FisadiKuu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 8,336
- 13,660
Ulikuwa hujui kumbe. Pole dadanguKumbe NATO ndio ipo vitani na Urusi huko Ukraine ?...🙄🙄
Ulikuwa hujui kumbe. Pole dadanguKumbe NATO ndio ipo vitani na Urusi huko Ukraine ?...🙄🙄
Minato inapashwa vizuri tu… Hatutaruhusu mpate zile haki zenu mnataka. Kama hizo haki unazitaka nenda US ukatafunwe n manigger
[emoji1787]Vile kipanya anavyosikia habari mbaya kutoka Ukraine [emoji1255] [emoji23]View attachment 2521891
[emoji13]Russia imeingia katika historian,
Imepigana na nchi iliyopewa silaha za nchi zote za west na NATO.
Hakuna connection yoyote Happ br ya nilichoandika na nukuu yako kutoka vyanzoZelensky urges Israel to send "David's Sling" to use "against Goliath"
MUNICH, Germany - Ukrainian President Volodymyr Zelenskysaid in a speech on Friday that Ukraine still hasn't received the "David's Sling" from Israel to use "against Goliath," but he believes it's just a matter of time before the Israeli government sends it.
The big picture: The "David's Sling" is an Israeli-made air defense system that Ukraine has asked Israel for several times. Despite pressure, Israel has so far rejected most U.S. and Ukrainian requests to provide advanced and defensive weapons to Kyiv.
Axios news
Amka BOSSnlikua na hope urusi kushinda vita ila nimekuja kujua marekan alikua mbele ya muda sana kuanzia kwenye nord stream Urusi hatashinda hii vita cha kufanya urusi ni aingie vitan na marekan mchezo uishe basi
RUSSIA sio ZIMBABWEUrusi imesema kwa sasa itatumia Airforce ndani ya Ukraine..
Tutegemee ndege nyingi kudondoshwa
Muda utaongeaSawa muda utaongea mzee mm naipenda urusi ila naona hatatoboa hapa mzee
Natamani nimtag ndugu yangu T14 Armata ila acha tu bora nimuache apumzikeTunahangaika kwa manabii haliyakuwa putin anayo dawa ya ufufuo wa mwili na roho.
Huyu bwana amefariki miezi 11 iliopita, ila jana kapewa nyadhifa na vladimir
View attachment 2520956
Haya alisema Elensky mwenyewe kama kwa siku MANAZI wake wanarambishwa udongo kuanzia 100 mpaka 200Kwani wewe ukisema wanajeshi wa Ukraine wapatao 100 wameuwawa huwa unaonesha au unaandika tu maelezo yako??
Hao washapeleka mavifaru yao Sasa wanajua vitachomwa moto hivyo kumfanya mrusi kuwa na soko zuri la silaha. Tafadhali Putin usivichome vyote kamata hata viwili ukampatia mwenyekiti wa mtaa wa bunju avitumie kupambana na panyaroadsKila mmoja hatak kuwa wa mwanzo kupeleka
Yeah,na counteroffensive nyingine ya vijana wakakamavu wa rais zelensiky haiko mbali!Msimu wa barafu umeisha Ukraine
Wakati mwingene tuwe waelewa,hivi bira uhai wa taifa,maendelea yatatoka wapi na yatakuwa na maana gn kama taifa halitakuwepo?Kumbuka pia warusi takriban laki Moja na nusu wameshachinjwa..,huku nchi ikirudi nyuma kimaendeleo miongo kadhaa
Unajua nn maana ya uzalendo na kupigania masirahi ya taifa?,. Ni bora damu kwa masirahi ya taifa,Hata km watashinda sidhan km raia wa kawaida watajivunia huo ushind kwa sabab wanalipa gharama kubwa mno.