LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sasa hivi ukienda site ya CNN wamebadili gear wamejaza picha za watoto Ukraine wanalazimisha kuonesha watu kuwa Russia wanauwa watoto wanatumia nguvu sana kuaminisha watu wamejaza picha za vichanga uhalisia wanajuwa sio hivyo wanatafuta huruma za watu. Hawa CNN ndio maana Trump aliwaita fake. Siku hizi hawa report ila wanatoa maoni yao na ukiona mtu kaalikwa basi ujuwe ana mawazo kama yao wamekuwa kama TBC tu kama sio kada huitwi kumbe tulikuwa tunawalaumu TBC bure tu.
Achana na kuangalia CNN, BBC, FOX, Al Jazeera. Huwezi kupata news ya uhakika.

Baada ya muda watatulia tu. Wenyewe waendelee kutunga story Putin anagawa kipogo.
 
Waafrika walalamika kubaguliwa na mamlaka za Ukraine wasiondoke Ukraine, yasema Newyork Times
 
kiev imezungukwa kila upande kuna raia wengi wanabidi watoke kwanza baadhi wanajeshi wa ukraine wanavaa kirai na kura kona
Naomba niwekee hapa ushahidi wa haya unayoyasema ,kila nikikumbuka juzi ulituambia Kiev iko mikononi mwa Russia,napata ukakasi kidogo kuyaamini haya uayoyaongea sasa hivi Mkuu. Ngoja nimuulize Tsh kama Kiev bado haijawa majivu mpaka sasa hivi March 2 tuliyoambiwa ndiyo deadline.
 
Achana na propaganda za huyu mduanzi.
Kama Ukraine inaisumbua Russia,kama NATO ikiingilia kati Warusi wangeomba poo .Sanasana Putin atakimbilia KuActivate Nuclear,mikwara ya kizamani!
Kitendo cha Ukraine kuhold mpaka sasa wanahitaji pongezi haswa,ni Wanaume wa shoka,ile mikwara ya Putin kabla ya vita imekwisha,kadhalilika sana hata ajitutumue sasa hivi kuwabomb lakini tayari tushajua ni mkate wa Boflo mbele ya kikombe cha chai.Huyu ndiyo aje kupigana na NATO
 
I agree with you humu kuna baadhi ya amateurs wanafanya mtazamo kwa kushabikia nchi fulani. Urusi kaonesha performance mbaya sana ukizingatia anapigana na competitor mdogo. Zile columns za magari ya jeshi zinazoenda bila air cover, kukosa supplies, kupigana bila kwanza kuharibu airforce ya adui na viwanja vyake, etc.

Urusi hajanishawishi kama anaweza wage an all out war with NATO. Hata asipowekewa vikwazo akawa na uchumi uleule na support kubwa kwake ila uwezo wake kwenye field ni hauridhishi. Unapigana na jirani, alafu some of your troops wanakosa mafuta wanatelekeza silaha. Ukisafiri 10,000 km itakuaje si majeshi yanakuwa isolated.

Tatizo la Urusi ni logistics. Vita na Japan napo Urusi ilifeli kufanya mobilization ya wanajeshi na silaha kutoka central na Western kwenda far East. Vita ya kwanza walikuwa poor hivihivi walipigwa na Ujerumani karibia battle zote, ila Ujerumani ya WW1 ilikuwa inapiga hakuna mfano. Vita ya pili ndio walifanya mass production pale Stalin alipodai "Quantity has a quality all its own" wakatoa units nyingi za silaha ila ubora wa kawaida na walishinda kwa hili.

Wanajeshi wa Urusi kufa sana haiwatishi kivile. Vita zao zote huwa wanakufakufa. Nchi inayoogopa zaidi wanajeshi kufa ni Israel

Kwa kawaida kwanza tukubali Russia wanajua nini wanafanya kuliko sisi, zile misafara ya gari zao jana kutembea umbali ule unafikiri hawakufanya assessment ya kwamba nini kinaweza kutokea? Mbona misafara imefika salama? tujue kwamba kuna wataalamu zaidi wa mambo ya kivita huko Russia kuliko sisi tunavyosoma taarifa mitandaoni.

Nadhani utakubali kwamba Russia haikutumia nguvu kubwa sana wakati wa uvamizi kwa Ukraine ilitumia nguvu kidogo na silaha ambazo sio nzito sana, ila baada ya mazungumzo kufeli na kuzagaa propanganda mitandaoni kwamba wanajeshi wao wanakufa sana hapo ndio wakawa serious, mara taarifa kwamba Russia imeshindwa kuingia Kyiv, sasa nini kimewezekana mbona wako Kyiv na jeshi la Ukraine halionekani lilipo.

Kwa mtazamo wangu ni kwamba Russia LABDA walitaka wafanye uvamizi mdogo ili kuwavuta Ukraine kwenye mazungumzo ila walipoona mazungumzo yamefeli na Rais wa Ukraine kasaini kujiunga EU hapo ndio kaamua kuwa serious.

wewe ni shahidi nini kimetokea, Ukraine leo hamna habari ya kuandikwa kuhusu jeshi la Ukraine kila unapoangalia wanaongelea heavy missiles without resistance yyte kutoka jeshi la Ukraine na Russia wameanza kutumia heavy missiles zenye high accuracy kitu ambacho mwanzo hawakufanya.

Kama ulifuatilia ule mgogoro wa juzi juzi wa Israel na Hamas, Israel toka inaanza ilikua inatumia silaha nzito zenye high accuracy toka mwanzo na walikua wanafanya vitu ambavyo Russia anafanya sasa kama kutoa taarifa kwamba atapiga sehemu flan mda flan hivyo wananchi waondoke.

Kwa kuangalia kama Russia wangetumia nguvu hii toka mwanzo wa Uvamizi unadhani Ukraine ingeweza kuwithstand vita mda wote huu?

Mda huo huo NATO wameshamaliza vikwazo vyao kuweka na wamesema hawapeleki jeshi Ukraine na hawaweki No fly zone kwa sababu italeta mtafaruku direct na Russia.

Hao wote wanajuana uwezo wa kivita acha sisi tunaosoma taarifa wanazoamua kurelease wao, leo hii unaskia Russia au US kila mmoja ana nuclear warhead 5000+ hizo ni taarifa wanazoamua kuachia hadharani ila deep inside si ajabu kila mtu ana zaidi ya 10,000+.

Leo hii utakuta watu wanasema Russia hakutegemea vikwazo vikubwa namna hiyo anafikiri washauri wa Putin hawawezi kufanya analysis za nini NATO zitafanya mara wakishaanza kuivamia Ukraine na watatokaje.

Kikubwa ninachounga mkono ni kwamba kila mtu ana mtazamo tofauti kuhusu hii vita na kila mtu ana upande anaotaka ushinde kwa sababu zake binafsi either mapenzi juu ya nchi/uhasama/chuki/ au vyovyote lakini hiyo isipelekee watu wabishane kwa matusi, hoja/mitazamo ndio mpango.
 
Sasa hivi ukienda site ya CNN wamebadili gear wamejaza picha za watoto Ukraine wanalazimisha kuonesha watu kuwa Russia wanauwa watoto wanatumia nguvu sana kuaminisha watu wamejaza picha za vichanga uhalisia wanajuwa sio hivyo wanatafuta huruma za watu. Hawa CNN ndio maana Trump aliwaita fake. Siku hizi hawa report ila wanatoa maoni yao na ukiona mtu kaalikwa basi ujuwe ana mawazo kama yao wamekuwa kama TBC tu kama sio kada huitwi kumbe tulikuwa tunawalaumu TBC bure tu.
Mkuu Kiev ishakuwa majivu?
 
FB_IMG_1646195045345.jpg
No caption needed.
 
Yupo hapa mleta update za kinachoendelea,lakini clip kama hii hawezi kukuletea kamwe,huwa nacheka anavyopretend kuwa neutral
Nyamizi umeamka sasa. Vipi naona usiku wa leo umefika kileleni maana unataka kujaza page wewe pekee yako.

Vipi G-Spot iliguswa!?
 
Naomba niwekee hapa ushahidi wa haya unayoyasema ,kila nikikumbuka juzi ulituambia Kiev iko mikononi mwa Russia,napata ukakasi kidogo kuyaamini haya uayoyaongea sasa hivi Mkuu. Ngoja Tsh Kiev bado haijawa majivu mpaka sasa hivi March 2 tuliyoambiwa ndiyo deadline.
Kumekucha mkuu.
Jana niliona mabomu mazito nikaamini sasa imekwisha nikasalimu amri. Vp bado Kiev imesimama tu 😲?
 
Kwa kawaida kwanza tukubali Russia wanajua nini wanafanya kuliko sisi, zile misafara ya gari zao jana kutembea umbali ule unafikiri hawakufanya assessment ya kwamba nini kinaweza kutokea? Mbona misafara imefika salama? tujue kwamba kuna wataalamu zaidi wa mambo ya kivita huko Russia kuliko sisi tunavyosoma taarifa mitandaoni.

Nadhani utakubali kwamba Russia haikutumia nguvu kubwa sana wakati wa uvamizi kwa Ukraine ilitumia nguvu kidogo na silaha ambazo sio nzito sana, ila baada ya mazungumzo kufeli na kuzagaa propanganda mitandaoni kwamba wanajeshi wao wanakufa sana hapo ndio wakawa serious, mara taarifa kwamba Russia imeshindwa kuingia Kyiv, sasa nini kimewezekana mbona wako Kyiv na jeshi la Ukraine halionekani lilipo.

Kwa mtazamo wangu ni kwamba Russia LABDA walitaka wafanye uvamizi mdogo ili kuwavuta Ukraine kwenye mazungumzo ila walipoona mazungumzo yamefeli na Rais wa Ukraine kasaini kujiunga EU hapo ndio kaamua kuwa serious.

wewe ni shahidi nini kimetokea, Ukraine leo hamna habari ya kuandikwa kuhusu jeshi la Ukraine kila unapoangalia wanaongelea heavy missiles without resistance yyte kutoka jeshi la Ukraine na Russia wameanza kutumia heavy missiles zenye high accuracy kitu ambacho mwanzo hawakufanya.

Kama ulifuatilia ule mgogoro wa juzi juzi wa Israel na Hamas, Israel toka inaanza ilikua inatumia silaha nzito zenye high accuracy toka mwanzo na walikua wanafanya vitu ambavyo Russia anafanya sasa kama kutoa taarifa kwamba atapiga sehemu flan mda flan hivyo wananchi waondoke.

Kwa kuangalia kama Russia wangetumia nguvu hii toka mwanzo wa Uvamizi unadhani Ukraine ingeweza kuwithstand vita mda wote huu?

Mda huo huo NATO wameshamaliza vikwazo vyao kuweka na wamesema hawapeleki jeshi Ukraine na hawaweki No fly zone kwa sababu italeta mtafaruku direct na Russia.

Hao wote wanajuana uwezo wa kivita acha sisi tunaosoma taarifa wanazoamua kurelease wao, leo hii unaskia Russia au US kila mmoja ana nuclear warhead 5000+ hizo ni taarifa wanazoamua kuachia hadharani ila deep inside si ajabu kila mtu ana zaidi ya 10,000+.

Leo hii utakuta watu wanasema Russia hakutegemea vikwazo vikubwa namna hiyo anafikiri washauri wa Putin hawawezi kufanya analysis za nini NATO zitafanya mara wakishaanza kuivamia Ukraine na watatokaje.

Kikubwa ninachounga mkono ni kwamba kila mtu ana mtazamo tofauti kuhusu hii vita na kila mtu ana upande anaotaka ushinde kwa sababu zake binafsi either mapenzi juu ya nchi/uhasama/chuki/ au vyovyote lakini hiyo isipelekee watu wabishane kwa matusi, hoja/mitazamo ndio mpango.
Mtaandika maneno mengi kujustfy jinsi Putin alivyodharirishwa na mtoto mdogo lakini haiondoi ukweli kuwa kadharirishwa,hadi akapaniki kuingiza maswala ya Nuklia,hizo silaha nzito kwa nini hakuzi address kuzitumia kwanza badala yake akakimbilia kwenye mkwara wa kutumia Nyuklia?
Tunajua ukiwa jitu kubwa na ukapewa upinzani na mtu unaemzidi kwa kila kitu,Credi itakwenda kwa yule mdogo,uwanja na wake sasa ashushe hiyo mvua ya mabomu lakini keshadharirika.
 
Kitendo cha Ukraine kuhold mpaka sasa wanahitaji pongezi haswa,ni Wanaume wa shoka,ile mikwara ya Putin kabla ya vita imekwisha,kadhalilika sana hata ajitutumue sasa hivi kuwabomb lakini tayari tushajua ni mkate wa Boflo mbele ya kikombe cha chai.Huyu ndiyo aje kupigana na NATO
wenzako wanatafuta huruma wewe unawafaria nato waliapa kuingia vitani iwapo ukraine itavamiwa ha ha ha ha ha wako wapi? Zelensky yupo za ubeleji kaficha kwe ofisi za umoja wa ulaya ha ha ha ha mavikwazo hayafanyi kazi
 
Mtaandika maneno mengi kujustfy jinsi Putin alivyodharirishwa na mtoto mdogo lakini haiondoi ukweli kuwa kadharirishwa,hadi akapaniki kuingiza maswala ya Nuklia,hizo silaha nzito kwa nini hakuzi address kuzitumia kwanza badala yake akakimbilia kwenye mkwara wa kutumia Nyuklia?
Tunajua ukiwa jitu kubwa na ukapewa upinzani na mtu unaemzidi kwa kila kitu,Credi itakwenda kwa yule mdogo,uwanja na wake sasa ashushe hiyo mvua ya mabomu lakini keshadharirika.
G-spot vipi. Naona leo unaraha sana.
 
Kumekucha mkuu.
Jana niliona mabomu mazito nikaamini sasa imekwisha nikasalimu amri. Vp bado Kiev imesimama tu 😲?
Na kesho utaamka utaikuta ipo imesimama Mkuu,hili wala sina shaka nalo.Sasa hivi tunaanza kuambiwa na kina Morogoro kaskazini wanasubiri kwanza watu waondoke Kiev lakini watu hawaodoki kwa kiwango hicho walichotegemea,tusubirie kuletewa sababu zingine na hawa Pro Russi wa Jf kwa nini Kiev haijawa majivu.
 
Nadhani CNN wamesha ku brainwash hayo mambo ya air cover wewe umeona wapi hawana kweli unataka kuniambia Makamanda wa Russia hawajui vita vinapiganwa namna gani? Kama hawana air cover kwanini Ukraine jana wameomba UK na USA kufunga anga, unajuwa jibu walilopewa? No hatuwezi kufunga anga ni hatari. UK Prime minister tena alimjibu yule mama nakwambia ukweli tu hilo ni gumu kufanya litaleta balaa zaidi. Hivi mnasahahu vita vya Iraq ilikuwa jumuiko kubwa la nchi kuwahi kutokea pamoja na walikuwa superior air power lakini 43 days walipigana.
Vita ya Iraq wanajeshi wa allies hawakuwahi kukosa mafuta wala kushambuliwa na Airforce ya Iraq. Hapa Russia anapigwa columns zake za silaha zinaharibiwa, huwezi kuwa na air cover alafu eti misafara yako inapigwa na ndege za adui hata ziwe drones.

Vita inapigwa kwa malengo. In medieval times France na England ziliwahi pigana kwa muda wa miaka 100. It depends na jeshi lilijipanga vipi
 
Back
Top Bottom