Putin anasafiri na treni akiwa nchini kwake mwenyewe tena kuanzia mwaka huu ndio anakwepa ndege kulikoMjomba amesafiri masaa tisa kwa Treni hivi kwa nini Asingetumia ndege, ndo utajua kuwa anamuogopa mrussi.
Kaka askari waliopo hapo ukraine wote ni askari wa US wamevaa gwanda tu za ukraine pamoja na askali watiifu wa ukraine wachache. Hapo kila kitu kipo secured tofauti na tuonavyo.sasa siraha kubwa za nn?.Kibongo bongo ulinzi wa kitecknolojia BADO haujawa hundred percent kama marekani so siraha kubwa kubwa za mikono BADO zinahitajika ila kuwatisha vibaka.TISS wajifunze, PSU wanamganda sana Rais hata kupumua anashindwa.
Biden kaenda nchi ya vita ila hatujaona walinzi wakikaa nyuma yake na mabunduki makubwa
Ufaransa Wanachoma Bendera ya EU
EU flags are burned at rallies.
Hichi ni kile kikosi kinachogawa dozi za anga. Sijui unataka kusemaje sasaHuyo ni Biden akiwa nchi ya kigeni. Sasa Putin akiwa nchini kwake mwenyewe anaogopa sembuse aende kwenye vitaView attachment 2524107View attachment 2524108View attachment 2524109View attachment 2524110
Kwahyo Huo ndio ushind ?[emoji635][emoji635][emoji635]Super pawer wa kwenye makaratasi alipiga mkwara mzito kwamba ataisaidia utawala wa Kyiv atakiona Cha moto..,Cha ajabu watu hawakuishia kusaidia tu,wamepiga mpaka selfie [emoji1702][emoji1702][emoji1702] kwenye viunga vya mji wa Kyiv [emoji56][emoji28][emoji1787][emoji2]
Kwa nini utoe taarifa? Unampa taarifa urusi yeye kama nani!? Kwa nini usitoe taarifa kwa Belarus!?
Wewe umeamua kushuka kiev shuka tu huna haja ya kutoa taarifa unless kuna kitu unakiogopa. Shuka fanya mambo yako sepa, atayekuzingua mzingue na wewe.
Ni lugha za kidiplomasia tu lkn sio taarifa bali ni ombi. Ameomba na amekubaliwa kwenda kiev. Ruhusa imetoka kremlin tena kwa Medvedev wala sio hata mzee mzima. Hana muda na petty issues kama hizo
Hapo fashisti Putin kaoneshwa wazi kwamba si chochote si lolote..,yaani anaonekana kama kinyago tu..,hii ziara ya Leo ilikuwa na maana kubwa sana,Kwahyo Huo ndio ushind ?[emoji635][emoji635][emoji635]
TISS wajifunze, PSU wanamganda sana Rais hata kupumua anashindwa.
Biden kaenda nchi ya vita ila hatujaona walinzi wakikaa nyuma yake na mabunduki makubwa
Ndio, hiyo pia ni moja ya "temporary measure".Na kukaa kwenye meza ndefu kama uwanja nayo ni protocol? Sasa hapa alikuwa anafanya kikao gani si angewapigia simuView attachment 2524120
Nani kakudanganya?Hichi ni kile kikosi kinachogawa dozi za anga. Sijui unataka kusemaje sasa
Putin aliweka wazi kwamba hata muua Zele, Kaa ukijua Hilo. Akimtaka anmtoa mavi asubuhi na mapemaView attachment 2524165
Taarifa unapewa ili ukijichaganya upigwe ukose visingizio. HIMARS 20 unalia nazo na wakati ziko over 200 zinapigwa vumbi kwenye maghala. Na hata hivyo Russia haina means ya kumshambulia Rais wa Marekani hapo Ukraine, Zelensky analala hapohapo mwaka mzima mmemshindwa mje muweze superpower mwenyewe.
Na mikwara ilishatolewa ila wapi hadi waliotoa hizo silaha walishakuja wenyewe kukagua matumizi
Pro NATO wana akili ndogo kiasi kwamba unaweza kujiuliza hivi wanawezaje kuishi?Na Kuna watu walipotea humu Jukwaani,wamerudi Leo kuja kusherehekea ujio wa Biden Ukraine.
Utadhani Leo ndio anakwenda kuyaondoa majeshi ya Urusi yaliyojimilikisha maeneo ya ardhi ya Ukraine.
Huyo mshauri mwenyewe mbona anaonekana kama naye amekata tamaaDuh! Leo president zelensiky inaonekana alikuwa na ugeni mkubwa!!
[emoji845][emoji779]US national security advisor Jake sulivan is also in Kyiv [emoji298][emoji298]View attachment 2524175