Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kipanya kabla hajaivamia Ukraine,alionekana kama picha ya kwanza,,,Kwa Sasa alivyo ,anafanana na picha ya pili.View attachment 2521404
Na usisahau pia Putin aliingia Ukraine Kwa mbwembe lakini kinachomkuta Sasa[emoji1787][emoji28][emoji1787] mpaka anaomba lakini maombi hayajibiwi[emoji28]
JamiiForums-373007654.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Vip mzunguko wa bakhumut umefikia wapi? Askari wa Ukraine waliozungukwa bado tu hawajajisalisha??[emoji28][emoji1787][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwani upo Africa sehemu gani Kipanya44.jana tu Paraskoviivka imeanguka.warusi wanapigana kwa akili sana.wanazidi kuwajaza wanajeshi wa Ukraine Bakhmut ili wakifunga mlango basi majeneza zaidi ya elfu 10 yatarudishwa Kiev[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1255][emoji298]Mamluki wa urusi zaidi ya 30000 wanaopigana nchini Ukraine Kwa niaba ya Moscow wameuwawa au kujeruhiwa tangu vita ya Ukraine kuanza,kwa mujibu wa msemaji wa ikulu ya marekani John kirby, kundi Hilo limepata hasara kubwa katika wiki za hivi karibuni,wapiganaji 9000 wakiuwawa katika uwanja wa mapambano [emoji298][emoji1255]
Chanzo; RFI kiswahili on Facebook

1676711256916.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1255][emoji298]Mamluki wa urusi zaidi ya 30000 wanaopigana nchini Ukraine Kwa niaba ya Moscow wameuwawa au kujeruhiwa tangu vita ya Ukraine kuanza,kwa mujibu wa msemaji wa ikulu ya marekani John kirby, kundi Hilo limepata hasara kubwa katika wiki za hivi karibuni,wapiganaji 9000 wakiuwawa katika uwanja wa mapambano [emoji298][emoji1255]
Chanzo; RFI kiswahili on Facebook

View attachment 2521429

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waonyeshe list ya hata wanajeshi 1000 tu
 
Artillery anazotumia Ukraine kwa siku 5 kiwanda 1 cha Marekani huzitengeneza kwa mwezi 1
Hivyo Pentagon wamesema wanaongeza production kwa 500% ili kuweza kucover pcs walizotuma Ukraine ambazo ni zaidi ya 200000.

Pia wanaongeza production ili wawe na reserve ya artillery stock ya zaidi ya pcs 2mil.

Hii yote ni kwa ajili ya Taiwan, South Korea
 
Ipo Siku Yatawarejea wao wenyewe
 
[emoji1255][emoji298]Mamluki wa urusi zaidi ya 30000 wanaopigana nchini Ukraine Kwa niaba ya Moscow wameuwawa au kujeruhiwa tangu vita ya Ukraine kuanza,kwa mujibu wa msemaji wa ikulu ya marekani John kirby, kundi Hilo limepata hasara kubwa katika wiki za hivi karibuni,wapiganaji 9000 wakiuwawa katika uwanja wa mapambano [emoji298][emoji1255]
Chanzo; RFI kiswahili on Facebook

View attachment 2521429

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na wale laki moja na elfu 30 vipi Tena yaaani
 
Wachambuzi wengi twaona kwamba NATO wanachopanga mida hii ni "false flag attack" ndani ya moja ya nchi tuseme Poland na kisha kuisingizia Russia ,kuwa imefanya shambulizi.

Wakifanya hivyo watasema wana-trigger Article Five ya NATO charter kwamba akishambuliwa mwanachama mmoja basi wote kuingia kumshambulia adui.

Hiyo itakuwa ni suicide mission.

Zelensky aekelea kushindwa vita kwa kukosa misaada zaidi hivyo NATO na Marekani hiyo itakuwa ndo last resort.

Dunia kwa sasa ipo kwenye njia panda.
Kwani Wakitrigger Hiyo Article 5 nini kitatokea moja kwa Moja Siku risasi yao moja tu ikielekea Russia hapo hapo Urusi itajibu Kwa nguvu ambayo wao wala hawaitarajii na ndio Mwanzo wa Vita Kuu ya Dunia na Vile vile Nwisho wa Dunia.
 
Hii Inaonyesha kwamba Bado NATO wanapambana na Kikundi cha Ulinzi
Jeshi La Mrusi Bado Kabisa Kuanza Kazi

🇷🇺🪖Yevgeniy Prigozhin: "The Wagner PMCs has never had and has no relation to the Russian Army. The Wagner PMCs is a private army that has operated, operates and will operate all over the world"
 
Na wale laki moja na elfu 30 vipi Tena yaaani
Kwa kufasiri Ni hivi
"Mamluki wa Urusi zaidi ya elfu 30 wanaopigana nchini Ukraine kwa naiba ya Moscow wameuawa au kujeruhiwa tangu vita vya Ukraine kuaanza.

Kwa mujibu wa msemaji wa Ikulu ya Marekani John Kirby kundi hilo limepata hasara kubwa katika wiki za hivi karibuni, wapiganaji 9,000 wakiuawa katika uwanja wa mapambano."

Sasa tunakushangaa kipanya na lile jedwali lako sijui unalitoa wapi na leo umepost nn?
 
Back
Top Bottom