HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Ila hajamzidi baba na mamayoZelensky mpumbavu sana
Ila hajamzidi baba na mamayoZelensky mpumbavu sana
duuuh!! So emotionalIla hajamzidi baba na mamayo
Dunia ipi ?Sio Wangu wa Dunia
Unapoishi.Dunia ipi ?
Source ?...Leo Hypersonics 20 zimepiga miundombinu ya Ukraine maana hakuna ADS ya kuzitungua
Makombora hayo hurushwa machache sababu yana gharama
Wamekufa wanajeshi 3000 wa Ukraine katika mashambulizi hayo
Hii mara nyingi urushwa na RT mubashara (live). Na wanaweka mkalimani wa kiingereza.huku kwetu itaonyeshwa chanel gani? watatuwekea na SUBTITLE? link je? instagram, twitter, youtube
facebook etc
Nasikia waliunguza vile visatelite vya Elon MuskDah ila Russia inawapiga Ukraine kihuruma sana.
Kumbe Kuna satellite zinasaidia jeshi la Ukraine na wanauwezo wa kuziharibu lkn waliziacha TU.
Ukiona hivyo ujue super pawer kachakazwa..,Huwa anakuwa ngumu kukubali kichapo [emoji16][emoji23][emoji28]Gear inabadilisha juuu kwa juu
"Two Ukrainian drones shot down over sea in Sevastopol, says governor - Military & Defense - TASS" Two Ukrainian drones shot down over sea in Sevastopol, says governor
Naona sasa kipanya 44 ameamua kutusaidia kupata habari warusi safi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Bakhumut ngoma bado nzito[emoji91][emoji91][emoji91][emoji1255][emoji123]
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] "Russian troops will try to take control of bakhumut on anniversary of Russia's full scale invasion of Ukraine" NSDC secretary oleksy danilov said in an interview with BBC [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Naona hajaelewa hyo taarifa.Naona sasa kipanya 44 ameamua kutusaidia kupata habari warusi safi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kashachanganyikiwa huyu.Naona hajaelewa hyo taarifa.
Super pawer wa kwenye makaratasi kaona ngoma ya mambo ya bakhumut yanakuwa machungu,kaona nguvu zote awekeze huko[emoji28][emoji1787][emoji16]Naona sasa kipanya 44 ameamua kutusaidia kupata habari warusi safi sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app