Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,887
Yaani kasafiri masaa 9 kakaa 45minutes TU😂Ha ha ha haa,
Da !Aisee!
Leo wamevamia jukwaa kisa Biden kaingia Ukraine kwa treni🤣🤣🤣.
Halafu kakaa 45 kachimba.
Yaani kasafiri masaa 9 kakaa 45minutes TU😂Ha ha ha haa,
Da !Aisee!
Leo wamevamia jukwaa kisa Biden kaingia Ukraine kwa treni🤣🤣🤣.
Halafu kakaa 45 kachimba.
Huyo jamaa ni mshamba hana anachokijua kwenye siasa za DuniaSijui hata kwanini mnamjibugi huyo mnato.. Mi nilishamtia kwenye ignore list wala upuuzi wake siuhoni!
Hivi ndivyo democrasia inavyodhihirishwa!!![]()
![]()
mheshimiwa kaacha maandamano huko State yuko anahangaika na Ofa ya Putin kumruhusu atembee kidogo kiev kwa masaa kadhaa kisha aondoke.
Ukitaka kujua akili za NYATO ndio utaziona hapa![]()
![]()
mheshimiwa kaacha maandamano huko State yuko anahangaika na Ofa ya Putin kumruhusu atembee kidogo kiev kwa masaa kadhaa kisha aondoke.
Cha msingi amehakikisha kitu kizito kinawadondokea[emoji2][emoji1787][emoji28][emoji16][emoji23]Yaani kasafiri masaa 9 kakaa 45minutes TU[emoji23]
Ndio democracy hiyo.., binafsi nafurahi kuona waamerika wanakuwa huru kutoa hisia zao hadharani namna hii,Ukitaka kujua akili za NYATO ndio utaziona hapa
Zenyewe hazijiwezi yani
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Demokrasia hiyo wakati mpaka wanaandamana hali ishakua ngumu kwa Raia hapoNdio democracy hiyo.., binafsi nafurahi kuona waamerika wanakuwa huru kutoa hisia zao hadharani namna hii,
Sisi tulitegema angetua na Airforce one🤣🤣🤣,ili tuone kama inaweza kupishana na Russian missiles.Yaani kasafiri masaa 9 kakaa 45minutes TU😂
Kikubwa tu wameonesha hisia zao,kule kwa dikiteta Putin ukidhubutu kuinua kichwa tu unapigwa na kitu kizito!Demokrasia hiyo wakati mpaka wanaandamana hali ishakua ngumu kwa Raia hapo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kuelekea maadhimisho ya mwaka mmoja wa Uvamizi wa Urusi nchini Ukraine - Mwamba kakanyanga Kyiv BILA WASIWASI WOWOTE...
![]()
Lakini kafanikiwa kuwabonda na kitu kizito [emoji28][emoji1787][emoji16][emoji28]Sisi tulitegema angetua na Airforce one[emoji1787][emoji1787][emoji1787],ili tuone kama inaweza kupishana na Russian missiles.
Au isionwe na S300 TU ha ha haa.
Nimezipenda sana hizi picha.![]()
![]()
mheshimiwa kaacha maandamano huko State yuko anahangaika na Ofa ya Putin kumruhusu atembee kidogo kiev kwa masaa kadhaa kisha aondoke.
Kyiv ingetekwa mwaka jana na ile convoy huenda POTUS asingetua Ukraine.Sisi tulitegema angetua na Airforce one🤣🤣🤣,ili tuone kama inaweza kupishana na Russian missiles.
Au isionwe na S300 TU ha ha haa.
Bila shaka zimekupunguzia maumivu uliyopata baada ya bwana Biden kuwadondoshea kitu kizito Leo[emoji28][emoji16][emoji1787][emoji23]Nimezipenda sana hizi picha.
"You can full some people some time,
But you can all people all the time".
"Get up stand up,
get up for your rights"
"Emancipate yourself from mentally slavery"
By Robert Nesta Marley
Aka Bob Marley.
Kwanini Urusi wanamruhusu mtu anyewapa silaha adui yao anatua na kuondoka hapo salama ?Karuhusiwa awe Kyiv kwa dakika 45 tu.
'Security protocol' yao na yetu zimetofautiana.TISS wajifunze, PSU wanamganda sana Rais hata kupumua anashindwa.
Biden kaenda nchi ya vita ila hatujaona walinzi wakikaa nyuma yake na mabunduki makubwa