kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 13,151
- 15,384
ndio hivyo mkuu.., kiburi na majivuno vimemponza sana Putin.., tatizo amekuwa mtaka yote Sasa anakwenda kukosa yote!!jamani warusi wenzangu,tutatoboa kweli?? Huyu comedian zelensiky inaonekana amedhamilia kweli kukomboa ardhi yake yote ikiwemo Crimea, tuzid kumuombea Putin Kwa kweli, maana huyu mwamba japo hii vita inaonekana kumuelemea, lakini naamini hakika hatotuangusha.., angalau tubaki na Crimea yetu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app