Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ungeniletea ushahidi kuwa walitolewa gerezani na kupelekwa Moja Kwa Moja Frontline ingekuwa vema zaidi maana wewe ndiye uliyesema hayo so una wajibu wa kuthibitisha!
Ile ya mtanzania,ulifeli kuverify maana kilichosema ni mara ya mwisho kijana huyo anawasiliana na ndugu zake na sio tarehe ya kujiunga na Wagner!
Haiwezekani hujui hata kutumia silaha upelekwe Frontline!
Kinachonishangaza sana mimi ni pale pro upinde wanapodai kuwa russia anapeleka wanajeshi wasio na mafunzo uwanja wa vita ili hali hao untrained soldiers na mateja wa russia wameweza kulizidi na kulishushia kipigo heavy jeshi hodari la ukraine na kukwapua maeneo mbalimbali. Siku ambayo wanajeshi wa russi waliokula mafunzo wakiingia uwanja wa vita sijui milio gani ya ukraine itasikika

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Kinachonishangaza sana mimi ni pale pro upinde wanapodai kuwa russia anapeleka wanajeshi wasio na mafunzo uwanja wa vita ili hali hao untrained soldiers na mateja wa russia wameweza kulizidi na kulishushia kipigo heavy jeshi hodari la ukraine na kukwapua maeneo mbalimbali. Siku ambayo wanajeshi wa russi waliokula mafunzo wakiingia uwanja wa vita sijui milio gani ya ukraine itasikika

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
Hao walisha Changanyikiwa Kila wakijaribu Kumchafua Wanachafuka wenyewe
 
1676545090432.png
 
Russia may soon destroy the satellites used by the armed forces of Ukraine

"Components of the civilian infrastructure in space provided to Ukraine for military purposes may become a legitimate target for a retaliatory strike," the Russian FM said.
View attachment 2519201


Dah ila Russia inawapiga Ukraine kihuruma sana.
Kumbe Kuna satellite zinasaidia jeshi la Ukraine na wanauwezo wa kuziharibu lkn waliziacha TU.
 
Mrusi Kamatia Hapo hapo tu

Bloomberg: The Western "tank coalition" for Ukraine has failed. German Defense Minister Boris Pistorius said that Kyiv's Western allies would not be able to prepare two full battalions of Leopard 2 tanks to be sent to Ukraine.

The admission marked a failure in the West's attempt to help the Ukrainian army cope with the expected intensification of hostilities in the coming weeks.
 
Dah ila Russia inawapiga Ukraine kihuruma sana.
Kumbe Kuna satellite zinasaidia jeshi la Ukraine na wanauwezo wa kuziharibu lkn waliziacha TU.
Yaani Basi tu kunamuda mwenyewe Nakwazika sana Kwann Jamaa Hatumii Nguvu sana
Yaani uwezo anao na Wanachokoza Wenyewe Twanga Kweli kweli Dunia Itulie
 
Hiyo Tarehe 21 Nisiku ya Mapumziko Rais wa Dunia Atakuwa Mubashara Kuihutubia Dunia
Na Kwavile Dunia Inamuh
itaji sana Neno lake Kwetu Ni Dawa!
Putin Mwenyezimungu Akupe Maisha Marefu zaidi Dunia Bado Inakuhitaji

#BREAKING The Kremlin has ordered Russia’s main TV channels to broadcast Putin’s message to the Federal Assembly on February 21.

It will be around an hour according to Peskov.
Kwa hiyo Putin ni Rais wako ?...
 
Ndio uwezo wao Ulipo Ishia
Yaan Mrusi Ajutie Kunyimwa Vyoo
Hahahaha
Jana Nimeangalia Vido moja toka Kwa Mwingereza Aishie China
Mrusi Ana Miji Chini ya Ardh Mita 300
Kuna Mji mmoja Unaweza Hifadh Warusi Laki 3 yaan 300k
Kwa miezi 6 bila Kutoka Nje
Wakiwa na Kila kitu huko Chini ya Ardhi Yaani Umeme,Mawasiliano,Nk

Huyo niwakumtishia Vyoo kweli!
 
Wakuu Habari.

Naomba ni share na nyie habari kuhusu Wagner Group.

Haya maelezo nimeyatoa kwenye video ipo youtube, ya jamaa anaitwa Scott Riter. Huyu jamaa ni former US Marine na Former AIEA Inspector (Atomic Energy Inspector).

Scott Riter anasema kwamba, Wagner Group hawafanyi kazi pekee ya Mercenaries, kama ambavyo watu wanadhani. Mercenary ni sehemu tu ya majukumu makubwa mengi ambayo Wagner Group wanayo na wanafanya.

Scott Riter anasema kwamba, Wagner Group, kazi yao kubwa ni kulinda interests za Russia, nje ya Russia, Politically, Economically, Military, financially na Socially. Hii ndio set-up ya Wagner Group ilivyo kwa sasa.

Akaenda mbali zaidi, akawa anatoa mifano ya US and West wanavyotumia vikundi vya Al Qaeda, ISIS, kueneza propaganda zao za ugaidi na kupigana proxy wars.

Kwa hiyo Wagner Group ni Agency ya Russia for Russians Interests.
 
Leo Hypersonics 20 zimepiga miundombinu ya Ukraine maana hakuna ADS ya kuzitungua

Makombora hayo hurushwa machache sababu yana gharama

Wamekufa wanajeshi 3000 wa Ukraine katika mashambulizi hayo
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Back
Top Bottom