Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Imejulikana nani anamiki anga la Ukraine. Mshauri wa masuala ya ulinzi wa Marekani kamaliza ubishi. Kuna baadhi wataendelea kubisha.
===
Hii ni obvious

Kiev - Ukraine ni conflict zone.
Ni lazima US amjulishe Russia kuhusu uwepo wa kiongozi wao pale.

Kuna wengi tu hapa hawaelewi kwamba, hata Russia au US, wakiwa wanarusha makombora ya ICBM ni lazima amjulishe mwenzie kwamba siku fulani na saa fulani nitarusha ICBM kama testing. Hii ni lazima.
 
Hii ni obvious

Kiev - Ukraine ni conflict zone.
Ni lazima US amjulishe Russia kuhusu uwepo wa kiongozi wao pale.

Kuna wengi tu hapa hawaelewi kwamba, hata Russia au US, wakiwa wanarusha makombora ya ICBM ni lazima amjulishe mwenzie kwamba siku fulani na saa fulani nitarusha ICBM kama testing. Hii ni lazima.
Endeleeni kujifariji lakini mmeshapigwa na kitu kizito [emoji28]
Imeisha iyoooooo[emoji1787][emoji16][emoji28]
 
Hao wanaelewa ila waleta mizaha.
Wanafurahisha sana wanakwambia leo Russia kapata aibu kisa Biden kaenda Ukraine

Ila,

Emmanuel Macron wa ufaransa alivyoenda Ukraine, Russia hajapata aibu

Olaf Scholz wa Germany alivyoenda Ukraine, Russia hajapata aibu

Mario Draghi wa Italy alivyoenda Ukraine, Russia hajapata aibu

Andrzej Duda wa Poland alivyoenda Ukraine, Russia hajapata aibu

Boris Johnson wa UK alivyoenda Ukraine, Russia hajapata aibu

Biden wa US kwenda Ukraine, Russia kapata aibu.

Sasa najiuliza hiyo aibu gani wanayoiongelea?
 
Ngoja nijaribu kukujibu na wengine wataongezea au watarekebisha inaweza ikawa ndefu kidogo.

Haya twende kazi;

Kuna kitu kinaitwa Protection of Diplomats Convention (formally, the Convention on the Prevention and Punishment of Crimes Against Internationally Protected Persons, Including Diplomatic Agents). Hii ni United Nations (UN) anti-terrorism treaty ambayo imeelezea principles za kulinda diplomats hususani wanapokua nchi nyingine.

Convention hiyo ilianza kwa kukumbushia:

"Considering that crimes against diplomatic agents and other internationally protected persons jeopardizing the safety of these persons create a serious threat to the maintenance of normal international relations which are necessary for cooperation among States"

Convention hiyo iliunda terminology inayoenda kwa jina la "Internationally protected persons" ambao ime include heads of state, heads of government, foreign ministers, ambassadors, other official diplomats, and members of their families. Na lengo lake likiwa ku criminalize matukio kama mauaji, utekaji au vurugu kwa "internationally protected persons" wakiwa kwenye their official premises, private accomodations au hata vyombo vya usafiri watakavyokua wanavitumia.

Convention hiyo imesainiwa na 180 United Nations member states, including Russia na nadhani ilianza kutumika mwaka 1973.

Sijajua kwa nini Pro west leo wengi wanashangilia Biden kwenye Kyiv kwa sababu Ukiacha na Biden kwenda, wapo viongozi wa nchi mbalimbali ambao wameshaenda Ukraine baada ya vita, tena nchi zao zimepeleka misaada ya kijeshi kwa Ukraine kama ambavyo US imepeleka, na hawajawahi kuguswa na wakatoka salama wakaacha SMO ikiendelea kama kawaida, mfano:

Anthony Albanese- Australia July 3, 2022

Justin Trudeau- canada May 8, 2022

Petr Fiala-Czech republic March 15, 2022

Sanna Marin (PM)- Finland May 26, 2022

Sauli Niinistö(pres)- Finland January 24, 2023

Emmanuel Macron- France June 16, 2022

Olaf Scholz- Germany June 16, 2022

Mario Draghi - Italy June 16, 2022

Andrzej Duda- Poland May 22, 2022

Klaus Iohannis- Romania June 16, 2022

Boris Johnson- UK April 9, 2022 & June 17, 2022

Rishi Sunak -UK - November 19, 2022

Convention hiyo ya UN inawalinda hao Diplomats kisheria na hawawezi kuwa attacked, achilia mbali Biden, hata angeenda Samuel Ruto wa Kenya tu hapo, Angepewa ulinzi mpaka anaondoka bila kuguswa kwa sababu na yeye ni head wa state analindwa na hiyo UN convention.

Russia ni mojawapo ya nchi ambazo zimesaini hiyo treaty na na kwa mantiki hiyo haiwezi kwenda kinyume kwa kuanza kuwashambulia hao diplomats.

Biden kutumia treni kwenda Kyiv inawezekana ikawa kwa protocol zao za kiusalama hususani SMO ikiwa inaendelea ila sio kwamba usafiri wa treni una mask yeye kutoonekana kwenye picha za satellite za Russia wakati anaingia Ukraine.
Sijui kipanya anafutahia nn?
 
Wanafurahisha sana wanakwambia leo Russia kapata aibu kisa Biden kaenda Ukraine

Ila,

Emmanuel Macron wa ufaransa alivyoenda Ukraine, Russia hajapata aibu

Olaf Scholz wa Germany alivyoenda Ukraine, Russia hajapata aibu

Mario Draghi wa Italy alivyoenda Ukraine, Russia hajapata aibu

Andrzej Duda wa Poland alivyoenda Ukraine, Russia hajapata aibu

Boris Johnson wa UK alivyoenda Ukraine, Russia hajapata aibu

Biden wa US kwenda Ukraine, Russia kapata aibu.

Sasa najiuliza hiyo aibu gani wanayoiongelea?
Wafurahisha genge hao.

Licha ya hao wapo watu wengine mashuhuri wameenda Kyiv akiwemo mchekeshaji mwenzie Zelensky aitwae Ben Stiller.

Pia wengine kama Angelina Jolie, Saun Penn, (Liev Schreiber ambae ana vinasaba vya Ukraine), Jessica Chastain wameenda sana katikati ya 2022.

Russia karuhusu Kyiv waendelee na maisha khasa Central Kyiv.
 
Super pawer tayari ameshapigwa na kitu kizito [emoji28][emoji1787][emoji16]
Hao wengine walikuwa wanaenda kufanya ziara Ukraine ikiwemo waziri mkuu wa uingereza sio viongozi? Mm bado sijui mantiki ya pro NATO kushangilia sijui Kuna jipya gani yaani hata siku akienda yoweri Mseveni sijui tutajificha wap watu wa Russia kweli NATO akili kumkichwa.
 
,[emoji1255][emoji1255][emoji298][emoji298] ten ships carrying 361,200 of agricultural products departed from the Port of the oddesa region on February 18 - 19 2023[emoji298][emoji298][emoji1255][emoji1255]

Wazee wa kheson -myicolaiv -oddesa mpooooooooooooo [emoji16][emoji1787]
 
Back
Top Bottom