Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Biden
saintjavelin-20230220-0001.jpg
 
Bakhumut bado mambo mazito[emoji1255][emoji1255][emoji91][emoji91][emoji123][emoji123]

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] the Russian army loses reportedly remains high on several offensive axes in eastern Ukraine, particularly in bakhumut and vuhledar [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
 
Dadamtu Kipindi Anapiga picha Na kakake Wakikanyaga Mait nakuziita Mbolea Alikuwa Akifurahi sana

Leo Maiti ya Kakake Imekuwa Mbolea Naona Kapo Hoi na Huzuni
Karma dadaView attachment 2523513View attachment 2523514
Motochini mbona kama hiyo picha ya juu ni wale waliouliwa kwenye trench baada ya mwanajeshi wa Russia kuwakaribia akawaambia waweke silaha chini wakafanya mistake jamaa akawamiminia za kutosha hapohapo??
 
[emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255] US president made unannounced visit to Kyiv on February 20, the first since the start of Russia's full scale invasion [emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298]
 
Wanaweza rusha ila USA ameamua liwalo liwe ndo maana wamempeleka Biden
Diplomasia haifanywi hivyo.

Hata raisi wa Ufaransa, kiongozi wa Ujerumani, UK na wengine wamekwenda Kyiv kwa ruhusa maalum ya Russia.

Hii vita ipo lakini bado zile njia maalum za simu zatumika baina ya Russia, China, US na mataifa mengine makubwa.

Kwa kuwa vita sasa imepamba moto Russia ndie mtoa ruhusa na karuhusu Biden atumie njia ya reli badala ya anga kwani ni dangerous.

Ni lazima tuelewe kuwa bado hizi nchi zote zawasiliana kwa kutumia njia maalum za simu ili kuepusha maafa.

Russia ndie mwenye kuruhusu ama anga au njia yoyote ya kuingia Ukraine itumike ni wao ndo watawala anga kwa sasa.
 
Wangekuwa wanakwenda kwa ruhusa ya Russia hizo ziara zingekuwa zinatangazwa,acha kupotosha!
 
Diplomasia haifanywi hivyo.

Hata raisi wa Ufaransa, kiongozi wa Ujerumani, UK na wengine wamekwenda Kyiv kwa ruhusa maalum ya Russia.

Hii vita ipo lakini bado zile njia maalum za simu zatumika baina ya Russia, China, US na mataifa mengine makubwa.

Kwa kuwa vita sasa imepamba moto Russia ndie mtoa ruhusa na karuhusu Biden atumie njia ya reli badala ya anga kwani ni dangerous.

Ni lazima tuelewe kuwa bado hizi nchi zote zawasiliana kwa kutumia njia maalum za simu ili kuepusha maafa.

Russia ndie mwenye kuruhusu ama anga au njia yoyote ya kuingia Ukraine itumike ni wao ndo watawala anga kwa sasa.
Kabisa, ndio wanaoruhusu misaada ya kijeshi kuingia ili iwaue
 
Back
Top Bottom