Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

@T14 Armata hv zile tb za TURKEY ziliishia wapi sizisikii kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa alikuwa anazichambua silaha za west na urusi mpaka unahisi urusi anaenda battlefield na mikuki vs tanks za west ila sema anajitahidi sometimes kujitambua ukilinganisha na yule kipanya ambaye nahisi ni brain dead kabisa maana ni rahisi kumfundisha mbuzi kusoma na kiandika kuliko kujaribu ku refine ubongo wa yule jamaa that gay is broken beyond repair

Sent from my LG-M200 using JamiiForums mobile app
 
Marekani imesema imeruhusu na inaunga mkono mashambulizi ndani ya Crimea
Nakazia!!!
1676642521131.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Libya,Iraq na kwingineko Hamkuwa na Haya ila Ukrein Mnagwaya
Kweli Urusi Kiboko

"We are making sure that there is no war between NATO and Russia, it is necessary to "continue to maintain a balance between supporting Ukraine and avoiding escalation." - US hostage Olaf Scholz
 
Hawa hapa vijana wanaoyapelekea moto majeshi ya fashisti [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]View attachment 2520192

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wanapeleka moto wakiwa uwanja wa vita sehemu gani?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Wagner wakiandaa kifurushi cha pili kutoka Soledar kuelekea Kiev kwa ndugu zao.hao unaowaona hapo unaweza ukakuta wapo kwenye kifurushi wanachokiandaa Wagner kwenda Kiev




 
[emoji95][emoji95][emoji95]Situation on Kharkov axis: Russian army entered the remaining parts of Hryanykivka, thus fully protecting the city[emoji95][emoji95][emoji95].


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
IMG_20230217_174849_136.jpg
 
Wagner once again published a very graphic video begging to be provided with ammunition. In the video, hundreds of corpses of mercenaries are in a room, placed there to show they could have been alive if help had been given. https://t.co/6kOG7cD8Gw
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20230217-175318_Twitter.jpg
 
[emoji95][emoji95][emoji95]Ukrainian sources report that the Russian Armed Forces have taken control of the village of Gryanikovka in the Kharkiv region[emoji95][emoji95][emoji95]View attachment 2520561
Hizi ndio habari ninazo penda kusikia
Sio yule jamaa yeye na habari zake zisizo na mbele kila siku warusi wamekufa bila kusema sehemu gani na mji gani kila siku mara 800 -900
Sasa si wange kuwa wameisha hadi sasa hivi
 
Mkuu, unaongea swala la marekani kuwa mbele ya muda wakati intelegensia zinaonesha marekani na washirika wake wapo nyuma ya muda.

Kuhusu Nord stream kulipuliwa ilikuwa ni baada ya ujerumani kuonesha dalili ya kutaka kuruhu gesi kuendelea kuingia ujerumani na hivyo Marekani akaona Uchumi wa Urusi hautaanguka kma walivyotegemea na badala yake waKalipua hayo mabomba, kitu ambacho hawakutegemea ni nchi nyingi kutoogopa kununua gesi Urusi ikiwemo Asia na kwengine na Opec plus kuwa na Urusi na kufanya madhara walichokifanya kisipate matokeo chanya waliyotegemea.

Uzalishaji wa Ammunition kwa marekani na washirika wake uko nyuma, uchaguzi wa marekani unakaribia kitu ambacho Biden hakutaka kabisa, maana alitaka kumaliza vita mapema kwa kuua uchumi wa Russia ili apate political ground, Serikali za mataifa mengine zinatikisika na bado unasema Marekani yupo mbele ya muda.

BRICS inakaribia kuzindua benki yao, na wanachama wameongezeka, na cha ajabu Saudi Arabia na Uturuki wameapply, na bado unasema Marekani yupo mbele ya Muda.

North Korea na Iran wanatuma silaha kwenda kwenye vita uko Ukrain, na juzi kati China [emoji630] imegundulika inapeleka vifaa uko vitani jambo ambalo Marekani hakulitegemea, na bado unasema Marekani yupo mbele ya muda.

Sawa muda utaongea mzee mm naipenda urusi ila naona hatatoboa hapa mzee
 
Sky News
Ukraine war - latest: Putin travelling in armoured train ...
1 day ago

The Russian leader believes his planes could be shot down by NATO, an investigative reporter has said. As his country's losses rise, UK intelligence estimates that as many as half of convicts fighting for the Kremlin have been killed or wounded. Listen to Ukraine War Diaries as you scroll.

=======================

Is Putin afraid of NATO ?
 
[emoji95][emoji95][emoji95]Situation on Kharkov axis: Russian army entered the remaining parts of Hryanykivka, thus fully protecting the city[emoji95][emoji95][emoji95].


[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2520556
huko kharkiv naona warusi wanachotea tu miji
 
Back
Top Bottom