Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
Nyie ndio wakujiandaaa.Pesa anayo ila ajiandae kwa vita endelevu.
Sababu PUT IN alisema mambo mawili kwanza musahau kuishinda RUSSIA huko field beto
Pili akasema kua SMO ni long process halaf unataka ajiandae wakat aliishawaambia
SMO itaendelea hatakama ni miaka kumi na zaidi alimuradi malengo yafikiwe
Hapa anatafutwa NATO na EU nampaka sasa wameshajaa kwa % kadhaa
SMO iendeleee.....