Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

😇🤣🤣
1676563330407.png
 
Huyu Jamaa Kawachana Na Huwa Hapepesi Macho

Alexander Lukashenko, akihutubia Magharibi:

"Kama mnataka amani Ukraine tuanze kuongelea amani Ya kesho, na bunduki zitaacha kurushwa, lakini hamtaki hivyo, nyie ndio wahusika wa ongezeko la Vita Machafuko ya leo, watu wanakufa leo, tuachane nayo. Kila kitu kipo. huko kwa hili sasa.Hapana.Hutaki hilo.Na hata sitakuambia-Ulaya iko tayari kwa hili,inajua nini kinaweza kutokea.Wamarekani hawataki hilo.Na waliinamisha Ulaya, wakaiweka ndani. na kufanya chochote wanachotaka nacho."

lexander Lukashenko, addressing the West:

"If you want peace in Ukraine, let's start talking about peace tomorrow. And the guns will stop firing. But you don't want that. You are the perpetrators of the escalation today. People are dying today. Let's stop it. Everything is there for this now. No. You don't want that. And I won't even tell you - Europe is ready for this, it knows what can happen. Americans don't want that. And they tilted Europe, put it in a pose and do whatever they want with it."


Moja wa Marais huru duniani
- Belarus
-Iran
-China
-Nk
-Russia
-US

Haya ndo mataifa huru the rest tunajua nini kinaendelea.
 
Yaani Basi tu kunamuda mwenyewe Nakwazika sana Kwann Jamaa Hatumii Nguvu sana
Yaani uwezo anao na Wanachokoza Wenyewe Twanga Kweli kweli Dunia Itulie
Mkuu,hebu fikiria,unajua satellite ndio zinawapa taarifa maadui juu ya movement ya askari na vifaa vyao,walipo,wanakokwenda na wanachokifanya.Hali hii inawapa maadui nafasi ya kushambulia.
Urusi wanauwezo mkubwa kabisa wa kuharibu satellite ya nchi yoyote hapa duniani,na hasa za Ukraine kwa sababu wako vitani nae,lkn Cha ajabu hawaziharibu.ila Leo ndio wanatoa onyo kua wataziharibu wakitaka.
Baada ya kusoma hapo ndio nikajua kua kumbe Urusi anaipiga Ukraine kwa huruma,kiungwana na kistaarabu sana.
 
Mkuu,hebu fikiria,unajua satellite ndio zinawapa taarifa maadui juu ya movement ya askari na vifaa vyao,walipo,wanakokwenda na wanachokifanya.Hali hii inawapa maadui nafasi ya kishambulia.
Urusi wanauwezo mkubwa kabisa wa kujaribu sateloy ya nchi yoyote hapa duniani,na hasa za Ukraine kwa sababu wako vitani nae,lkn Cha ajabu hawaziharibu.ila Leo ndio wanatoa onyo kua wataziharibu wakitaka.
Baada ya kusoma hapo ndio nikajua kua kumbe Urusi anaipiga Ukraine kwa huruma,kiungwana na kistaarabu sana.
Huwezi kuwa na huruma na mtu anayechinja askari wako kila iitwapo Leo.., Sio kwamba urusi anaipiga ukraine kihuruma,no, urusi ameshatumia resources zake zote tu lakini bado ngoma imedinda!!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Habari kama hizi Hawa ndugu zetu wa NATO tawi la East Afrika sijui kama hua wanazisoma kweli.
Ikiwa kaka Mkuu wa NATO anakula Kona ,unafikiri Ukraine atatoboa kweli?
Ingekua nchi kama Algeria ndio Iko nafasi ya Urusi nadhani NATO wangekusanyana kama nzi kwenye ganda la embe.
 
Habari kama hizi Hawa ndugu zetu wa NATO tawi la East Afrika sijui kama hua wanazisoma kweli.
Ikiwa kaka Mkuu wa NATO anakula Kona ,unafikiri Ukraine atatoboa kweli?
Ingekua nchi kama Algeria ndio Iko nafasi ya Urusi nadhani NATO wangekusanyana kama nzi kwenye kokwa la embe.
Kama ukraine ameweza kumchakaza urusi akiwa peke yake unataka NATO waingilie kufanya kazi gani Tena [emoji16][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom