BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 9,121
- 20,814
Kumekucha....NATO yajiweka tayari kwa lolote..
Inajiweka tayari kwa lolote lipi?
Kumekucha....NATO yajiweka tayari kwa lolote..
Hata Kabudi ni msomi acha dharau.Hawa watu wamesoma na kuelimika vilivyo eneo la historia, diplomasia na mahusiano ya kimataifa.
- Sergey lavrov - russia
- Wang yi - china
- Dr Subrahmanyam Jaishankar - India.
Huku kwetu nafasi kama hizi tunarusha mpira kwa yeyote aliye mbeleni..
Tulifikia hatua tukamchagua kabudi
Hilo file la kuedit PDF Wala hatushuguliki nalo.Jamani hii vita imekuwa Janga kwa urusi..,hii vita ni janga..,hii vita ni janga..,Jana tu walichinjwa warusi zaidi ya mia nane 🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱View attachment 2523948
Mpaka hapo umeshajishughulisha nalo[emoji1787][emoji2][emoji28]Hilo file la kuedit PDF Wala hatushuguliki nalo.
Wapigwe nyuma na mbele[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] baada ya kuchakazwa battle field super pawer kageukia uharifu Sasa[emoji848][emoji848]View attachment 2523955
Kumekucha....NATO yajiweka tayari kwa lolote..
Kwa hiyo wameanza kuiga Tabia za boss wao [emoji1787][emoji2][emoji28]Wapigwe nyuma na mbele[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Hapa naona kama tunachezewa movie aisee,ina maana ni kweli Hawa wasaidizi wa Biden wameshindwa kuficha kwamba mtu yeyote asijue kwamba bideni anaelekea Kyiv?? Nitakuwa wa mwisho kuamini Hilo[emoji28]Baada ya habari kuwa Biden yupo au anaelekea Kyiv, ndege za Russia zimepaa ili kurusha mabomu. Anga lote la Kyiv liko on target
Tayari yupo kwa sasa yupo kwenye ile memorial wall[emoji845][emoji845] Biden's aides try to find ways to secretly deliver him across the border into Ukraine.politico reported [emoji1255][emoji298]
Tayari video imetoka kuwa yupo Kyiv.Hapa naona kama tunachezewa movie aisee,ina maana ni kweli Hawa wasaidizi wa Biden wameshindwa kuficha kwamba mtu yeyote asijue kwamba bideni anaelekea Kyiv?? Nitakuwa wa mwisho kuamini Hilo[emoji28]
Na itakuwa aibu kwa marekani iwapo Biden atashindwa kufika Kiev kwa sababu ya hiyo mikwara ya urusi [emoji134][emoji134][emoji134]Baada ya habari kuwa Biden yupo au anaelekea Kyiv, ndege za Russia zimepaa ili kurusha mabomu. Anga lote la Kyiv liko on target