Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tunahangaika kwa manabii haliyakuwa putin anayo dawa ya ufufuo wa mwili na roho.

Huyu bwana amefariki miezi 11 iliopita, ila jana kapewa nyadhifa na vladimir
View attachment 2520956
kp kipanya44 wale mageneral uliokuwa unatuambia wamekufa ishirini mmoja kafufuka huku 😃,,, naona wadau kila wakikwambia unajifanya unajikausha kama huoni coment hivi,,😅😅
 
Unaelewa maana yake lakini?! Maana yake ni kuwa Ukraine na jeshi lake wametopea kwa wizi, ufisadi na rushwa...fedha na vifaa au silaha kwa ajili ya Vita nyingi zinaibiwa hivyo ukaguzi ni muhimu Hadi mstari wa mbele..
Kwa nini unauliza kama nimeelewa maana?? Marekani hata akitamka kwamba zelensiky ni fisadi hiyo habari nitaileta hapa maana huyu ni mshirika wa kweli wa Ukraine anayeijua Ukraine nje ndani.., kuhusu masuala ya wizi na ufisadi hayo umesema wewe..,hakuna popote nilipoandika kitu kama hicho

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] the united state consider it the sovereign right of each state to make decisions on the supply of mig-29 or other fighter aircraft to Ukraine , and united state would welcome such decision [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] Ukrainian soldiers are training to conduct military operation in urbanized areas as part of basic military training in the UK under the guidance of instructors from Canadian armed forces[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hana maamuzi yoyote , huyo anaendeshwa tuu kila kitu anapangiw huko na mashoga wenzake
Kuna mazombi walituambia Kuna uwezekano wa ukraine kukabidhi asilimia 20 ya ardhi yake Kwa urusi..,someni hiyoo[emoji28][emoji16][emoji23]

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]rais wa ukraine volodymyl zelensiky amefutilia mbali uwezekano wa eneo lolote la nchi yake kukabidhiwa kwa urusi katika makubaliano ya amani na taifa Hilo[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]View attachment 2521150

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] another military Russian top official has died after falling from window.,
Marina jankina served as the head of financial department of Russia's western district [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
1676704922457.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
CNN waonyesha kiwanda cha kutengeneza risasi na mabomu kwa ajili ya Ukraine,huko Pennsylvania,Marekani!
...........
CNN gets a rare look inside a Pennsylvania factory making ammunition for Ukraine

Naona Marekani wameanza fufua viwanda upya
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] another military Russian top official has died after falling from window.,
Marina jankina served as the head of financial department of Russia's western district [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]View attachment 2521347

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums
Wacha kufuatilia propaganda na habari za udaku tumia vyanzo sahihi huyu amejiuwa sio kaanguka dirishani Ila ilijirusha kutoka gorofani kupitia dirishani
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] another military Russian top official has died after falling from window.,
Marina jankina served as the head of financial department of Russia's western district [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]View attachment 2521347

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums
Wacha kufuatilia propaganda na habari za udaku tumia vyanzo sahihi huyu amejiuwa sio k
Kuna mazombi walituambia Kuna uwezekano wa ukraine kukabidhi asilimia 20 ya ardhi yake Kwa urusi..,someni hiyoo[emoji28][emoji16][emoji23]

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]rais wa ukraine volodymyl zelensiky amefutilia mbali uwezekano wa eneo lolote la nchi yake kukabidhiwa kwa urusi katika makubaliano ya amani na taifa Hilo[emoji1255][emoji298][emoji1
Kuna mazombi walituambia Kuna uwezekano wa ukraine kukabidhi asilimia 20 ya ardhi yake Kwa urusi..,someni hiyoo[emoji28][emoji16][emoji23]

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]rais wa ukraine volodymyl zelensiky amefutilia mbali uwezekano wa eneo lolote la nchi yake kukabidhiwa kwa urusi katika makubaliano ya amani na taifa Hilo[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]View attachment 2521150

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
TUTAONA YETU MACHO🤣🤣
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]in his address to attendees of the Munich security conference , president volodymyl zelensiky said "there's no alternative" to Ukranian victory, the country's membership in the EU and NATO [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] another military Russian top official has died after falling from window.,
Marina jankina served as the head of financial department of Russia's western district [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]View attachment 2521347

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Baada ya miezi kadhaa atateuliwa mda utakuja tu.
 
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] France handed over to Ukraine the fifth generation akeron mp network-enabled ant tank guided missile system, the delivery of complexes was not announced,opex news reported [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]

Back
Top Bottom