Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kwa hiyo tumekubaliana kwamba Russian anapigana na Ukraine+NATO+USA si ndio kirat!
NATO wamepuuza mikwara mbuzi iliyotolewa na fashisti Putin kwamba atakayeingilia operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo atakiona Cha moto..,halafu Putin mwenyewe kaufyata tu Kama hakuna lolote lililotokea vile[emoji16][emoji1787][emoji28]
 
Hayo ni mambo ya kidiplomasia we kirat, mbona unapenda kujitoa ufaham!! Kwani wewe hujaona/kusikia nchi mbili zinapigana vita au makundi mawili hasa hapa kwetu Africa lkn viongozi hukutana kujadili wakati huo huo vita inaendelea, ikiwa hivyo ndivyo kwanini wasipigane risasi hapo wanapokutana kwenye hivyo vikao,, yani we jamaa sijui hata ni kabila gani🤔 unajadili vita hujui hata mambo ya kidiplomasia.
Sijui hata kwanini mnamjibugi huyo mnato.. Mi nilishamtia kwenye ignore list wala upuuzi wake siuhoni!
 
View attachment 2524165
Taarifa unapewa ili ukijichaganya upigwe ukose visingizio. HIMARS 20 unalia nazo na wakati ziko over 200 zinapigwa vumbi kwenye maghala. Na hata hivyo Russia haina means ya kumshambulia Rais wa Marekani hapo Ukraine, Zelensky analala hapohapo mwaka mzima mmemshindwa mje muweze superpower mwenyewe.

Na mikwara ilishatolewa ila wapi hadi waliotoa hizo silaha walishakuja wenyewe kukagua matumizi

Bennett: Putin assured me at Moscow meeting he wouldn’t kill Zelensky​

 
Sawa, muda ndio mwamuzi, lakini fahamu tu ya kwamba huyo fashisti wa clemlin Kwa Sasa anagombaniwa kama mpira wa Kona
Kabisa kabisa muda utasema...Putin hawezi kuwa fashisti Wala dikteta...baachi ya miaka yangu vyuoni upo wakati nilipitia na kuandika research papers za fascism....Putin Hana variable au element hata moja ya kumfanya awe fashisti...
 
mizinga ipi wakati nasikia Barkmut jamaa wamekimbilia kwenye daladala na gari za wananchi wakiwageuza kama shield.
Bado mnajiliwaza na bakhumut [emoji23][emoji28]
Si tuliambiwa hiyo bakhumut imezingirwa tangu wiki 2 zilizopita [emoji1787][emoji23][emoji28]
 
Kizito kipi hicho tulichodondoshewa???
Hiki hapa kilichowadodokea na kuwaacha pro Russia wote midomo wazi [emoji28][emoji23][emoji1787][emoji16]
1676891283592.jpg
 
Back
Top Bottom