Morogoro kaskazini
JF-Expert Member
- Jul 5, 2020
- 2,560
- 9,690
Warusi wamevuka boda na kuanza kuvichukua vijiji huko kharkiv tangu juzi urusi imeanza kuitafuna kharkiv.
Urusi ni mbwa asiye na meno Kwa Sasa..,kama unalitegemea Hilo basi utasubiri sana!!Raia wa moldovia wanataka inchi yao ivamiwe na urusi ili wapate unafuu wa maisha
Zelensky Kuhusu utetezi wa Bakhmut: "Ndio, hii sio jiji kubwa saaana. Kweli, kama mengine mengi katika Donbass yaliyoharibiwa na Urusi. Ni muhimu kwetu kuitetea, lakini si kwa gharama yoyote mpaka kila mtu kufa. Tutapigana kwa muda mrefu kama ni busara, lakini Warusi wanataka "Kipigo kinaendelea [emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji123]
[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] over the past day Ukraine's air force launched 20 strikes on enemy personnel and military equipment clusters.seven strikes on enemy's ant aircraft missiles system, and two more on other important objects [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
Wivu wa kichawi huu.Halafu kuna mtu anabeza silaha za RUSSIA eti
[emoji635][emoji3575][emoji1130]Blinken made the claim that Russia can supply Iran with fighter jets
The US Secretary of State believes that relations between Russia and Iran "are becoming more and more pernicious"
United States administration believes that Moscow can provide Tehran with modern Russian fighter jets, which "will make Iran an even greater threat." This was announced by US Secretary of State Anthony Blinken in an interview with CBS, a fragment of which was shown on Saturday.
He again made the claim that Iran supplies Russia with unmanned aerial vehicles that are used during a special military operation in Ukraine.
"We are working to expose this, take measures against it, impose sanctions. Relations between Russia and Iran are becoming increasingly pernicious, and this is actually a two-way street. Not only Iran supplies equipment to Russia, but Russia also supplies military equipment to Iran, including, it seems, modern fighter jets. This is what seems to be happening, and what will make Iran an even greater threat if it gets hold of this technology," said the chief of American diplomacy.
According to him, the United States is discussing this issue with allies and partners around the world. Blinken added that Russian-Iranian "relations are of growing concern."
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah SMO lazma ikamilike 😀😀😀Mkuu ulipotea 😃 umetuacha na kp kipanya44 na ngojera zake za kufurahisha baraza pro Ukraine+NATO/USA wenzio wengi wamekimbia humu, uzi wanauchungulia kwa juu juu😃😃
Wapumbavu TU ndio watakao amini hili. Ngoja awakishe matango poli
Si tulikubaliana kwamba Ile bakhumut tumeshaizunguka kikamilifu?Zelensky Kuhusu utetezi wa Bakhmut: "Ndio, hii sio jiji kubwa saaana. Kweli, kama mengine mengi katika Donbass yaliyoharibiwa na Urusi. Ni muhimu kwetu kuitetea, lakini si kwa gharama yoyote mpaka kila mtu kufa. Tutapigana kwa muda mrefu kama ni busara, lakini Warusi wanataka "
Kumbe Kuna vifaru mle? Ha haUmeongea point kubwa sana. Ndo maana Nyerere alisema hatufungamani na nchi yeyote.
Kwenye hiyo picha kuna mavifaru ya kutisha lakini wewe umeona mapaja ya mrembo tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Unatoa kichwani unaandika tu huku ukitegemea watu waamini hizi ngonjera zako[emoji1787][emoji2][emoji28]Demilitarization De NATO nization De UKROnization
SMO inaendelea vyema haswaaa
[emoji635][emoji1255][emoji779]️ NATO countries have transferred to Ukraine 1,170 air defense systems, 440 tanks, 1,510 infantry fighting vehicles, 655 artillery systems since December 2021, according to the data of the Foreign Intelligence Service of the Russian Federation.
Most of this equipment has already been destroyed, the department added.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wala Zimbabwe sio Russia wala MacedoniaTulimwambia akusikia [emoji1787] bado kipanya tunaendelea kumwambia hataki kusikia .....urusi siyo zimbabwe [emoji112][emoji1787]
Kuichukua bakhmut sio jambo la chini ya miezi 3+Si tulikubaliana kwamba Ile bakhumut tumeshaizunguka kikamilifu?
Fix nyingine za nini Tena?? Kuhusu bakhumut niltegemea unipe habari kwamba askari kadhaa wa ukraine wamezungukwa baada ya mji kuzungukwa kikamilifu Kama mlivyotuaminisha hapa wiki 2 zilizopita.., mpaka thread zililetwa hapa[emoji1787]
KABUDI ni level za akina LAVROVKabudi unamchukulia poa kwenye hayo maeneo uliyoyataja?
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Lazima life jitu[emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525]Kumekucha....NATO yajiweka tayari kwa lolote..
Ila we kirat akili zako unazijua mwenyewe,, mbwa asie na meno anakalia Ukraine ardhi asilimia ishirini, mbwa asie na meno anapigana vita na mataifa zaidi ya thelathini ,, kwani wewe mwenzetu unatumia kiungo gani kufikiri🤔Urusi ni mbwa asiye na meno Kwa Sasa..,kama unalitegemea Hilo basi utasubiri sana!!