la helicopters mwaka jana huohuo, ikaja India Airforce kwenye fighters ikachukua Rafales ikaachana na additional Russian jets probably Sukhoi 30 MKI ilizonazo.
Hata January hii Indian Navy ilinunua Rafales kwa ajili ya carriersView attachment 2525111
Inazo Russian Mig 29K ila haikuzitaka. Na hapo kwa Serbia ulivyosema kama Russia inaanza vita (wanayoita operation) kisha wanashindwa kufanya services ya silaha walizouza kwa wateja basi hao hawako serious. Hutokaa usikie eti Marekani imeshindwa kufanyia service ndege za washirika kisa imevamia wapi sijui. Na hii vita sio ya kufanya nchi inayojigamba ina nguvu kushindwa service ya ndege za wateja, mbona air warfare ni ndogo.
India, China, Egypt ndio wateja wakubwa wa ndege za Russia na hawanunui uko tena. Algeria sijui
Ila mauzo ya nafaka yamepandaKwa sasa mauzo yameshuka sana na kila wakikutana NATO wanaangalia utoshelevu kwani sasa Norway ,Netherland na baadi ya nchi za ulaya wameanza ku supply gas .Urusi walijua wakati wa majira ya baridi kali NATO wangesa renda bila kujua NATO sio umoja wa Africa .Sasa hivi kuanzia Nov 2022 import to EU ni less than Quarter,another quarter from Norway na 11.6 from Algeria.,US ,Qatar and Nigeria wanasupply 25%.Mlipaji mzuri wa gas na mafuta ni nchi za ulaya na sio China na India (wababaishaji tu) na malengo ni waendellee na vita mpaka gas ya Russia iwe 5%
"Marekani, Blinken ameutaja uamuzi wa Urusi kusimamisha ushiriki wa START kuwa wa kukatisha tamaa, asema Marekani itaangalia kwa karibu kile ambacho Urusi itafanya. Pia Blinken asisitiza kuwa Marekani bado iko tayari kuzungumza na Shirikisho la Urusi."
Hao hawaaminiki tena sasa hivi. Wangeanza kwanza kuheshimu mkataba wa Minsk kabla ya kuomba START3.
Mzee baba kawaweka 'on hold' amalize yake kwanza.
Samahani BOSS hakuna sehemu nimebeza joe kutoa taarifa KREMLINUnaonaje ukamuandikia hivi Bwana Utam aliyekuwa anabeza Biden kutoa taarifa kwa Russia, eti naomba ruhusa. Na yule aliyebeza Biden kutumia treni. Au ushabiki unauona kwangu tu.
Lt. Col. Putin alifeli alipokuwa East Germany na ukuta wa Berlin ukaanguka. He served well in a failed mission