Huyo dadae ana mipaja so mchezo aseeDadamtu Kipindi Anapiga picha Na kakake Wakikanyaga Mait nakuziita Mbolea Alikuwa Akifurahi sana
Leo Maiti ya Kakake Imekuwa Mbolea Naona Kapo Hoi na Huzuni
Karma dadaView attachment 2523513View attachment 2523514
Ila Warussi nawakubali sana hawakawii kukupa SPANA
🇩[emoji1096]🇺Dmitry Medvedev on the words of the German Foreign Minister about Moscow's 360-degree turn: "It's still fun that Europe is ruled by such ignorant people"
Jamaa anamwitaga Biden- old man
Analialiq Nini?, Anaona wanamuacha? Na liwe fundisho Kwa viongozi wengine wenye udhaifu kama wake..Yani nchi yangu, nimeaminiwa na watu niwaongoze, Leo na iharibu kupambania maslahi ya watu wachache wa hovyo? *** "US"Endelea Kukaza Shingo tu
Umekubari Kutumiwa kama Pampasi na Kuwatesa Raia wako kisa Maslah ya West leo Unabwabwa
Zelensky expressed hope that Beijing "adheres to a pragmatic position" regarding this conflict, otherwise, in his opinion, there is a risk of getting a third World War.
"I hope that the international community will unite and support my 10-point peace plan, which includes guarantees from the United States, China and major powers," he said in an interview published on Sunday with the Corriere della Sera newspaper.
BBC yaripoti kuwa raia wa Moldova wachoshwa na kupanda kwa gharama za maisha nchini mwao, waandamana na kuitaka Urusi iingie Moldova na kuikomboa nchi hiyo toka serikali yao dhaifu
View attachment 2523681
View attachment 2523682
Umeongea point kubwa sana. Ndo maana Nyerere alisema hatufungamani na nchi yeyote.Ww ndio umeegemea upande mmoja.
Urusi na USA wana nongwa zao
Zele alipaswa kuusoma mchezo mapema na kujitenga nao wote wawili kwa kuzingatia maslah ya nchi na watu wake.
Hakupaswa kujiingiza ktk mzozo ambao umepelekea nchi yake kuwa na hali mbaya ktk nyanja zote hata tz tuna nafuu.
Kwenye hiyo picha kuna mavifaru ya kutisha lakini wewe umeona mapaja ya mrembo tu 😂😂😂
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Na badooo
Ameona Wagner wanafaidi 'keki' ya taifa na yeye katamani."Kadyrov says plans to set up private military company when through with state service - Russia - TASS" Kadyrov says plans to set up private military company when through with state service
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Naye anataka awe na kajeshi kake alambe asali 😀😀😀Ameona Wagner wanafaidi 'keki' ya taifa na yeye katamani.
Tulimwambia akusikia [emoji1787] bado kipanya tunaendelea kumwambia hataki kusikia .....urusi siyo zimbabwe [emoji112][emoji1787]Dadamtu Kipindi Anapiga picha Na kakake Wakikanyaga Mait nakuziita Mbolea Alikuwa Akifurahi sana
Leo Maiti ya Kakake Imekuwa Mbolea Naona Kapo Hoi na Huzuni
Karma dadaView attachment 2523513View attachment 2523514
Mkuu ulipotea 😃 umetuacha na kp kipanya44 na ngojera zake za kufurahisha baraza pro Ukraine+NATO/USA wenzie wengi wamekimbia humu, uzi wanauchungulia kwa juu juu😃😃🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Naye anataka awe na kajeshi kake alambe asali 😀😀😀
Kabudi unamchukulia poa kwenye hayo maeneo uliyoyataja?Hawa watu wamesoma na kuelimika vilivyo eneo la historia, diplomasia na mahusiano ya kimataifa.
- Sergey lavrov - russia
- Wang yi - china
- Dr Subrahmanyam Jaishankar - India.
Huku kwetu nafasi kama hizi tunarusha mpira kwa yeyote aliye mbeleni..
Tulifikia hatua tukamchagua kabudi