Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kupiga domo punguza mdomo kijana hamna watoto humu,acha urusi wafanye yao.I agree with you humu kuna baadhi ya amateurs wanafanya mtazamo kwa kushabikia nchi fulani. Urusi kaonesha performance mbaya sana ukizingatia anapigana na competitor mdogo. Zile columns za magari ya jeshi zinazoenda bila air cover, kukosa supplies, kupigana bila kwanza kuharibu airforce ya adui na viwanja vyake, etc.
Urusi hajanishawishi kama anaweza wage an all out war with NATO. Hata asipowekewa vikwazo akawa na uchumi uleule na support kubwa kwake ila uwezo wake kwenye field ni hauridhishi. Unapigana na jirani, alafu some of your troops wanakosa mafuta wanatelekeza silaha. Ukisafiri 10,000 km itakuaje si majeshi yanakuwa isolated.
Tatizo la Urusi ni logistics. Vita na Japan napo Urusi ilifeli kufanya mobilization ya wanajeshi na silaha kutoka central na Western kwenda far East. Vita ya kwanza walikuwa poor hivihivi walipigwa na Ujerumani karibia battle zote, ila Ujerumani ya WW1 ilikuwa inapiga hakuna mfano. Vita ya pili ndio walifanya mass production pale Stalin alipodai "Quantity has a quality all its own" wakatoa units nyingi za silaha ila ubora wa kawaida na walishinda kwa hili.
Wanajeshi wa Urusi kufa sana haiwatishi kivile. Vita zao zote huwa wanakufakufa. Nchi inayoogopa zaidi wanajeshi kufa ni Israel
Nikweli kabisaaThe Ukrainian positions captured today in the Volnakhovsky direction.
HIZI HABARI ZOTE HUWEZI KUZIPATA SKY,BBC, AL JAZEERA, SIJUI CNN HUKO UTAPATA ZA UKRAINE TU
View attachment 2135622
Nataka niongee na ubalozi wa Russia kwanza Puttin awe mgeni rasmi then nitataoa tangazo hapa Jf wapi warusi tutapokutania kujipongeza.Wapii tunafanyia mkuu
Jamaa wanazidi kumsaliti ukraine
kumbe yanasomwa na ukraineManeno ya askari wa Urusi yasomwa UN na balozi wa Ukraine wa Umoja huo ,kabla ya askari huyo kuuwawa vitani:
![]()
Russian soldier’s alleged text to his mother: ‘We’re targeting civilians’
Ukraine's ambassador to the UN reads out messages he says were found on phone of slain serviceman telling of his fearswww.timesofisrael.com
Huyu lazima atoke na kichwa cha mtu kwa sababu kuna mtu analengwa hapa au atalipua na watu wengi watakufaWaUkraeni Wawawinda Askari wa Warusi walioingia maeneo Yao na kuvaa kiraia:
![]()
‘Locals shooting at locals’: Ukrainians hunt Russian saboteurs outside Kyiv
Resident of a village near Ukraine's capital claims paratroopers from Russia 'hide in the woods, enter people's apartments, take their clothes, change and try to walk around'www.timesofisrael.com
Hebu acha kutuletea porojo hapa,hauko mbali na Ukraine ya KabukuNilipo si mbali sana na Ukraine so najua nachosema
Posho ya vikao inafanya mda wote wakutane na kibaya zaidi kwa bajeti ya UkraineWanafki hao kazi vikao tu visivyoisha nakubwabwaja wanaogopa hahahahha
Mzee wa Kiev imeshakuwa majivu tangu juzi,vipi hebu tupe updatekumbe yanasomwa na ukraine
Askari wa Russia walitegemea kupokewa na WaUkraeni vijiji vya mipakani matokeo yake imekuwa kinyume.Huyu lazima atoke na kichwa cha mtu kwa sababu kuna mtu analengwa hapa au atalipua na watu wengi watakufa