Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Watu wa hivyo hupaswi wajibi kotu unawaacha na imani yao
Wewe kumbe ni hamnazo kabisa, hata Putin alivyoenda kutembelea lile daraja lazima Biden alifaham na aliwaonya Ukraine wasijaribu kufanya ujinga.

Akienda unannounced halafu Urusi wakapiga tukio si WW3 hiyo?

Mimi na wewe ndo labda hatufahamu

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Wengi wa pro NATO hawafahamu namna diplomasia ya kimataifa ifanyavyo kazi.

Nchi zote zilizo kwenye hii vita zina njia maalum za simu za mawasiliano ya moja kwa moja.

Kila kitu hufanyika nyuma ya pazia na media zote za kimataifa huwa wanafahamu kinoendelea ila wanakuwa wapo kwenye muted state.

Jack Sullivan (mshauri wa usalama) aliwaambia waandishi wote wa habari wanoongozana na Biden kusalimisha simu zao na wamepewa mchana huu baada ya Biden kufika Warsaw Poland.

Hizi ni pilikapilika za nyuma ya pazia lakini viongozi wote khasa Macron aongea na Putin kwa simu kila wakati.
 
Suprise gan wakat Taarfa zimefka kabla ata ya yeye ajafk
Super pawer wa kwenye makaratasi alipiga mkwara mzito kwamba ataisaidia utawala wa Kyiv atakiona Cha moto..,Cha ajabu watu hawakuishia kusaidia tu,wamepiga mpaka selfie [emoji1702][emoji1702][emoji1702] kwenye viunga vya mji wa Kyiv [emoji56][emoji28][emoji1787][emoji2]
 
Blog original ya Kiv imeandika kuwa USA Waliwasiliana na Russia kabla ya ziara ya Biden Kiv .

#Сплетни
The Associated Press (AP) has confirmed the gossip we previously published .

Before Biden's trip to Kyiv, the United States contacted Russia to rule out miscalculations that could lead to a confrontation between the two nuclear powers.
 
Mtaongea lugha zote lakini haitafuta ukweli kwamba Kwa mara nyingine Tena super pawer wa kwenye makaratasi kapigwa na kitu kizito[emoji28][emoji1787][emoji2]
 
Kwamba Marekani iwaambie leo tunasafirisha silaha msilipue
Leo Rais anaenda Kyiv msilipue
 
Fashisti kwenye hii vita ameshaingizwa chaka,Hana ujanja zaidi [emoji2][emoji28]
1669641147676.jpg
 
Back
Top Bottom