President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Sasa wameliamsha dude. NATO wamepwaya.
Hivi hao US kweli Ni wazungu Kama wa Russia?[emoji95][emoji95][emoji95]The American Ambassador was summoned to the Russian Foreign Ministry, she was protested in connection with the expansion of US involvement in hostilities on the side of Kyiv.
Washington must take steps to withdraw its military and equipment, as well as stop hostile anti-Russian activity, the Foreign Ministry said.
It is also emphasized that the United States should give explanations about the explosions at Nord Stream.[emoji95][emoji95][emoji95]
Russia dubwana kubwa linameza wote[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Sasa wameliamsha dude. NATO wamepwaya.
View attachment 2525097
Kwa West ile ni msaada wa silaha. Kama anavyotoa misaada ya vyandarua na ARVs.Elewa kwa west Ni Vita Ila kwa Russia Ni SMO au leo hajasema hayo maneno kwenye hotuba yake?
Sidhani kama nadharia ndio hiyo unayojaribu kuiweka hapa!Sitaki kuamini kama service ya ndege vita za Russia inaenda kufanyika nchi za west!Serbia ambayo ina Mig-29 jets imesema haitanunua tena hizo ndege kwani hazipati service kutokana na vita. Badala yake itanunua Rafale za Ufaransa, sijui kwanini hawajanunua za China ambayo wana air defence system kutoka uko. Rafales zina bei na Serbia sio mshirika mzuri wa West View attachment 2525091
Wazee wa sanctions hazifanyi kitu ndugu yenu Alex Vucic naye mtampinga. Comments za kumsifia zipo humu
We unalinganisha msaada wa chandarua na leopard au abram hivi we unafikiria kwenye kichwa au kisigino?Kwa West ile ni msaada wa silaha. Kama anavyotoa misaada ya vyandarua na ARVs.
US haijafanya mobilization hapa. Urusi imefanya mobilization na inasema ni operation sasa ikitokea vita yenyewe itafanyaje kingine. Kabla ya 2022 mara ya mwisho Urusi kufanya mobilization ni 1941
Mungu Nimkubwa Kutuletea Mtu kama PutinAsante Mungu kwa kutupatia Rais Putin
Mtazamo wako ni mzuri sana na uko sahihi, ila mwaka jana mimi niliandika humu kwamba Russia itapoteza wateja wa silaha kutokana na sanctions Warusi wakabisha. Niliandika ilipoanza Egypt kusitisha, ikaja nchi nyingine sikumbuki kama ni Indonesia au nani jirani yake, ikaja India kwenye deal la helicopters mwaka jana huohuo, ikaja India Airforce kwenye fighters ikachukua Rafales ikaachana na additional Russian jets probably Sukhoi 30 MKI ilizonazo.Sidhani kama nadharia ndio hiyo unayojaribu kuiweka hapa!Sitaki kuamini kama service ya ndege vita za Russia inaenda kufanyika nchi za west!
Majuzi tu hapa Russia alisuspend baadhi ya deals za military equipment na baadhi ya nchi Kwa sababu ya mazingira ya vita aliyonayo! Priority ikawa ni kulihudumia jeshi la Russia!
So Kwa mtizamo wangu,service centers za Russia ziko busy kulihudumia jeshi lao hivyo kufanya mazingira ya service kuwa magumu!
Labda nipe uhusiano wa sanctions na service Kwa Russian made military fighter jets!
Kumbe zele naye alikuwa anafuatilia hotuba nimecheka kwa sauti[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Mungu Nimkubwa Kutuletea Mtu kama Putin
Naona tumekubaliana sio issue ya sanctions Kwa nchi kama Serbia ambapo wamesema service imekuwa shida!Ndio maana nikashtuka nikahoji Iweje Russia atengeneze ndege vita halafu service ategemee nchi za west?Mtazamo wako ni mzuri sana na uko sahihi, ila mwaka jana mimi niliandika humu kwamba Russia itapoteza wateja wa silaha kutokana na sanctions Warusi wakabisha. Niliandika ilipoanza Egypt kusitisha, ikaja nchi nyingine sikumbuki kama ni Indonesia au nani jirani yake, ikaja India kwenye deal la helicopters mwaka jana huohuo, ikaja India Airforce kwenye fighters ikachukua Rafales ikaachana na additional Russian jets probably Sukhoi 30 MKI ilizonazo.
Hata January hii Indian Navy ilinunua Rafales kwa ajili ya carriersView attachment 2525111
Inazo Russian Mig 29K ila haikuzitaka. Na hapo kwa Serbia ulivyosema kama Russia inaanza vita (wanayoita operation) kisha wanashindwa kufanya services ya silaha walizouza kwa wateja basi hao hawako serious. Hutokaa usikie eti Marekani imeshindwa kufanyia service ndege za washirika kisa imevamia wapi sijui. Na hii vita sio ya kufanya nchi inayojigamba ina nguvu kushindwa service ya ndege za wateja, mbona air warfare ni ndogo.
India, China, Egypt ndio wateja wakubwa wa ndege za Russia na hawanunui uko tena. Algeria sijui
Sawa MkuuAmelaumu west kuanzisha vita huko Donbas!Hiyo vita si hii SMO,alichosema ni kuwa Russia inatumia force kusimamisha vita iliyoanzishwa na West!Hiyo force ndio hii SMO Kwa mujibu wa maelezo yake!
Nyie wa Kariakoo hamna haja ya makombora, kipindupindu na malaria vinatosha.kila kipimo eti - it can even hit US, Kutojiamini huko kwani US ndiko Dunia iliko.
Mbona hawasema it can even hit Kariakoo ??
Putin: The Russian authorities know what needs to be done for confident, progressive, sovereign development - despite all external pressures and threats.
Russia's future depends on how it deals with today's challenges.
Ha ha ha haa,da !Nyie ndio wakujiandaaa.
Sababu PUT IN alisema mambo mawili kwanza musahau kuishinda RUSSIA huko field beto
Pili akasema kua SMO ni long process halaf unataka ajiandae wakat aliishawaambia
SMO itaendelea hatakama ni miaka kumi na zaidi alimuradi malengo yafikiwe
Hapa anatafutwa NATO na EU nampaka sasa wameshajaa kwa % kadhaa
SMO iendeleee.....