kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
Unafikiri Mimi ni mpumbavu kama wewe?[emoji1787][emoji28][emoji16]Naona hajaelewa hyo taarifa.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unafikiri Mimi ni mpumbavu kama wewe?[emoji1787][emoji28][emoji16]Naona hajaelewa hyo taarifa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Super pawer wa kwenye makaratasi kaona ngoma ya mambo ya bakhumut yanakuwa machungu,kaona nguvu zote awekeze huko[emoji28][emoji1787][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe usiwe mpumbavu we Ni Kama Nani? Hata waliokuwa nyuma ya Goliath nao wote walionekana wapumbavu.Unafikiri Mimi ni mpumbavu kama wewe?[emoji1787][emoji28][emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Nyingine hii hapa mzidi kufurahi[emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
Na bado mpaka maji muite mmaNyingine hii hapa mzidi kufurahi[emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] last night Russian troops struck Ukraine's capital city of Kyiv and take control of all main road towards Poland [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Habari nyingine hii hapa [emoji16].., endeleeni kufurahi basi[emoji1787][emoji28][emoji116][emoji116][emoji116]Wewe usiwe mpumbavu we Ni Kama Nani? Hata waliokuwa nyuma ya Goliath nao wote walionekana wapumbavu.
Nawaletea nyingine shekhe,furahini basi[emoji16][emoji1787][emoji28][emoji116][emoji116]
Ukewenza anamalizwa huku[emoji23][emoji23]
Umeanza kuleta ushogaIla hajamzidi baba na mamayo
Ila hii SMO ilikua na vioja sana mwanzoniView attachment 2135881This legendary Ukrainian fighter jet pilot shot down 10 Russian enemy aircrafts. His nickname is "Ghost of Kyiv".
Wanaendelea na propaganda zao kama walivyozoea[emoji2957][emoji28][emoji1787]BBC Hi taarifa hawakuiona?
View attachment 2519437![]()
Urusi leo yafanya mashambulizi makubwa Ukraine - BBC News Swahili
Urusi ilirusha makombora 32 mapema leo, Jeshi la Anga la Ukraine lilisema. Nusu ya makombora hayo yalidunguliwa.www.bbc.com
Mwisho wa hii movie ni Russia kufirisika kabisa kiuchumi na hatimaye ndio utakuwa mwisho wa urais wa Putin pia Russia atalazimishwa kulipa War Reparations kwa Ukraine.
Russia hana miujiza ya kuweza kumuokoa dhidi ya kuporomoka kwa uchumi wake kwa sababu kuanzia sasa hawezi kuuza chochote nje baada ya kuondolewa kwenye mfumo wa malipo wa SWIFT na pia hawaruhusiwi kutumia dola.
Wewe unaejua hebu tuambie hizo tunnel zipo mahala gani? Na zimeanzia wapi hadi wapi?Tatizo unaona ile miji ni vijiji tu hamjui kama kuna under ground tunnel nyingi sanaaa ni network kabisa. Kwa speed Urusi inayoenda yao kwa wanaojua basi wanajua sio nyinyi mlotaawalia na Hollywood kichwani.
Kwaiyo Tz ikivamiwa na USA & NATO China itaingilia vita kwa kutuma askari na silaha .....?Wewe jamaa bado sana kuijua dunia. Propaganda za wakoloni zimekula ubongo wako.
Kuizunguka bakhmut ni sawa na kwenda nchi ya AhadiSurrounded mwezi wa tatu huu wana saround kitu gani hawafiki tu