This is the America you dearly love and defend Kipanya,how misguided.See how poor it's people are,yet it has military bases all over the World and boasts to be rich.Disgusting and shameful indeed.Labda kachafuka huko Twitter, kwenye battle front vijana wakakamavu wa rais zelensiky wanaendelea kumtoa kamasi [emoji28][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Russia imeingia katika historian,Mlio karibu na zelensky msanueni aache kiburi atafute suruhu. Hivi kweli anaamini ataishinda Urusi kwa siraha za kupewa zawadi?
Basi nakuambia ndugu yangu hata Putin nae walishasema amekufa huyu tunaemuona amefanyiwa colonies 🤣🤣🤣Sina habari kabisa ndugu yangu
Eeeh walishasema hivyo hao ndugu zetu.
Hujachoka kuleta ramani zako za mchongo [emoji28][emoji28][emoji28][emoji95][emoji95][emoji95]In the Kupyansk sector, Russian units completely liberated the village of Gryanikovka to the north of Kupyansk , knocking out the territorial defense formations from the village
[emoji3502]The Ukrainian command at night tried to conduct a counteroffensive on the areas of concentration of the RF Armed Forces in Gryanikovka to return the lost positions.
Fire support was provided by rocket and cannon artillery crews from Dvurechnaya , as well as tactical aircraft from Mirgorod. Russian soldiers repelled the attack
[emoji3502]This night, a vehicle convoy with personnel and military equipment arrived from Grushevka to Kurilovka and Kupyansk-Uzlovoy to strengthen the front lines[emoji95][emoji95][emoji95]
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2522057
Kila mmoja hatak kuwa wa mwanzo kupelekaYaani Mipango wafanye wao
Makubariano Wafanye wao
Kutekeleza Iwe Kimbembe!
Ila Mrusi Dude kubwa Aisee
UK Defence Minster Ben Wallace on the issue of sending tanks to Ukraine: "Many European countries found that their armies do not have serviceable tanks that they can supply"
Hata km watashinda sidhan km raia wa kawaida watajivunia huo ushind kwa sabab wanalipa gharama kubwa mno.[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] USA secretary of state Antony blinken expressed firm confidence that Ukraine will archive victory over Russia in the ongoing war[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji298]
Kumbuka pia warusi takriban laki Moja na nusu wameshachinjwa..,huku nchi ikirudi nyuma kimaendeleo miongo kadhaaHata km watashinda sidhan km raia wa kawaida watajivunia huo ushind kwa sabab wanalipa gharama kubwa mno.
Hebu chukulia mtu ambaye ni mkaazi na mishe zake alikua anafanyia hapo bakhmut ambapo mida hii Wagner na Ukraine wanashindana kupiga mizinga na hatimaye akapata zari mida hii yupo UK amepata hifadh ya ukimbizKumbuka pia warusi takriban laki Moja na nusu wameshachinjwa..,huku nchi ikirudi nyuma kimaendeleo miongo kadhaa
Msimu wa barafu umeisha Ukraine[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] the head of mycolaiv RMA,vitaliy kim, posted a photo of downed missile in the south of Ukraine [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]View attachment 2521390
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app