Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,546
- 38,093
NoKumekucha....NATO yajiweka tayari kwa lolote..
Action
Talk
Only
Sent using Jamii Forums mobile app
NoKumekucha....NATO yajiweka tayari kwa lolote..
Unapokosea ni pale unaposema urusi anapigana na mataifa zaidi ya 30 wakati wote tunashuhudia wazi kwamba urusi anapigishwa danadana na ukraine pekee,huku akiishia kuchakazwa na kutiwa kilema Cha maisha [emoji848]Ila we kirat akili zako unazijua mwenyewe,, mbwa asie na meno anakalia Ukraine ardhi asilimia ishirini, mbwa asie na meno anapigana vita na mataifa zaidi ya thelathini ,, kwani wewe mwenzetu unatumia kiungo gani kufikiri[emoji848]
Wanajiweka ili kupigana na Nan? Du yaani uoga Ni dhambi kubwa kwa mwanaume.Lazima life jitu[emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525]View attachment 2523914
Hawatabadilisha jamboKuna uwezekano biden akatua kiev
Hawatabadilisha jambo
Mwenzao anataka No Fly Zone wao wanapeleka viongozi wa kisiasa ambao ni marufuku kuwatwanga kwa sheria za kimataifa
SMO inaendelea kama ilivyopangwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani aanzishe vita ya dunia kisa mchekeshajiEndelea Kukaza Shingo tu
Umekubari Kutumiwa kama Pampasi na Kuwatesa Raia wako kisa Maslah ya West leo Unabwabwa
Zelensky expressed hope that Beijing "adheres to a pragmatic position" regarding this conflict, otherwise, in his opinion, there is a risk of getting a third World War.
"I hope that the international community will unite and support my 10-point peace plan, which includes guarantees from the United States, China and major powers," he said in an interview published on Sunday with the Corriere della Sera newspaper.
Hata raia wa marekan wanataka kujiunga na wagina ili kupunguza makali ya ugumu wa maishaUrusi ni mbwa asiye na meno Kwa Sasa..,kama unalitegemea Hilo basi utasubiri sana!!
Mimi ni mtu na nakiamini anachoandika huyo Ndugu....hata wewe ngonjera zako ambazo huja nazo humu wako wachache wanaoziaminiUnatoa kichwani unaandika tu huku ukitegemea watu waamini hizi ngonjera zako[emoji1787][emoji2][emoji28]
Anaenda kushuhudia kipigo kinachoendelea?Yasemekana Rais wa Marekani yuko Kyiv
Atakua kaja kumchukua Zelensk huyo,BREAKING: Heavy US security and air force presence near Ukraine's border as major motorcade drives through Kyiv, amid speculation President Biden may have arrived in the country.
Mwalimu Nyerere hakukosea alipoutambua ujinga kama Moja ya maadui wakubwa watatu wa taifa hili!!Mimi ni mtu na nakiamini anachoandika huyo Ndugu....hata wewe ngonjera zako ambazo huja nazo humu wako wachache wanaoziamini