LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
are you foolish ! Putin kawaonya mara ngapi kawasihi mara ngapi kuhusu hatua wanazotaka kuchukua kujiunga na Nato?, Kasogeza jeshi mpkani kwa kuonyesha usiriasi bado wanaleta kiburi, Ukraine ndo wametangaza vita kwa kukiuka makubaliano na Urusi kwanin alete adui mlangoni kwake,
Ungekuwa unamiliki hata nyumba ungeelewa kinachoendelea, yani we una mali nyingi alafu jirani yako analeta wahalifu kwake fika unajua lazima target uwe ni wewe ivi uyo jirani yako utamwacha umkenulie meno

Bora wa mbali maana utamuona uyo adui akija ata jirani yako atakuambia namuona adui yako anakuja
I never was foolish. I won't call you one to justify my opinion. Ukraine is a free state wana haki ya kufanya chochote kile wanachopendezwa nacho.
 
You see the big boy. Haya NATO na USA waweke majeshi yao itakuwa vita kati ya Russia china na USA NATO hapo sijui itakuwaje. Naona wananchi wanaojaribu kurusha risasi uko Ukraine Majumba yanaharibiwa kabisa utafikiri Syria.

View attachment 2135923

View attachment 2135926
The issue is not that Putin is smart but our leaders are dumb😅~ Mmarekani pekee asie na vinasaba vya unafiki
 
I never was foolish. I won't call you one to justify my opinion. Ukraine is a free state wana haki ya kufanya chochote kile wanachopendezwa nacho.
Sawa hata jirani yako ana uhuru wa kufanya atakacho ila sio kuleta mateja na vibaka eneo ambalo mnashea compound. Wanaweza kubaka watoto wako ama kuiba vitu kwako. Ni hatari kwako hata kama yeye kwake ni safi.

Uhuru ni haki ya kila mtu ila uhuru usilete kero kwa mwenzio. Kinyume na hapo ni uswahili!
 
wakatu russia ikiendelea ipiga ukraine na SUPERPOWERS wanaendelea kumdunda urusi kiuchumi 👇👇👇👇👇👇👇👇👇vikwazo hivi vitapelekea mamilion ya russians kukosa kazi tena zenye salaries za maana.

Ukraine conflict: ExxonMobil and Boeing take action over Russia ties​

Apple to halt sales and limit services in Russia​

Kwahiyo urusi na Ukraine wanashare territory?
 
Si wamepakana na Russia mzee au hujui enzi za USSR Ukraine ilikuwa sehemu ya Russia?
3799F5EF-91C0-4FFC-9F98-0FE49E3C012A.jpeg

Tusiandikie wino hapo picha iko wazi
 
wakatu russia ikiendelea ipiga ukraine na SUPERPOWERS wanaendelea kumdunda urusi kiuchumi 👇👇👇👇👇👇👇👇👇vikwazo hivi vitapelekea mamilion ya russians kukosa kazi tena zenye salaries za maana.

Ukraine conflict: ExxonMobil and Boeing take action over Russia ties​

Apple to halt sales and limit services in Russia​

Hakuna Jipya
 
Nawapa mbinu ya medani Ukraine,wagawanyike kwenye vikosi vidogo vidogo vya watu wasiozidi 30 na watawanyike mitaa ya mijini wakiwa na silaha za kawaida achana na mavifaru..

Wawaache Russia waingie mjini na migari yao nk ,sasa inayobakia ni ambush na gorrila war huku wakiungwa mkono na Raia wao.

Watawamaliza hao pimbi wa Russia na kuyatia moto magari yao maana ukimiminiwa risasi huwezi kimbia na hayo magreda na makatapila..

Simple as that,ila wakijidanganya kujitundika kwenye battalion za watu wengi ndio hivyo ni rahisi kuwa identified na Warusi na kushambuliwa kwa mabomu na kuuwawa kwa wingi kama Jana wameuwawa wanajeshi 70 at par..

Hiyo mbinu hapo juu ni ngumu kwa Russians na ni mapambano ya Usiku mitaani.
unafaa kua mshauri wa jeshi ila kupitia Forum kama hv kongole[emoji122][emoji23][emoji23]
 
I never was foolish. I won't call you one to justify my opinion. Ukraine is a free state wana haki ya kufanya chochote kile wanachopendezwa nacho.
Your opinion is Dum

Your opinion is Dum* as Ffk Uhuru upo Mars uko hapa duniani uhuru with limitations ilo unapaswa kujua, Uhuru ndio ila usihatarishe Usalama wa mwingine,

Mfano umenunua Ak47 yako we kwasababu unauhuru unaamua kuiliza tuu mara umegeukia mashariki mara magharibi unailiza tu, Nakuonya kuwa makini mi nipo kusini huku sina baya na wewe, we unaleta dharau "nipo huru ikiwezekana we toka uko kusini mi nilize Ak 47 yangu ukitaka nawe si ukanunue yako" unafikiri kinachofuata nini ilihali mi ninazo nyingi yani kitendo cha kuanza kuziliza upande wangu mi nakufumua kweli .

Hata watoto wakiwa wanacheza ikatokea chokochoko mmoja mstaarabu anaechokozwa ataenda kwa wakubwa na kuwaambia unamuona flani mchokozi nikimpiga usiseme nimemuonea kitakachofuata ni kipigo heavy
 
wakatu russia ikiendelea ipiga ukraine na SUPERPOWERS wanaendelea kumdunda urusi kiuchumi 👇👇👇👇👇👇👇👇👇vikwazo hivi vitapelekea mamilion ya russians kukosa kazi tena zenye salaries za maana.

Ukraine conflict: ExxonMobil and Boeing take action over Russia ties​

Apple to halt sales and limit services in Russia​

Huu muda Huawei mzee Apple wafie mbele
 
are you foolish ! Putin kawaonya mara ngapi kawasihi mara ngapi kuhusu hatua wanazotaka kuchukua kujiunga na Nato?, Kasogeza jeshi mpkani kwa kuonyesha usiriasi bado wanaleta kiburi, Ukraine ndo wametangaza vita kwa kukiuka makubaliano na Urusi kwanin alete adui mlangoni kwake,
Ungekuwa unamiliki hata nyumba ungeelewa kinachoendelea, yani we una mali nyingi alafu jirani yako analeta wahalifu kwake fika unajua lazima target uwe ni wewe ivi uyo jirani yako utamwacha umkenulie meno

Bora wa mbali maana utamuona uyo adui akija ata jirani yako atakuambia namuona adui yako anakuja
Wacha Mrusi amnyooshe huyo mpumbavu,ashike adabu.
 
Your opinion is Dum

Your opinion is Dum* as Ffk Uhuru upo Mars uko hapa duniani uhuru with limitations ilo unapaswa kujua, Uhuru ndio ila usihatarishe Usalama wa mwingine,

Mfano umenunua Ak47 yako we kwasababu unauhuru unaamua kuiliza tuu mara umegeukia mashariki mara magharibi unailiza tu, Nakuonya kuwa makini mi nipo kusini huku sina baya na wewe, we unaleta dharau "nipo huru ikiwezekana we toka uko kusini mi nilize Ak 47 yangu ukitaka nawe si ukanunue yako" unafikiri kinachofuata nini ilihali mi ninazo nyingi yani kitendo cha kuanza kuziliza upande wangu mi nakufumua kweli .

Hata watoto wakiwa wanacheza ikatokea chokochoko mmoja mstaarabu anaechokozwa ataenda kwa wakubwa na kuwaambia unamuona flani mchokozi nikimpiga usiseme nimemuonea kitakachofuata ni kipigo heavy
Tatizo mme kariri
 
Back
Top Bottom