Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Una upumbavu mwingi wewe,kwa huo utahaila ulio nao hutakiwi kujibu hata comments zangu,wewe pita tu kimya, binafsi nakuona kama boya au limbukeni flani hivi!!

IMG_9125.jpg


SPANA imekuingia vizuri.
 
On 7 March Ukraine's Ministry of Defence announced that Gerasimov was killed in Kharkiv Oblast during the 2022 Russian invasion of Ukraine, but Gerasimov was confirmed to be alive by BBC Russian when he was awarded the Order of Alexander Nevsky on 23 May.
View attachment 2523014

Wanafufuka kila siku[emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie amkeni kuna mwingine kafufuka huku, Russia anawatia AIBU watu.
 
Ndugu zangu naombeni majibu hapa.

Toka huu mgogoro wa Russia-Ukraine uanze taifa la Hungary limekua tofauti na mataifa mengine ya west. Kumbuka Hungary ni NATO & EU member ila amekua haungani na mataifa mengine katika vikwazo, kupeleka silaha, na pia imekua ina block loan za kwenda Ukraine. Kwanini Hungary anakua tofauti na wenzie?? Kuna uhasama wowote kati ya hili taifa na Ukraine au west??.
 
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]"According to American sources,200,000 were killed and wounded during the war with Ukraine", US secretary of state Antony blinken said at the Munich security conference [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
Hao wote Ni kutoka marekani[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]yaani Russia [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20230218-153855.jpg
 
Back
Top Bottom