Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Sawa BOSS
Waliovujisha video kuwa Biden huenda yuko Kyiv ni wananchi wa kawaida maana toka asubuhi wamezuiwa kuendesha magari njia hizo.

Pia baadae ukapita msafara mrefu

Mpakani kwa Poland watu waliona msururu wa magari mengi na wanajeshi na ndege za kijeshi

Baadae video ya kwanza kuvuja imerekodiwa kwa simu tena kutokea mbali

Sasa mtu kaumia moyoni anakuja na hadithi
[emoji1258][emoji635] Shortly before Biden's visit to Ukraine, the United States contacted the Russian Federation to avoid conflict situations - Associated Press

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nafahamu pengine kuliko weye.

Hii kutoka kwa mchambuzi wa silaha.

Msaada aloahidi Biden leo.

"More details on those additional $500m (£415m) worth of weapons that Joe Biden has pledged to Ukraine.

The extra artillery ammunition comprises more rockets for HIMARS, the wheeled and highly mobile multiple launch rocket systems that have proved so effective on the battlefield already. They fire precision-guided GMLRS munitions and are accurate to within a few metres at ranges of up to 50 miles (80km).

The anti-armour weapons comprise Javelin missiles to take out tanks and similar vehicles. These shoulder-launched weapons automatically guide themselves to target, striking from the top where the armour is at its weakest.

The key for Ukraine to is continue to weapons-feed their military machine in the east of the country, where Russia is capable of keeping up a high rate of artillery attacks".

Chanzo: news360

Hivyo launchers wanazo lakini hawana ammunitions.
Sasa hizo pesa si wangejenga ile reli yao mbovu kule Ohio 🤣🤣🤣🤣

Ukishazoea kuchezewa kinyeo huwezi kuwa na akili timamu wallah..
 
Angeenda na BAKHMUT
Kuelekea maadhimisho ya mwaka mmoja wa Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine - Mwamba kakanyanga Kyiv BILA WASIWASI WOWOTE...
2023-02-20T104800Z_660368771_RC2YEZ9CB5B8_RTRMADP_3_UKRAINE-CRISIS-BIDEN.jpg

[emoji1258][emoji635] Shortly before Biden's visit to Ukraine, the United States contacted the Russian Federation to avoid conflict situations - Associated Press

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blog original ya Kiv imeandika kuwa USA Waliwasiliana na Russia kabla ya ziara ya Biden Kiv .

#Сплетни
The Associated Press (AP) has confirmed the gossip we previously published .

Before Biden's trip to Kyiv, the United States contacted Russia to rule out miscalculations that could lead to a confrontation between the two nuclear powers.
Aya sasa wale minato wanapewa elimu wanabisha waendelee kubishia na kijarida chao..
 
Angeenda na BAKHMUT [emoji1258][emoji635] Shortly before Biden's visit to Ukraine, the United States contacted the Russian Federation to avoid conflict situations - Associated Press

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambieni kwanza yule fashisti wa Moscow aguse pua Donbass kule,Ile si ni ardhi ya mother Russia??[emoji23][emoji16][emoji28]
 
Superpower uchwara na wachuuzi wa gesi baada ya Biden kufanya ziara UkraineView attachment 2524070
Blog original ya Kiv imeandika kuwa USA Waliwasiliana na Russia kabla ya ziara ya Biden Kiv .

#Сплетни
The Associated Press (AP) has confirmed the gossip we previously published .

Before Biden's trip to Kyiv, the United States contacted Russia to rule out miscalculations that could lead to a confrontation between the two nuclear powers

manning

Maumivu yakizidi muone daktari [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Leo hii ndio mnajua kwamba Kuna blog original ya Kiev [emoji28][emoji23][emoji16]
 
Wakati super pawer akiendelea kuugulia maumivu ya ziara ya Biden sisi tunaweka mipango ya baadae [emoji1255][emoji123][emoji1255][emoji123]

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] prime minister of Japan fumio kishda has stated that Japan will provide 5.5 billion dollars in additional financial aid for the reconstruction of infrastructure in Ukraine [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
 
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] the war launched by Russia must end with full deoccupation of Ukrainian territories and security guarantee for Ukraine - zelensiky [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
 
Back
Top Bottom