INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,057
- 20,963
Mpaka mashehe wenu wameanza kuwageuka[emoji16][emoji1787][emoji28]View attachment 2523133
Upo kundi gani hapa??
LGBTQ
Mpaka mashehe wenu wameanza kuwageuka[emoji16][emoji1787][emoji28]View attachment 2523133
Hiki ndicho nilichokuwa nasema mara kwa mara hapa.Norway 's Prime Minister Jonas Gahr Støre: "We have reached the limit of arms supplies to Ukraine. From now on, we will pay full attention to our own security and needs at our own borders."
Hawezi kuwa na nguvu ya kupeleka moto kama ninaokupelekea Mimi[emoji1787][emoji16]Uzuri unajua moyoni Putin ni Mwanaume na nusu ila unakaza ubongo tu. Uyo mwamba anaweza kukushindilia mwaka mzima bila kupumzika, usimfananishe na babu yenu.
Kwamba hawa masheikh wa kirusi?Mpaka mashehe wenu wameanza kuwageuka[emoji16][emoji1787][emoji28]View attachment 2523133
Hahahaha tuliambiwa humu chenchen kimeteketezwa loteMambo yamekuwa si mambo huku [emoji91][emoji91][emoji123][emoji123][emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]View attachment 2523158
Hizo Ni taarifa Kama taarifa nyingine.[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] despite prigozhin 's attempt, the chenchen leader likely still see that " his formal ties to the clemlin and position in the Russian defense ministry are more beneficial than any political relationship with prigozhin could be "according to the institute for the study of war (ISW)[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
Hata ukiweka kila baada ya sekunde,Cha muhimu tu huvunji kanuni na Sheria za nchi ..,haya ni maisha ndugu,kila mmoja anaishi apendavyo!Mtu mmoja ukiweka bandiko KILA baada ya dakika ndio vikosi vyako vitateka miji?
Tena Hao wachache Hasa Ni Mikenya MburulaKwamba hawa masheikh wa kirusi?
Mbona Urusi lenyewe ni Taifa la Kikrist?
Uchina linaisapoti Urusi lenyewe ni Taifa la Mabudha na Mataoist?
Wale Wabelarus ni Waislamu?
North Korea wapo middle east?
India yenyewe ni Ina dini ya kihindu na wanaisapoti Russia.
Yale Mataifa kama Nicaragua, Cuba na Venezuela vipi nayo?
Ni wavaa kobazi?
Unakuja kugundua watu hawaisapoti Urusi kwa misingi ya kidini bali kwa sababu nyinginezo kabisa.
Kuwepo kwa Iran isiwe kigezo maana Serbia pia ipo.
Waafrika wengi tuko nyuma ya Urusi, ukitoa wachache wenye Mtindio wa ubongo sio kwa sababu ya misingi ya kidini bali historia, juhudi za pamoja kufanya Dunia iwe mahari salama na kusapoti asili ya wanadamu.
Akili zako zinawakilisha mashabiki wa yanga na simba nchini hauna tofauti nao kabisaa[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] USA secretary of state Antony blinken expressed firm confidence that Ukraine will archive victory over Russia in the ongoing war[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji298]