ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Kwahiyo huamini kama wanakufa??Hizi ndio habari ninazo penda kusikia
Sio yule jamaa yeye na habari zake zisizo na mbele kila siku warusi wamekufa bila kusema sehemu gani na mji gani kila siku mara 800 -900
Sasa si wange kuwa wameisha hadi sasa hivi