jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Kwanza Biden ndio Rais wa kwanza kwenda toka uvamizi? Na huyo kuku Kama kuku wengine.
Kumekucha....NATO yajiweka tayari kwa lolote..
Tofauti ni kwamba Mara hii aliyekwenda Ukraine ni rais wa taifa kubwa dunian,yaani super pawer wa ukweli [emoji123][emoji123][emoji631][emoji631]Kwanza Biden ndio Rais wa kwanza kwenda toka uvamizi? Na huyo kuku Kama kuku wengine.
Umeulizwa hapo juu kwamba urusi ndio huyuhuyu anayeruhusu misaada ya kijeshi iingie huko Ukraine??Russia ndie atawala anga lote la Ukraine kwa sasa.
Ndege haziwezi kutumia anga kuingia Ukraine.
Elewa hivyo.
Misaada ya kijeshi yote imekuwa yapitia Ujerumani kisha yaingia Poland na kuelekea Ukraine.Umeulizwa hapo juu kwamba urusi ndio huyuhuyu anayeruhusu misaada ya kijeshi iingie huko Ukraine??
Kwahiyo kwenda kwa Biden Kiev tena kwa kujificha ficha na kupanda treni zaidi ya masaa 9 kutasaidia Bahmut isibondwe?? Au ndio kutafanya Abrams na Leopard zifike ndani ya wiki??Hao jamaa wameshtukizwa
Hiyo ni picha ya ngapi anapiga? Na anapata nn? Halafu ule mkono aangalie kule kwa nyuma.Mwamba akiwa na kilanja wa dunia [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]View attachment 2523994
Na hizo silaha zinazoendelea kuwaua askari wake zinapita njia gani,na Kwa nini urusi anashindwa kuzitarget na kuzilipua kama uwezo anao!Misaada ya kijeshi yote imekuwa yapitia Ujerumani kisha yaingia Poland na kuelekea Ukraine.
Kwa kuwa Russia nae ana mitambo ya satelite amekuwa akilipua shehena nyingi tu za mizigo inoingia Ukraine kwa njia zingine khasa za reli.
Ndo maana nikasema ziara ya Biden Ukraine yajulikana na imeruhusiwa na Russia ili kusiwepo ajali yoyote.
Mke wako kwann uende kwa kujifichaficha?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Russia umemfanya mpaka mwenye nyumba asipige hodi.Hiyo ni picha ya ngapi anapiga? Na anapata nn? Halafu ule mkono aangalie kule kwa nyuma.
Unateseka ukiwa wapi [emoji848][emoji847][emoji847]Hiyo ni picha ya ngapi anapiga? Na anapata nn? Halafu ule mkono aangalie kule kwa nyuma.
Yaani hapo ndo ninapomkubali Uncle Sam maneno kidogo vitendo Kama vyote.Hii scenario imeshabihiana kidogo na Ile ya pelosi kule Taiwan.., USA watata sana[emoji28]
Una stress na ziara ya Biden mpaka unajikanyaga [emoji28][emoji1787][emoji2]Mke wako kwann uende kwa kujifichaficha?[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Russia umemfanya mpaka mwenye nyumba asipige hodi.
Kuna sehemu nilimqote zelensky alisema hakuna binadamu mwoga Kama Putin ndo maana anaogopa kurusha manyuklia yake maana anajua kitakachofuatia akijaribu tuu[emoji3][emoji3]Chakushangaza hazungukwi na maaskari kama Rais wetu ambaye hayupo vitani
Silaha zote zapitia Poland kisha kuingia Kyiv na baadae kusambazwa kwenye uwanja wa vita.Na hizo silaha zinazoendelea kuwaua askari wake zinapita njia gani,na Kwa nini urusi anashindwa kuzitarget na kuzilipua kama uwezo anao!
Kwa hiyo anaenda kukomboa ardhi iliyoshikiliwa na Urusi.Yasemekana Rais wa Marekani yuko Kyiv
Na wewe ukaamini maneno ya zelensky.?Kuna sehemu nilimqote zelensky alisema hakuna binadamu mwoga Kama Putin ndo maana anaogopa kurusha manyuklia yake maana anajua kitakachofuatia akijaribu tuu[emoji3][emoji3]
Duh! nimeacha kusoma pale ulipoandilka kwamba urusi kaiachia Kyiv iwe " safe zone" hayo makubaliano yaliyofikiwa mpaka urusi kuifanya Kyiv kuwa " safe zone" kama unayo tunaomba uyaweke hapa kama hutojali.Silaha zote zapitia Poland kisha kuingia Kyiv na baadae kusambazwa kwenye uwanja wa vita.
Ukumbuke vita yapiganiwa mashariki ya Ukraine na mpaka na Poland upo magharibi na ndipo ilipo Kyiv ambayo mpaka sasa Russia kaachia kuwa safety zone.
Hizo ni silaha ambazo Ukraine alikuwa nazo kwenye maghala na zilipoanza kwisha ndo akaanza kupewa zingine kama hizo HIMARS ambazo nazo zimeisha.
Silaha nyingi anozitumia sasa bado zapitia Kyiv.
Ndo maana Ukraine imekuwa ikipiga kelele kuomba silaha zaidi.