Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nani kakudanganya?
Kwa mfano ni kikosi cha anga, hapo kwenye naval base kinafanya nini na kimevaa sailors uniforms, hapo kanisani kwa Orthodox kimeenda na Putin kufyatua makombora kwenye misa? Na kuna picha nyingine alikuwa hospitali na huyo mmama alikuwa staff hospitalini.

Putin ana chawa wake anakaa nao akienda popote kwenye watu wanakuwa staff ya hapo. Viazi tu hao hawajui lolote kuhusu Airforce ni maafisa usalama
Chagua nyimbo
 
Mkuu wakati Mrusi anatumia West hawatumii?
Ukicombine US na washirika wake, combine mataifa ya magharibi individually, combine NATO yenye mataifa zaidi ya 30; sioni Mrusi akipigana vita hii kwa miaka 5, atasambaratika - Juzi marekani kaahidi Tshs 1.16 Trillion

South Africa, Iran, Berlus, Mchina si nchi za kutegemea kwenye vita kubwa kama hii, at the end utadhoofu tu.
 
EU na NATO kwa mwaka tu wamevurugana wameanza kulaumiana je tukiongeza mwaka Us kwenyewe maandamano yameanza yaani nyie Russia Ni dubwana.
 
Najua Wapo wapenzi wa Mwamba Putin watahitaji Kuwa Live kumcheki
Link hii hapa Muda ni Saa 12;00
 
Washington.

Wamarekani hivi Sasa wanaandamana wanapinga umoja wa nato.

American ijitoe nato na kuuvunja umoja huo pia iache kupeleka silaha Ukraine.

"Mi nadhani nato ikibomoka na kusambalatika bs dunia italejea kwenye usalama japo taratib.

Hawa nato wameharibu sana maisha ya binaadam pamoja na kupunguza umri wa kuishi,dunia hii imekua jehanam kwa watu wengi kuna watu wanataabika sana maishani.
FB_IMG_1676967650813.jpg
 
GDP - TOP 15 Contries - Gross Domestic Product
  1. United States: $20.89 trillion
  2. China: $14.72 trillion
  3. Japan: $5.06 trillion
  4. Germany: $3.85 trillion
  5. United Kingdom: $2.67 trillion
  6. India: $2.66 trillion
  7. France: $2.63 trillion
  8. Italy: $1.89 trillion
  9. Canada: $1.64 trillion
  10. South Korea: $1.63 trillion
  11. Russia: $1.48 trillion
  12. Brazil: $1.44 trillion
  13. Australia: $1.32 trillion
  14. Spain: $1.28 trillion
  15. Indonesia: $1.05 trillion
Tanzania - $167 billion
Hii inahusianaje na CURRENCY

Ila RUSSIA maskini anaingiaje hapo halaf hii takwimu ya mwaka gani

Maana ya mwaka jana ambayo imetolewa mwaka huu RUSSIA ni ya 10
 
Washington.

Wamarekani hivi Sasa wanaandamana wanapinga umoja wa nato.

American ijitoe nato na kuuvunja umoja huo pia iache kupeleka silaha Ukraine.

"Mi nadhani nato ikibomoka na kusambalatika bs dunia italejea kwenye usalama japo taratib.

Hawa nato wameharibu sana maisha ya binaadam pamoja na kupunguza umri wa kuishi,dunia hii imekua jehanam kwa watu wengi kuna watu wanataabika sana maishani.
View attachment 2524856
keep on dreaming.... US ni founder wa NATO baada tu ya vita vikuu vya pili.

NATO founders - Belgium, Canada, Denmark, France, Iceland, Italy, Luxembourg, the Netherlands, Norway, Portugal, the United Kingdom, and the United States.
 
North Korean Missile Launch was a ‘Surprise Drill’

The 🇰🇵 intercontinental ballistic missile (ICBM) launched Saturday, which flew for 66 minutes, would have the ability to strike anywhere in the US, the Japanese govt said.

The test received condemnation from South Korea, the US and Japan - who alleged that it landed in its Exclusive Economic Zone.

North Korea, on Friday, had threatened an "unprecedentedly" strong response to upcoming 🇺🇸-🇰🇷 drills - which it described as preparations for war.

No surprises @RT_India_official
 
‘Colonizers Ask Us To Be Enemies Of Russia’ — Ugandan FM

Uganda will not succumb to pressure from former colonizers in the West to turn against Russia, as longstanding bilateral relations with Moscow are too important, the Ugandan foreign minister has said.

“We were colonized and forgave those who colonized us. Now, the colonizers are asking us to be enemies of Russia, who never colonized us. Is that fair? Not for us: their enemies are their enemies, our friends are our friends,” Jeje Odongo told Russia’s RIA Novosti news agency.

Uganda, a British protectorate for almost 70 years, enjoyed good relations with the Soviet Union after regaining its sovereignty in 1962. The USSR actively pushed for the decolonization of Africa and supported many of the countries after they became independent.

“Many of our students were educated in Russia, so why should there suddenly be a problem with us continuing our relationship with Russia, which we did historically,” the foreign minister said.

Subscribe to RT
 
Back
Top Bottom