Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]on February 16 2023 another prisoner swap was carried out between Ukraine and Russia. A total of one hundred Ukrainian servicemen and One civilian are returning to Ukraine [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
President Biden To Undergo Monitored Physical Exam

The octogenarian will have to pass a test of his health - the second since January 2021 - before he announces his campaign for a second term.

Following the previous exam, the President had a polyp removed from his colon, and has since had to face voter concerns over his capacity to serve in Washington with 75% of Americans believing he is too old to work in government.

Should he win a second four-year stint in office, he would be 86 by the end of the period, making him 13 years older than the average life expectancy of an American male, according to CDC data.

Subscribe to RT
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] Estonia defense minister Hanno pekvli called on international community to provide Ukraine before Year-end with military support amounting to euro 100 billion including sending a million artillery rounds in shortest term [emoji298][emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji779]️US President Biden Has Departed for his Medical Check at Walter Reed Medical Center

A written summary of the results will be released later on Thursday.

Subscribe to RT
Hata Biden akifa Leo hakuna chochote kitakachoyumba hapo America. ,Hii ndio Raha ya kuongozwa na tahasisi imara kuliko amri ya kichaa mmoja!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Labda kachafuka huko Twitter, kwenye battle front vijana wakakamavu wa rais zelensiky wanaendelea kumtoa kamasi
emoji28.png
emoji16.png


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Baka
Tutazidi kuwachinja tu mpaka waombe poo[emoji16]..,hii ni Jana wamechinjwa mia sita themanini na Tisa kuongeza mmoja!!View attachment 2519143

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
any progress in the front 🤣😂
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] islaer foreign minister Eli Cohen visited bucha in the Kyiv region as part of his first visit to Ukraine since the start of Russia's full scale invasion [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ushindi wa Ukraine ni lazima.., lazima Crimea irudi nyumbani [emoji56][emoji56][emoji56]

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] most Europeans believe in the victory of Ukraine in the war
According to the results of eupinions ,61% of EU citizens believe that the war will end in favor of Ukraine [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
I luve Odessa
Hadi kieleweke
 
Hata Biden akifa Leo hakuna chochote kitakachoyumba hapo America. ,Hii ndio Raha ya kuongozwa na tahasisi imara kuliko amri ya kichaa mmoja!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Rejea utawala wa obama
Rejea utawala wa trump
Kisha maliza na utawala wa babu bden

Utawala wao sio taasisi kama tunavyoaminishwa
Bali mtu aliyepo madarakani wakati huo

Trump aliamua mengi ya kivyake ameondoka biden kapangua

Mfano ishu ya ukuta na mengineyo
 
Hakika umenena
Mkuu,hebu fikiria,unajua satellite ndio zinawapa taarifa maadui juu ya movement ya askari na vifaa vyao,walipo,wanakokwenda na wanachokifanya.Hali hii inawapa maadui nafasi ya kushambulia.
Urusi wanauwezo mkubwa kabisa wa kuharibu satellite ya nchi yoyote hapa duniani,na hasa za Ukraine kwa sababu wako vitani nae,lkn Cha ajabu hawaziharibu.ila Leo ndio wanatoa onyo kua wataziharibu wakitaka.
Baada ya kusoma hapo ndio nikajua kua kumbe Urusi anaipiga Ukraine kwa huruma,kiungwana na kistaarabu sana.
 
Baada ya vita kuisha miaka ya mbeleni kutakua ba siri nyingi sana zitafichuka zinazo chezwa sasa na us and West kwa mgongo wa vita , haiingii kichwani jinsi hela nyingi zinavyo mwagwa Ukraine ,silaha zinazo mwagwa Ukraine zina uchochoro zinapita,bidden mtoto ana husika kwenye silaha.
 
nlikua na hope urusi kushinda vita ila nimekuja kujua marekan alikua mbele ya muda sana kuanzia kwenye nord stream Urusi hatashinda hii vita cha kufanya urusi ni aingie vitan na marekan mchezo uishe basi

Mkuu, unaongea swala la marekani kuwa mbele ya muda wakati intelegensia zinaonesha marekani na washirika wake wapo nyuma ya muda.

Kuhusu Nord stream kulipuliwa ilikuwa ni baada ya ujerumani kuonesha dalili ya kutaka kuruhu gesi kuendelea kuingia ujerumani na hivyo Marekani akaona Uchumi wa Urusi hautaanguka kma walivyotegemea na badala yake waKalipua hayo mabomba, kitu ambacho hawakutegemea ni nchi nyingi kutoogopa kununua gesi Urusi ikiwemo Asia na kwengine na Opec plus kuwa na Urusi na kufanya madhara walichokifanya kisipate matokeo chanya waliyotegemea.

Uzalishaji wa Ammunition kwa marekani na washirika wake uko nyuma, uchaguzi wa marekani unakaribia kitu ambacho Biden hakutaka kabisa, maana alitaka kumaliza vita mapema kwa kuua uchumi wa Russia ili apate political ground, Serikali za mataifa mengine zinatikisika na bado unasema Marekani yupo mbele ya muda.

BRICS inakaribia kuzindua benki yao, na wanachama wameongezeka, na cha ajabu Saudi Arabia na Uturuki wameapply, na bado unasema Marekani yupo mbele ya Muda.

North Korea na Iran wanatuma silaha kwenda kwenye vita uko Ukrain, na juzi kati China [emoji630] imegundulika inapeleka vifaa uko vitani jambo ambalo Marekani hakulitegemea, na bado unasema Marekani yupo mbele ya muda.
 
European commission's sanctions to Russia [emoji116][emoji116]

[emoji1255][emoji298] sanctions against 4 Russian banks and cutting them off from SWIFT [emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mashoga walaini wa Zelensky wanaendelea kutubu katika uwanja wa mapambano, ni kipigo tu. 😀
 
Mkuu, unaongea swala la marekani kuwa mbele ya muda wakati intelegensia zinaonesha marekani na washirika wake wapo nyuma ya muda.

Kuhusu Nord stream kulipuliwa ilikuwa ni baada ya ujerumani kuonesha dalili ya kutaka kuruhu gesi kuendelea kuingia ujerumani na hivyo Marekani akaona Uchumi wa Urusi hautaanguka kma walivyotegemea na badala yake waKalipua hayo mabomba, kitu ambacho hawakutegemea ni nchi nyingi kutoogopa kununua gesi Urusi ikiwemo Asia na kwengine na Opec plus kuwa na Urusi na kufanya madhara walichokifanya kisipate matokeo chanya waliyotegemea.

Uzalishaji wa Ammunition kwa marekani na washirika wake uko nyuma, uchaguzi wa marekani unakaribia kitu ambacho Biden hakutaka kabisa, maana alitaka kumaliza vita mapema kwa kuua uchumi wa Russia ili apate political ground, Serikali za mataifa mengine zinatikisika na bado unasema Marekani yupo mbele ya muda.

BRICS inakaribia kuzindua benki yao, na wanachama wameongezeka, na cha ajabu Saudi Arabia na Uturuki wameapply, na bado unasema Marekani yupo mbele ya Muda.

North Korea na Iran wanatuma silaha kwenda kwenye vita uko Ukrain, na juzi kati China [emoji630] imegundulika inapeleka vifaa uko vitani jambo ambalo Marekani hakulitegemea, na bado unasema Marekani yupo mbele ya muda.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mwache aendelee kujiongopea
 
Back
Top Bottom