matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Russia imeongeza kasi ya uzalishaji wa Hypersonic missiles
Utasikia media za west zinasema US Medical Doctor Volunteer ameuliwa.View attachment 2523060Huyu jamaa Anaitwa Aleksandr Sozansky Alikuwa kiongozi katika Brigade ya 80 ya Mashambulizi ya Anga.
Aleksandr na dada yake Uliana walipenda kuwadhihaki wanajeshi wa Urusi waliouawa wakikanyaga maiti zao na kuziita mbolea.
Yaani jamaa Alikuwa Akipiga Picha huku Kakanyaga Maiti ya Mrusi nakusema Kawa Mbolea
Matokeo yake Naye Kawa Mbolea leo Huko Bakhmut
Aleksandr Sozansky with the callsign Ragnar was just eliminated at the Donbas front in Bakhmut area.
Sozansky was a captain in 80th Air Assault Brigade.
He was also a hardcore Nazi Banderite as his profiles show.
Aleksandr and His sister Uliana liked to mock killed Russian soldiers stepping on their dead bodies and calling them fertilizers.
Well Sashko looks Like you became a fertilizer for Russian soil now.
To Bandera!
Oya we [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukraine wameishiwa Bunduki,
Anawatia ujinga West waingie kichwa kichwa wamalizwe. Nadhani watastuka.
Tuliambiwa wameishiwa chips za kutengenezea makombora...![]()
Russia imeongeza kasi ya uzalishaji wa Hypersonic missiles
Mda wa kuita maji mma unakuja.![]()
RT - Breaking News, Russia News, World News and Video
RT is the first Russian 24/7 English-language news channel which brings the Russian view on global news.www.rt.com
Na Upuuzi kama Huu yupo Mtu anaweza Kuamin
Kumbe na huyu waliwahi kumuua😀😀. AmefufukaOn 7 March Ukraine's Ministry of Defence announced that Gerasimov was killed in Kharkiv Oblast during the 2022 Russian invasion of Ukraine, but Gerasimov was confirmed to be alive by BBC Russian when he was awarded the Order of Alexander Nevsky on 23 May.
View attachment 2523014
Baada ya kumfufua Putin amemfanya kuwa chief of the general staff kwa majeshi ya russiaKumbe na huyu waliwahi kumuua😀😀. Amefufuka
Huyu wa bombay leo nimeona spich yake khattar kweliHawa watu wamesoma na kuelimika vilivyo eneo la historia, diplomasia na mahusiano ya kimataifa.
- Sergey lavrov - russia
- Wang yi - china
- Dr Subrahmanyam Jaishankar - India.
Huku kwetu nafasi kama hizi tunarusha mpira kwa yeyote aliye mbeleni..
Tulifikia hatua tukamchagua kabudi
Hungary na Russia Ni marafiki was muda mrefu hasa kwa miaka ya karibuni urafiki huu ukichagizwa na Victor Oban waziri mkuu was Sasa ambae Ni mfuasi wa a Putin kisiasa na namna anavyobehave dhidi ya NATO na EU. Hata hivyo Hungary iko EU na NATO lakini imekataa kushiriki vikwazo kwasababu kwa mujibu wa Oban vikwazo vitaathiri Raia wasio na hatia Wala uhusiano wowote na Ukraine iliyovamiwa.Ndugu zangu naombeni majibu hapa.
Toka huu mgogoro wa Russia-Ukraine uanze taifa la Hungary limekua tofauti na mataifa mengine ya west. Kumbuka Hungary ni NATO & EU member ila amekua haungani na mataifa mengine katika vikwazo, kupeleka silaha, na pia imekua ina block loan za kwenda Ukraine. Kwanini Hungary anakua tofauti na wenzie?? Kuna uhasama wowote kati ya hili taifa na Ukraine au west??.