Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna sehemu nilimqote zelensky alisema hakuna binadamu mwoga Kama Putin ndo maana anaogopa kurusha manyuklia yake maana anajua kitakachofuatia akijaribu tuu[emoji3][emoji3]
Mtu muoga utamwona kwa mikwara yake tu.., mikwara ya Putin isiyoisha Inadhihilisha woga alionao!
 
Duh! nimeacha kusoma pale ulipoandilka kwamba urusi kaiachia Kyiv iwe " safe zone" hayo makubaliano yaliyofikiwa mpaka urusi kuifanya Kyiv kuwa " safe zone" kama unayo tunaomba uyaweke hapa kama hutojali.
Vita siku zote ni kuzuia adui yako asipate silaha, hakuna cha Safe Zone wala nini.
Upande huo wa Sumy, Lviv Urusi hawezi
 
Duh! nimeacha kusoma pale ulipoandilka kwamba urusi kaiachia Kyiv iwe " safe zone" hayo makubaliano yaliyofikiwa mpaka urusi kuifanya Kyiv kuwa " safe zone" kama unayo tunaomba uyaweke hapa kama hutojali.
Hii vita si vita kama ya M23 na majeshi ya Congo.

Kuna military planners na ni vita yaitwa hybrid yaani yahusisha silaha za aina mbalimbali na mataifa tofauti.

Hivyo ipo plan kila upande how to fight na Russia wao wana mipango yao jinsi SMO ifanyike na ikamilike. Ukrane nao wana plans zao na maswahiba wao.

Kwa sie watu wengine twafahamu kuwa ziara ya Biden imepangwa uzuri miezi kadhaa nyuma (hawajakurupuka) na plans zote zilifichwa ili kuondoa uwezekano wa miscalculations ambazo zingeleta maafa.

Kwanza, Biden alipewa plan ya safari ya kuingia Ukraine kwamba aishie kwenye mpaka na Poland.

Biden akasisitiza ataka kuona Kyiv iliyo salama khasa sehemu ambazo hazijaathirika sana.

Hivyo plan ikabadilishwa na ikawa asafiri kwa masaa tisa kuingia Kyiv kwa njia ya reli.

Biden kakiri kusikia mizinga ikivurumishwa huku na kule akiwa njiani.

Hivyo hiyo ndo safe zone aloacha Russia na viongozi wote unowaona wameingie Kyiv wametumia njia ya reli na si ndege.

Pili, hizo picha za video na still usidhani zimetoka leo kuna uwezekano mambo hayo yalifanyika jana na leo ndo watoa hizo picha kwa sababu za kiusalama.

Nafikiri utanielewa.
 
Mkuu,

Mbona hii video ni ya muda mrefu sana, kipindi hata SMO haijaanza.
Hao wanajeshi wa NATO unaowaona wote wameshachinjwa kwa sasa.

Next time uwe unaleta habari latest.
🤣🤣🤣🤣😂😂😂🇷🇺💪
Pro NATO kwa kweli wanatia huruma.
USA Safari hii wamekutana na mwanaume,walizoea kupigana na vivulana.
Mashabiki wao hawaamini kinachotokea.

Biden mwanzo kabisa aliweka wazi kuwa "sisi Marekani hatutapeleka jeshi Ukraine,safari hii tunadili na moja ya jeshi kubwa sana hapa ulimwenguni".

Tafasiri ya haya maneno ni hivi,
-usa na NATO walizoea kudili na vijeshi vidogo vidogo kama
Iraq,panama na Libya na vikundi vya kijeshi kama Al qaida,Talaban na somalia.
Hata hivyo vijeshi vidogo vidogo kama hivi USA hakuenda peke yake alienda na WA NATO wenzie na wapambe wake wengine wasio wa NATO.
Safari hii wamekaribishwa uwanjani kwa stata ya Wagner Huku wazee wa kazi Red army wanasubiria TU USA na NATO wajichanganye.
 
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] these photos published by the president's office show US president joe Biden and president volodymyl zelensiky during their meeting in Kyiv on February 20 [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
1676889586916.jpg
 
Waliovujisha video kuwa Biden huenda yuko Kyiv ni wananchi wa kawaida maana toka asubuhi wamezuiwa kuendesha magari njia hizo.

Pia baadae ukapita msafara mrefu

Mpakani kwa Poland watu waliona msururu wa magari mengi na wanajeshi na ndege za kijeshi

Baadae video ya kwanza kuvuja imerekodiwa kwa simu tena kutokea mbali

Sasa mtu kaumia moyoni anakuja na hadithi
 
Back
Top Bottom