Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji273][emoji777][emoji385]Russia will continue to work with partners to make system of international settlement independent of the dollar and other Western currencies, dollar will lose its universal role. - Putin

Putin: inflation in Russia will approach the target level of 4% by the middle of the year, and in the EU inflation is already 12% or more

The image of the West as a safe haven turned out to be fake. Those who considered Russia only as a source of income have lost a lot. In the West they were simply robbed.
De dolarization.....
 
Propaganda kidogo kaingiza mkuu..,hasa pale aliposema kwamba west wameshatumia dollar [emoji385][emoji385] billions 150 kwenye vita inayoendelea huko Ukraine
At least ni propaganda kuhusu West, mengi hata pale aliposema West inataka kushirikiana na Ukraine kuharibu airbases za Urusi na pale anasema West imeiba forex na gold reserve ya Russia. Hotuba haikuwapa Warusi fake sense of superiority, hawa huwa na demand ukiwaambia vitu huna uwezo navyo.

Kingine Melini, PM wa Italy kaingia Ukraine leo. Wakati anachaguliwa walidhani hataki fujo ila kashatuma silaha
20230221_143249.jpg
 
Mambo yamekuwa magumu kaamua kutupa lawama. Yuko serious kabisa anasema West ilianzisha vita alafu Russia ndio ikaingia, na anasema ilitoa silaha za hii vita kabla. Hapo nilicheka[emoji23]
aisee...ww Mwamba hapa ndio huwa unazingua...!!!..hv kwa kutumia akili za kawaida tu unaweza vipi kubisha kwamba West ndio walioanzisha hii vita...!!!



Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
aisee...ww Mwamba hapa ndio huwa unazingua...!!!..hv kwa kutumia akili za kawaida tu unaweza vipi kubisha kwamba West ndio walioanzisha hii vita...!!!



Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Kwahiyo West ndio inapigana na Ukraine au sio. Hizi akili mnazitoa wapi hivi. Tarehe 24 mtafanya maadhimisho ya Russia kuivamia Ukraine
 
💥💥💥The American Ambassador was summoned to the Russian Foreign Ministry, she was protested in connection with the expansion of US involvement in hostilities on the side of Kyiv.

Washington must take steps to withdraw its military and equipment, as well as stop hostile anti-Russian activity, the Foreign Ministry said.

It is also emphasized that the United States should give explanations about the explosions at Nord Stream.💥💥💥
 
Serbia ambayo ina Mig-29 jets imesema haitanunua tena hizo ndege kwani hazipati service kutokana na vita. Badala yake itanunua Rafale za Ufaransa, sijui kwanini hawajanunua za China ambayo wana air defence system kutoka uko. Rafales zina bei na Serbia sio mshirika mzuri wa West
IMG_20230221_135813.jpg


Wazee wa sanctions hazifanyi kitu ndugu yenu Alex Vucic naye mtampinga. Comments za kumsifia zipo humu
 
Demilitarization & denazification..

'Demilitarization of Ukraine' haiwezekani maana bado Ukraine anapokea silaha za magharibi kila kukicha.

Na kuhusu 'denazification' ingetakiwa ianzie ndani ya Urusi kwenyewe maana hata huko manazi wapo.
Huoni kuwa idadi kubwa ya wanajeshi wa Ukraine inaendelea kupukutika,hiyo sio demilitarization?Au mwisho wa siku jeshi la Ukraine likifyekwa,NATO itaingiza majeshi yake rasmi?
 
Back
Top Bottom