Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1255][emoji298] minister for foreign affairs dymitro kuleba will visit Brussels,the Hague,and new York city in the coming days [emoji1255][emoji298][emoji298]
 
[emoji298][emoji298][emoji1255][emoji1255] by the end of the year, Germany will have trained some 3000 Ukrainian soldiers [emoji298][emoji298][emoji1255][emoji1255]
 
[emoji298][emoji298][emoji1255][emoji1255] the next several days will be decisive both for the course of Russian war on ukraine and in general, for the further development of the world-baerbock [emoji1255][emoji298][emoji298]
 
Kipigo kinaendelea [emoji91][emoji1255][emoji1255][emoji123]

[emoji1255][emoji298][emoji1255][emoji298] over the past day Ukraine's air force launched 20 strikes on enemy personnel and military equipment clusters.seven strikes on enemy's ant aircraft missiles system, and two more on other important objects [emoji298][emoji1255][emoji298][emoji1255]
Hebu taja basi hata ukombozi mmoja tu wa miji au vijiji walioufanya wanajeshi wa ukraine basi sio kubwaBwaja tu hapa
 
Kwanini Urusi wanamruhusu mtu anyewapa silaha adui yao anatua na kuondoka hapo salama ?
Ngoja nijaribu kukujibu na wengine wataongezea au watarekebisha inaweza ikawa ndefu kidogo.

Haya twende kazi;

Kuna kitu kinaitwa Protection of Diplomats Convention (formally, the Convention on the Prevention and Punishment of Crimes Against Internationally Protected Persons, Including Diplomatic Agents). Hii ni United Nations (UN) anti-terrorism treaty ambayo imeelezea principles za kulinda diplomats hususani wanapokua nchi nyingine.

Convention hiyo ilianza kwa kukumbushia:

"Considering that crimes against diplomatic agents and other internationally protected persons jeopardizing the safety of these persons create a serious threat to the maintenance of normal international relations which are necessary for cooperation among States"

Convention hiyo iliunda terminology inayoenda kwa jina la "Internationally protected persons" ambao ime include heads of state, heads of government, foreign ministers, ambassadors, other official diplomats, and members of their families. Na lengo lake likiwa ku criminalize matukio kama mauaji, utekaji au vurugu kwa "internationally protected persons" wakiwa kwenye their official premises, private accomodations au hata vyombo vya usafiri watakavyokua wanavitumia.

Convention hiyo imesainiwa na 180 United Nations member states, including Russia na nadhani ilianza kutumika mwaka 1973.

Sijajua kwa nini Pro west leo wengi wanashangilia Biden kwenye Kyiv kwa sababu Ukiacha na Biden kwenda, wapo viongozi wa nchi mbalimbali ambao wameshaenda Ukraine baada ya vita, tena nchi zao zimepeleka misaada ya kijeshi kwa Ukraine kama ambavyo US imepeleka, na hawajawahi kuguswa na wakatoka salama wakaacha SMO ikiendelea kama kawaida, mfano:

Anthony Albanese- Australia July 3, 2022

Justin Trudeau- canada May 8, 2022

Petr Fiala-Czech republic March 15, 2022

Sanna Marin (PM)- Finland May 26, 2022

Sauli Niinistö(pres)- Finland January 24, 2023

Emmanuel Macron- France June 16, 2022

Olaf Scholz- Germany June 16, 2022

Mario Draghi - Italy June 16, 2022

Andrzej Duda- Poland May 22, 2022

Klaus Iohannis- Romania June 16, 2022

Boris Johnson- UK April 9, 2022 & June 17, 2022

Rishi Sunak -UK - November 19, 2022

Convention hiyo ya UN inawalinda hao Diplomats kisheria na hawawezi kuwa attacked, achilia mbali Biden, hata angeenda William Ruto wa Kenya tu hapo, Angepewa ulinzi mpaka anaondoka bila kuguswa kwa sababu na yeye ni head wa state analindwa na hiyo UN convention.

Russia ni mojawapo ya nchi ambazo zimesaini hiyo treaty na na kwa mantiki hiyo haiwezi kwenda kinyume kwa kuanza kuwashambulia hao diplomats.

Biden kutumia treni kwenda Kyiv inawezekana ikawa kwa protocol zao za kiusalama hususani SMO ikiwa inaendelea ila sio kwamba usafiri wa treni una mask yeye kutoonekana kwenye picha za satellite za Russia wakati anaingia Ukraine.
 
Kwanini Urusi wanamruhusu mtu anyewapa silaha adui yao anatua na kuondoka hapo salama ?
Naona twaenda mbele na twarudi nyuma.

Nimeeleza huko juu kwamba pamoja na vita hii inoendelea bado Russia wanawasiliana na Marekani kupitia "red lines".

Hivyo safari ya Biden khasa ni Poland lakini akataka kuingia Ukraine na wakazungumza na Kremlin kupata go ahead na guarantees za security.

Siku chache zijazo utapata taarifa kamili kuhusu hii.

Ila Biden Jumamosi alienda kanisani na akala dinner kisha baadae usiku wa saa 10 akapanda ndege kuelekea Poland.

Safari ya Kyiv Russia alitoa dakika 45 tu maana wapo kazini na SMO.
 
Ngoja nijaribu kukujibu na wengine wataongezea au watarekebisha inaweza ikawa ndefu kidogo.

Haya twende kazi;

Kuna kitu kinaitwa Protection of Diplomats Convention (formally, the Convention on the Prevention and Punishment of Crimes Against Internationally Protected Persons, Including Diplomatic Agents). Hii ni United Nations (UN) anti-terrorism treaty ambayo imeelezea principles za kulinda diplomats hususani wanapokua nchi nyingine.

Convention hiyo ilianza kwa kukumbushia:

"Considering that crimes against diplomatic agents and other internationally protected persons jeopardizing the safety of these persons create a serious threat to the maintenance of normal international relations which are necessary for cooperation among States"

Convention hiyo iliunda terminology inayoenda kwa jina la "Internationally protected persons" ambao ime include heads of state, heads of government, foreign ministers, ambassadors, other official diplomats, and members of their families. Na lengo lake likiwa ku criminalize matukio kama mauaji, utekaji au vurugu kwa "internationally protected persons" wakiwa kwenye their official premises, private accomodations au hata vyombo vya usafiri watakavyokua wanavitumia.

Convention hiyo imesainiwa na 180 United Nations member states, including Russia na nadhani ilianza kutumika mwaka 1973.

Sijajua kwa nini Pro west leo wengi wanashangilia Biden kwenye Kyiv kwa sababu Ukiacha na Biden kwenda, wapo viongozi wa nchi mbalimbali ambao wameshaenda Ukraine baada ya vita, tena nchi zao zimepeleka misaada ya kijeshi kwa Ukraine kama ambavyo US imepeleka, na hawajawahi kuguswa na wakatoka salama wakaacha SMO ikiendelea kama kawaida, mfano:

Anthony Albanese- Australia July 3, 2022

Justin Trudeau- canada May 8, 2022

Petr Fiala-Czech republic March 15, 2022

Sanna Marin (PM)- Finland May 26, 2022

Sauli Niinistö(pres)- Finland January 24, 2023

Emmanuel Macron- France June 16, 2022

Olaf Scholz- Germany June 16, 2022

Mario Draghi - Italy June 16, 2022

Andrzej Duda- Poland May 22, 2022

Klaus Iohannis- Romania June 16, 2022

Boris Johnson- UK April 9, 2022 & June 17, 2022

Rishi Sunak -UK - November 19, 2022

Convention hiyo ya UN inawalinda hao Diplomats kisheria na hawawezi kuwa attacked, achilia mbali Biden, hata angeenda Samuel Ruto wa Kenya tu hapo, Angepewa ulinzi mpaka anaondoka bila kuguswa kwa sababu na yeye ni head wa state analindwa na hiyo UN convention.

Russia ni mojawapo ya nchi ambazo zimesaini hiyo treaty na na kwa mantiki hiyo haiwezi kwenda kinyume kwa kuanza kuwashambulia hao diplomats.

Biden kutumia treni kwenda Kyiv inawezekana ikawa kwa protocol zao za kiusalama hususani SMO ikiwa inaendelea ila sio kwamba usafiri wa treni una mask yeye kutoonekana kwenye picha za satellite za Russia wakati anaingia Ukraine.
Hao wanaelewa ila waleta mizaha.
 
Hayo ni mambo ya kidiplomasia we kirat, mbona unapenda kujitoa ufaham!! Kwani wewe hujaona/kusikia nchi mbili zinapigana vita au makundi mawili hasa hapa kwetu Africa lkn viongozi hukutana kujadili wakati huo huo vita inaendelea, ikiwa hivyo ndivyo kwanini wasipigane risasi hapo wanapokutana kwenye hivyo vikao,, yani we jamaa sijui hata ni kabila gani🤔 unajadili vita hujui hata mambo ya kidiplomasia.
Mzaramo
 
Imejulikana nani anamiliki anga la Ukraine. Mshauri wa masuala ya ulinzi wa Marekani kamaliza ubishi. Kuna baadhi wataendelea kubisha.
===
 
Hebu taja basi hata ukombozi mmoja tu wa miji au vijiji walioufanya wanajeshi wa ukraine basi sio kubwaBwaja tu hapa
Sawa, orodha hii hapa[emoji116][emoji116][emoji116]

Kyiv [emoji56][emoji56][emoji56]

Cherniiv[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Khakivu [emoji56][emoji56][emoji56]

Kheson city [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Mycolaiv [emoji56][emoji56][emoji56]

Snake island [emoji56][emoji56][emoji56]

Lyman [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Izium [emoji56][emoji56][emoji56]

Kupyansk [emoji56][emoji56][emoji56][emoji56]

Bahadhi ya maeneo ya luhansik [emoji56][emoji56][emoji56]

Kipigo bado kinaendelea [emoji91][emoji1255][emoji123][emoji123]
 
Ngoja nijaribu kukujibu na wengine wataongezea au watarekebisha inaweza ikawa ndefu kidogo.

Haya twende kazi;

Kuna kitu kinaitwa Protection of Diplomats Convention (formally, the Convention on the Prevention and Punishment of Crimes Against Internationally Protected Persons, Including Diplomatic Agents). Hii ni United Nations (UN) anti-terrorism treaty ambayo imeelezea principles za kulinda diplomats hususani wanapokua nchi nyingine.

Convention hiyo ilianza kwa kukumbushia:

"Considering that crimes against diplomatic agents and other internationally protected persons jeopardizing the safety of these persons create a serious threat to the maintenance of normal international relations which are necessary for cooperation among States"

Convention hiyo iliunda terminology inayoenda kwa jina la "Internationally protected persons" ambao ime include heads of state, heads of government, foreign ministers, ambassadors, other official diplomats, and members of their families. Na lengo lake likiwa ku criminalize matukio kama mauaji, utekaji au vurugu kwa "internationally protected persons" wakiwa kwenye their official premises, private accomodations au hata vyombo vya usafiri watakavyokua wanavitumia.

Convention hiyo imesainiwa na 180 United Nations member states, including Russia na nadhani ilianza kutumika mwaka 1973.

Sijajua kwa nini Pro west leo wengi wanashangilia Biden kwenye Kyiv kwa sababu Ukiacha na Biden kwenda, wapo viongozi wa nchi mbalimbali ambao wameshaenda Ukraine baada ya vita, tena nchi zao zimepeleka misaada ya kijeshi kwa Ukraine kama ambavyo US imepeleka, na hawajawahi kuguswa na wakatoka salama wakaacha SMO ikiendelea kama kawaida, mfano:

Anthony Albanese- Australia July 3, 2022

Justin Trudeau- canada May 8, 2022

Petr Fiala-Czech republic March 15, 2022

Sanna Marin (PM)- Finland May 26, 2022

Sauli Niinistö(pres)- Finland January 24, 2023

Emmanuel Macron- France June 16, 2022

Olaf Scholz- Germany June 16, 2022

Mario Draghi - Italy June 16, 2022

Andrzej Duda- Poland May 22, 2022

Klaus Iohannis- Romania June 16, 2022

Boris Johnson- UK April 9, 2022 & June 17, 2022

Rishi Sunak -UK - November 19, 2022

Convention hiyo ya UN inawalinda hao Diplomats kisheria na hawawezi kuwa attacked, achilia mbali Biden, hata angeenda Samuel Ruto wa Kenya tu hapo, Angepewa ulinzi mpaka anaondoka bila kuguswa kwa sababu na yeye ni head wa state analindwa na hiyo UN convention.

Russia ni mojawapo ya nchi ambazo zimesaini hiyo treaty na na kwa mantiki hiyo haiwezi kwenda kinyume kwa kuanza kuwashambulia hao diplomats.

Biden kutumia treni kwenda Kyiv inawezekana ikawa kwa protocol zao za kiusalama hususani SMO ikiwa inaendelea ila sio kwamba usafiri wa treni una mask yeye kutoonekana kwenye picha za satellite za Russia wakati anaingia Ukraine.
Mnajitahidi kweli kuficha hii aibu iliyowapata Leo, lakini ni bahati mbaya sana kwamba imeshaingia hiyo,kuitoa ni ngumu kweli [emoji2][emoji1787][emoji16]
 
Back
Top Bottom