Mzungu Twiga
Member
- Oct 25, 2019
- 30
- 47
Pro NATOwametutukana Sana Putin kaamua kuweka heshima wote wamekimbiaNataka niongee na ubalozi wa Russia kwanza Puttin awe mgeni rasmi then nitataoa tangazo hapa Jf wapi warusi tutapokutania kujipongeza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pro NATOwametutukana Sana Putin kaamua kuweka heshima wote wamekimbiaNataka niongee na ubalozi wa Russia kwanza Puttin awe mgeni rasmi then nitataoa tangazo hapa Jf wapi warusi tutapokutania kujipongeza.
Hii mada ipewe heshima yake. Kama unaleta hoja leta tusome huwezi tumia maneno yaleyale unayotumia kunywea chimpumuacha kupiga domo punguza mdomo kijana hamna watoto humu,acha urusi wafanye yao.
Wewe nimekuomba ulete ushahidi badala yake unazidi kuleta ngonjera tu hapa,leta ushahidi kwanza ya Wanajeshi wa Ukraine wakivaa nguo za kiraia na kula kona kama ulivyosema ili tuendelee na mengine,unless umeamua tuendelee na porojo zenu za "kiev imegeuka kuwa majivu tangu juzi"wenzako wanatafuta huruma wewe unawafaria nato waliapa kuingia vitani iwapo ukraine itavamiwa ha ha ha ha ha wako wapi? Zelensky yupo za ubeleji kaficha kwe ofisi za umoja wa ulaya ha ha ha ha mavikwazo hayafanyi kazi
nakukumbusha propaganda ni silaha muhimu niliambia hiki ni kifa cha urusi na mzungu mmoja huko twitaVita ya Iraq wanajeshi wa allies hawakuwahi kukosa mafuta wala kushambuliwa na Airforce ya Iraq. Hapa Russia anapigwa columns zake za silaha zinaharibiwa, huwezi kuwa na air cover alafu eti misafara yako inapigwa na ndege za adui hata ziwe drones.
Vita inapigwa kwa malengo. In medieval times France na England ziliwahi pigana kwa muda wa miaka 100. It depends na jeshi lilijipanga vipi
Itafika wakati watakubali tuBoris Johnson wa Uingereza asema hakuna nchi yoyote ya NATO inayofikiria kuseti No-fly zone (kuzuia ndege kuruka) ktk anga la Ukraine. Kwani kufanya hivyo kutapelekea vita kati ya Russia na NATO. Hayo kajibiwa Zelensky baada ya kuomba msaada huo kwa NATO ili kuzuia mashambulizi ya anga yafanywayo na jeshi la Russia
View attachment 2135776
Wajinga kabisa,Nini kilitokea wakati Russia amejenga umoja na Cuba na kupeleka vifaa vya kijeshi huko?Unajua USA alifanya nini?Nani watulie sasa? Yaani wewe vita na mauaji havikusumbui, kinachokusumbua ni nani anaua?
Endapo ungelaani vita wakati USA anavamia na ukalaani vita wakati Urusi anavamia ungeonekana hupendi mauaji.
Ukitaka kuamini assume umesikia USA kamuunga mkono Russia kuimalizia Ukraine na kampa vifaa na jeshi lake. Utashangilia ukiamini USA kasalimu amri bila kujali hilo balaa la vifo kwa watu wa Ukraine.
Nadhani propaganda imekukamata na unakuja hapa nakuamini kabisa hizo story. Vita unashinda lakini lazima hasara upate ni kawaida tu. Kumbuka Russia waliwasaidia Europe kuwatoa Hitler hao England na France walikuwa maji shingoni na zawadi yake kuchukuwa East Germany nadhani kasome history.Vita ya Iraq wanajeshi wa allies hawakuwahi kukosa mafuta wala kushambuliwa na Airforce ya Iraq. Hapa Russia anapigwa columns zake za silaha zinaharibiwa, huwezi kuwa na air cover alafu eti misafara yako inapigwa na ndege za adui hata ziwe drones.
Vita inapigwa kwa malengo. In medieval times France na England ziliwahi pigana kwa muda wa miaka 100. It depends na jeshi lilijipanga vipi
ha ha ha hii video game imetengenezwa na dogo anaitwa tamga arma youtubu cha ajabu ndege zilizotunguliwa picha hatukuona ha haView attachment 2135881This legendary Ukrainian fighter jet pilot shot down 10 Russian enemy aircrafts. His nickname is "Ghost of Kyiv".
Kama kwa yale mabomu ya jana bado imesimama I salute the president. Ana mbinu za kipekee. Jana mida ya saa sita nilikuwa nafuatilia nikaona milipuko mikubwa na mingine ya kawaida nikajua kama amelenga vilipo vikosi ndo basi. Sasa kama bado vita vinaendelea SALUTE KWA UKRAINE. sasa na wao wangeweza ishambulia Moscow sijui ingekuaje.Na kesho utaamka utaikuta ipo imesimama Mkuu,hili wala sina shaka nalo.Sasa hivi tunaanza kuambiwa na kina Morogoro kaskazini wanasubiri kwanza watu waondoke Kiev lakini watu hawaodoki kwa kiwango hicho walichotegemea,tusubirie kuletewa sababu zingine na hawa Pro Russi wa Jf kwa nini Kiev haijawa majivu.
Ukrainian soldier shows what the Russian military ration consists of.
Putin sends Russian troops with food that expired 7 years ago.😂😂😂
Kama kwa yale mabomu ya jana bado imesimama I salute the president. Ana mbinu za kipekee. Jana mida ya saa sita nilikuwa nafuatilia nikaona milipuko mikubwa na mingine ya kawaida nikajua kama amelenga vilipo vikosi ndo basi. Sasa kama bado vita vinaendelea SALUTE KWA UKRAINE. sasa na wao wangeweza ishambulia Moscow sijui ingekuaje.
Hpa ndipo unafail Mkuu,tuwekee link tujionee wenyewe,siyo kutuletea picha unazitoa huko googleView attachment 2135885
urusi imeendelea kujibebe zana za kimarekani zilizotelekwa na ukraine
Zile bomu hazikuwalenga vikosi vya wapiganaji?Jana kiev urusi ilibiga tower hakukuwa na operation za ardhini lile bomu lilipigwa eneo flani ndaji ya ukraine
Halafu ikawaje baada ya kupigwa? Kiev ikageuka majivu au bado ipo na wanajeshi wanaendelea kutoa upinzani?Jana kiev urusi ilibiga tower hakukuwa na operation za ardhini lile bomu lilipigwa eneo flani ndaji ya ukraine
Aliyekwambia hivyo uko Twitter ni mtu sio media. Uelewa wa mtu unategemeana, hakuna mtu mwelewa na ashindwe chuja vyanzo vya taarifa. Ni sawa na wale wanaopost picha za Zelensky akikagua majeshi mwaka jana kwamba ni za sasa. Zile picha niliziona the same day ameenda kukagua majeshi, akapita kwenye trench uko frontline ya Donbass. Leo hii watu wanaamini ni za vita hii.nakukumbusha propaganda ni silaha muhimu niliambia hiki ni kifa cha urusi na mzungu mmoja huko twitaView attachment 2135882hapa putin anapigwa na media za magharibu