Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

PutinJinping
Vladmir Putin na Xi JIngpin wakiteta kwa simu ya video. Picha na AP

Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi ametua salama mchana huu mjini Moscow na anatarajiwa kuonana na waziri wa mambo ya nje wa Russia Sergei Lavrov.

Haijaelezwa kama atakutana na raisi Putin.

Kama itakumbukwa kabla Russia hawajaanzisha operesheni maalum nchini Ukraine miezi 12 ilopita Raisi wake Vladmir Putin alifanya ziara nchini China.

China na mataifa mengine khasa barani Asia wamekuwa waninunua kiasi kikubwa cha mafuta kutoka Russia.

Ikumbukwe kwamba huu ni mgogoro wa pili mkubwa katia ya Russia na nchi za Magharibi pamoja na Marekani baada ya mgogoro wa kwanza kutokea mwaka 1962 uitwao Cuba Missile Crisis.

Raisi Putin kesho atarajiwa kutoa hotuba ambayo itatoa mwelekeo wa Russia katika mgogoro huu iezi 12 baada ya kuanzisha SMO nchini Ukraine.
 
Mzigo unazidi kuwekwa[emoji91][emoji91][emoji123][emoji123]

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] the united states will allocate new 500 millions dollars on military aid package for Ukraine, which will include missiles for HIMARS system, javelin ant-tank missiles system [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
 
Blog original ya Kiv imeandika kuwa USA Waliwasiliana na Russia kabla ya ziara ya Biden Kiv .

#Сплетни
The Associated Press (AP) has confirmed the gossip we previously published .

Before Biden's trip to Kyiv, the United States contacted Russia to rule out miscalculations that could lead to a confrontation between the two nuclear powers


manning

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ni Biden akiwa nchi ya kigeni. Sasa Putin akiwa nchini kwake mwenyewe anaogopa sembuse aende kwenye vita
20230101_131038.jpg
20230101_131047.jpg
20230101_131205.jpg
20230101_131138.jpg
 
Utoto Umewajaa sana Mmekuwa wajinga Kuoindukia
Alienda Rais wa Ufaransa Nk
Labda Tukujuze Urusi Ilipitisha Huyo Kizee kwenda
Kifupi Ilikuwa lazima Watoe Taarifa kwa Mrusi naye Akubari

View attachment 2524100

We ndio mtoto tena kichanga, sasa Urusi imzuie Marekani nini? Marekani imetoa taarifa kwa Urusi ili isiseme haijaambiwa, ingetaka ingefanya mashambulizi alafu ione nani superpower duniani.

The same way Israel inaiambia Russia ikitaka kufanya mashambulizi Syria, kama unataka kutuzuia jiandae na consequences. Kama hutaki ufyate.

Note: Marekani haijaomba ruhusa kwa Urusi, imeitaarifu tu ili ikikiuka wakiishukia isiseme haikuambiwa
 
Utoto Umewajaa sana Mmekuwa wajinga Kuoindukia
Alienda Rais wa Ufaransa Nk
Labda Tukujuze Urusi Ilipitisha Huyo Kizee kwenda
Kifupi Ilikuwa lazima Watoe Taarifa kwa Mrusi naye Akubari

View attachment 2524100

Watu waliojizima data usihangsike nao!Wamekosa taarifa nzuri Kwa muda mrefu imebidi kila issue inayotokea hata kama ni minor basi huvalia njuga!
Waache na Ujinga wao!
 
[emoji779][emoji845] the official white house statement on US president joe Biden surprise visit to Kyiv ,it promises the supply of new weapons and announcement of ant-russian sanctions that will be introduced this week [emoji298][emoji1255]
1676900278855.jpg
 
Watu waliojizima data usihangsike nao!Wamekosa taarifa nzuri Kwa muda mrefu imebidi kila issue inayotokea hata kama ni minor basi huvalia njuga!
Waache na Ujinga wao!
Poleni sana kwa maumivu..,yatapita,Yana mwisho![emoji16][emoji28][emoji1787]
 
Back
Top Bottom