Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] "we have to double down and we have to continue the really massive support that is necessary that these imperialistic plans of Putin will completely fail" von de layern told the Munich security conference as quoted by AFP [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ac
Afufuke asifufuke..,hiyo haitabadilisha ukweli kwamba super pawer wa kwenye makaratasi kapoteza majenelali zaidi ya 22 Pamoja na elite soldiers kibao kwenye kile alichokiita operation maalum ya kijeshi ya Saa 72 kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unaona sifa ukiambiwa una sifa za ubishi ....mbaya Ni kua kila mtu ashajua we Ni mwehu 😁 hao pro nato wenzio wanataman usingekua upande wao maana unatia aibu na utahira wako
 
Ac

Unaona sifa ukiambiwa una sifa za ubishi ....mbaya Ni kua kila mtu ashajua we Ni mwehu [emoji16] hao pro nato wenzio wanataman usingekua upande wao maana unatia aibu na utahira wako
Yaana huyu jamaa vitu anavyopost vinapingana vyenyewe huwa Kuna wakati anapost kitu baada wiki anapost kingine ukilinganisha unakuta Ni tofauti yaani kuku na Bata[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mfano huyo anakomalia kila siku zaidi ya wanajeshi 140,000 wamechinjwa leo huyo huyo anasema elfu thelathini Tena katoa mpaka link kabisa tujisomee Ila ile ya graph haijawahi kutoa link[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]yaani kipigo Ni kitu kibaya Sana.
 
Polish President Andrzej Duda believes that Russia's special operation in Ukraine will not end this year. He called on Western countries to continue to support Kyiv. Duda believes that Russia is waiting for Ukraine's allies to get tired of military action. The President announced this on the air of the Sky News channel.
russia hana haraka
Hii Statement mnaielewa..?

"Duda believes that Russia is waiting for Ukraine's allies to get tired of military action."

Ndio maana Putin anasema kwamba, serious actions bado hazijaanza hapo Ukraine.

Kutoka kwenye hiyo statement ya Rais wa Poland, maana yake ni kwamba Russia wanasubiri hao west wachoke na Vita ndio yeye Sasa aanze serious actions.
 
Kweli Urusi na lijidude hivi kuuuuubwa yani jamaa wanavyo liongelea kila namna mpaka wanajaa wenyewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Zelensky urges Israel to send "David's Sling" to use "against Goliath"​

MUNICH, Germany - Ukrainian President Volodymyr Zelenskysaid in a speech on Friday that Ukraine still hasn't received the "David's Sling" from Israel to use "against Goliath," but he believes it's just a matter of time before the Israeli government sends it.

The big picture: The "David's Sling" is an Israeli-made air defense system that Ukraine has asked Israel for several times. Despite pressure, Israel has so far rejected most U.S. and Ukrainian requests to provide advanced and defensive weapons to Kyiv.

Axios news
Mlio karibu na zelensky msanueni aache kiburi atafute suruhu. Hivi kweli anaamini ataishinda Urusi kwa siraha za kupewa zawadi?
 
Ac

Unaona sifa ukiambiwa una sifa za ubishi ....mbaya Ni kua kila mtu ashajua we Ni mwehu [emoji16] hao pro nato wenzio wanataman usingekua upande wao maana unatia aibu na utahira wako
Usifikiri Mimi ni mpumbavu kama nyie watetezi wa ufashist anaoufanya Putin,
Huo ujuha mlionao wa kujitoa akili na kuleta propaganda uchwara humu , mtaendelea kuumbuliwa tu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Yaana huyu jamaa vitu anavyopost vinapingana vyenyewe huwa Kuna wakati anapost kitu baada wiki anapost kingine ukilinganisha unakuta Ni tofauti yaani kuku na Bata[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mfano huyo anakomalia kila siku zaidi ya wanajeshi 140,000 wamechinjwa leo huyo huyo anasema elfu thelathini Tena katoa mpaka link kabisa tujisomee Ila ile ya graph haijawahi kutoa link[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]yaani kipigo Ni kitu kibaya Sana.
Hiyo kitu nimekupa ufafanuzi sana,kama haitoshi bwana vunjo kakupa maelezo ya kutosha kuhusu hili hapo juu..,unatakiwa kuwalaumu wazazi wako kwa kushindwa kukupa elimu,Wala huna haja ya kunilaum,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
There is a Russian attack on the village of Yagodnoye, north of Bakhmut; the dead bodies of the AFU soldiers are piled up along the attack line.
Kwani kule bakhumut si tumeshawawazunguka jamanii [emoji28][emoji1787][emoji2]
Kilichobaki si ni kujisalimisha tu??[emoji1787][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
World top ten largest countries
1. Russia | 17.098.242 km²
2. Canada | 9.984.670 km²
3. United States of America | 9.826.675 km²
4. China | 9.596.961 km²
5. Brazil | 8.514.877 km²
6. Australia | 7.741.220 km²
7. India | 3.287.263 km²
8. Argentina | 2.780.400 km²
9. Kazakhstan | 2.724.900 km²
10. Algeria | 2.381.741 km
 
Vile kipanya anavyosikia habari mbaya kutoka Ukraine [emoji1255] [emoji23]
IMG_9125.jpg
 
Back
Top Bottom