Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,422
- 5,597
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ni kipigo tu, hapa atajulikana nani supapawa nani mwehu! Marehemu alikuwa na mdomo sana.Kitaelewaka tu
View attachment 2518738
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Ni kipigo tu, hapa atajulikana nani supapawa nani mwehu! Marehemu alikuwa na mdomo sana.Kitaelewaka tu
View attachment 2518738
🤣 🤣 🤣 kwamba Russia wakati anapiga biti wote nyie hamkusikia? Marekani alifanya nini hata baada ya Russia kusema hataki apandikize majeshi yake hapo Ukraine na Ukraine azingatie mkataba wa Minsk?Sababu ya usalama wake, why Russia hakusolve issue ya Ukraine kama USA alivosolve issue ya CUBA
Unajipapasa mwenyewe
"Vikwazo dhidi ya Urusi ni mzizi wa maovu yote": Chama cha Uhuru cha Austria kinataka ipigwe kura ya maoni kuondoa vikwazo ambavyo ulaya imeiwekea Urusi lakini vinawatesa wenyewe kwa kuongeza gharama za maisha.
Air defence za US bwana[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Putin's bastards staged a massive attack on Zaporozhye. In an hour, 17 enemy landings were recorded in the city - this is the largest number since the beginning of the full-scale invasion. — Secretary of the Zaporozhye City Council
Ondoa udaku huu,729 kuongeza mmoja wamechinjwa ndani ya saa 24 tu.., naona Leo super pawer wa mchongo kajikumbusha kama bado anaweza kurusha makombora.., uzuri mikwara yake haiwarudishi nyuma vijana wakakamavu wa rais zelensiky View attachment 2512422
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
nlikua na hope urusi kushinda vita ila nimekuja kujua marekan alikua mbele ya muda sana kuanzia kwenye nord stream Urusi hatashinda hii vita cha kufanya urusi ni aingie vitan na marekan mchezo uishe basi
Mbna Bank ya BRICS ipo zamni tu. Now wapo kutengeneza currency yaoMkuu, unaongea swala la marekani kuwa mbele ya muda wakati intelegensia zinaonesha marekani na washirika wake wapo nyuma ya muda.
Kuhusu Nord stream kulipuliwa ilikuwa ni baada ya ujerumani kuonesha dalili ya kutaka kuruhu gesi kuendelea kuingia ujerumani na hivyo Marekani akaona Uchumi wa Urusi hautaanguka kma walivyotegemea na badala yake waKalipua hayo mabomba, kitu ambacho hawakutegemea ni nchi nyingi kutoogopa kununua gesi Urusi ikiwemo Asia na kwengine na Opec plus kuwa na Urusi na kufanya madhara walichokifanya kisipate matokeo chanya waliyotegemea.
Uzalishaji wa Ammunition kwa marekani na washirika wake uko nyuma, uchaguzi wa marekani unakaribia kitu ambacho Biden hakutaka kabisa, maana alitaka kumaliza vita mapema kwa kuua uchumi wa Russia ili apate political ground, Serikali za mataifa mengine zinatikisika na bado unasema Marekani yupo mbele ya muda.
BRICS inakaribia kuzindua benki yao, na wanachama wameongezeka, na cha ajabu Saudi Arabia na Uturuki wameapply, na bado unasema Marekani yupo mbele ya Muda.
North Korea na Iran wanatuma silaha kwenda kwenye vita uko Ukrain, na juzi kati China [emoji630] imegundulika inapeleka vifaa uko vitani jambo ambalo Marekani hakulitegemea, na bado unasema Marekani yupo mbele ya muda.
It hurts I'm going to have to put you to 'ignore list' again.Leo Hypersonics 20 zimepiga miundombinu ya Ukraine maana hakuna ADS ya kuzitungua
Makombora hayo hurushwa machache sababu yana gharama
Wamekufa wanajeshi 3000 wa Ukraine katika mashambulizi hayo
Kunguru kama nyie mko 190 ignored, wewe ni fisi namba 191It hurts I'm going to have to put you to 'ignore list' again.
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Tulieni tulieni, mlitaka kukapindua mkakwama baada ya Mwamba kuingilia katiKa dikteta uchwara kengine haka hapa.. eti kanaitamani vita 😀 😀
Lukashenko warns Belarus will join Russia in war if attacked
![]()
sawaUrusi imesema kwa sasa itatumia Airforce ndani ya Ukraine..
Tutegemee ndege nyingi kudondoshwa
Soma hapa itakusaidia ili kujua kwamba ni suala la muda tu kinachofanyika kwa Urusi ni killing softly.Tulieni tulieni, mlitaka kukapindua mkakwama baada ya Mwamba kuingilia kati
Hayo ni maandishi yameandikwa na mtu kwa utashi wake pengine na interest zake. Vipi wewe kwa akili zako( lakini kama unazo) unaonaje?Soma hapa itakusaidia ili kujua kwamba ni suala la muda tu kinachofanyika kwa Urusi ni killing softly.
![]()
NATO Russia military comparison 2026 | Statista
As of 2026, the combined forces of NATO had approximately 3.65 million active military personnel, compared with 1.32 million active military personnel in the Russian military. The collective military capabilities of the 32 countries that make up NATO outnumber Russia in terms of aircraft, at...www.statista.com
Ila wakuu tuache masihara, Urusi anabonda jamani, minato inabondwa huko mpaka huruma.
Jeshi legelege la machoko la US liende nalo likaaibishwe kama lilivyoaibishwa Syria. Minato iko hoiii kwa moto wanaopelekewa..
Sawa mkuu.Hayo ni maandishi yameandikwa na mtu kwa utashi wake pengine na interest zake. Vipi wewe kwa akili zako( lakini kama unazo) unaonaje?